Search results

  1. Lodrick Thomas

    Jinsi mtandao wa YOUTUBE umenisaidia kuboresha maisha yangu!

    Wenda ningeliweka youtube basi wewe usingeliona.
  2. Lodrick Thomas

    Jinsi mtandao wa YOUTUBE umenisaidia kuboresha maisha yangu!

    Habari wanajamii? Leo nimeamua ku share nanyi baadhi ya mambo kuhusu huu mtandao wa kijamii (youtube)!! Pamoja na yooote niliyosoma chuo, youtube imekua msaada mkubwa sana kwangu na imeniwezesha kujifunza mambo mengi ya kitaaluma, biashara na maisha!! Haya ni baadhi ya niliyo jifunza kupitia...
  3. Lodrick Thomas

    Nina tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa

    Je unafanya au ulishawahi kufanya haya? 1. Punyeto 2. Kuangalia movies za ngono
  4. Lodrick Thomas

    I need Tanzania like this.

    Nilianza kusoma nilipofika hapa nikajua huna la maana uliloandika!! Sikutaka kuendelea kusoma gazeti zima!!
  5. Lodrick Thomas

    Wale wote wanaotaka kusoma engineering, Uliza swali lolote utapata majibu!

    Nadhani hii kozi inatolea dit, ila soko la telecom kidogo lina shida sio kama miaka ya 2000!! nadhan Deadbody aje atupe mwanga kuhusu soko la telecom hapa tz!!
  6. Lodrick Thomas

    Wale wote wanaotaka kusoma engineering, Uliza swali lolote utapata majibu!

    Kwa level ya degree hamna ila kwa level ya masters nenda nelson mandela university pale arusha wana hiyo kozi!
  7. Lodrick Thomas

    Nijuzeni tofauti kati ya IT(information technology) na computer science

    Inafaa mkuu!! itategemea pia na ufaulu wako ngazi ya diploma!! Pia kuna kozi pia inaitwa software engineering iko njema sana pia japo haigusi sana hardware ya pc kama computer engineering!
  8. Lodrick Thomas

    Nisaidieni swali hili la programming

    I am not that good kwenye C infact sijajifunza C, ila nimejaribu kuandika swali lako kwenye C++, nadhan ukipata idea hautashindwa ku convert kwenda kwenye C!! Angalia hii code, kama patakua na marekebisho nitaongeza... ila naimani member wengine watatoa mawazo zaidi!!! Version ONE, nimeweka...
  9. Lodrick Thomas

    Kumwagilia mimea wakati wa jua kali

    Ni kweli kabisa mkuu, miaka hiyo tulikua tuna design bila ku-consider "leaching requirements" yaani maji yanayopotea kwa "deep percolation" kumbe tulikua wrong!! Kwa kuongezea tu, leaching requirements sio muda wote ni losses ila sometimes inatumika kama njia ya kuondoa chumvi chumvi kwenye...
  10. Lodrick Thomas

    Kumwagilia mimea wakati wa jua kali

    Nashukuru sana mtaalam, ulichosema ni mfano mzuri kabisa!! na ndio ukweli wenyewe!
  11. Lodrick Thomas

    Kumwagilia mimea wakati wa jua kali

    Mkuu unadhani ni kwanini tuna mwagilia? Hapo kwenye bold, kupitia transpiration mmea unapoteza maji na tuna mwagilia ili kuhakikisha kiwango kinachopotea kwa transipiration au evapo-transpiration kinakua counteracted kwa kuongeza maji kupitia umwagiliaji!! Kwa kifupi, jua likiongezeka, water...
  12. Lodrick Thomas

    Kumwagilia mimea wakati wa jua kali

    Kama mvuke unajeruhi mizizi au mmea kwa joto kali, je jua linachoma ardhi halijeruhi mmea kwa joto kali? Umeandika vizuri ila bado kuna mambo unachanganya! Yaani joto la mvuke linadhuru mmea je kama tusingeweka maji joto la jua lisingeweza kuumiza mmea?
  13. Lodrick Thomas

    Kumwagilia mimea wakati wa jua kali

    Kuna watu wamekujibu hapo juu tayari ila ningependa ongezea kitu ambacho naona wengi hawajagusia!! Dhumuni la kumwagilia ni kuhakikisha mmea unakua na unyevunyevu muda ambao unahitajika!! Sio kwamba sio vizuri kumwagilia mchana, no! mchana unaweza mwagilia bila shida ILA sometimes hatushauri...
  14. Lodrick Thomas

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nakapanya Belo ni lazima mtambue hili ni jukwaa huru, na yeye ana uhuru wa kutuma anachoona kinafaa bila kuvunja sheria!! so far kwa mwaka huu sijaona member ambaye ni active kama ruta anayepost picha humu na hata kipindi ligi haijaanza yeye ndiye amekua akiweka huu uzi active!! Unaposema wewe...
  15. Lodrick Thomas

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Jiulize haya maswali... 1. Je yuko regulated na kampuni gani? 2. Je ni ecn/stp au market marker? 3. Anatumia commision au spreads? 4. Minimun deposit yake ni shilingi ngapi? (hapa ndio shida yao ilipo) 5. Ana options gani za kuweka au kutoa pesa? 6. Marginal call na stop out level yake ni...
  16. Lodrick Thomas

    Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

    Nilivyoweka code ya kwanza imeniletea hivi... 'This PPA does not support xenial' Cannot add PPA: ''This PPA does not support xenial''.
Back
Top Bottom