Search results

  1. Mr Miller

    Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    sijakuona Mkadama, nipo hapa tangu juzi
  2. Mr Miller

    Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    imeniathiri lakini sio sana Mkadama, nashukuru tupo salama kabisa huku Kasulu [emoji4]
  3. Mr Miller

    Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    pole yake sana, kumbe mvua ineleta maafa makubwa sana duh!
  4. Mr Miller

    Je, kwa Wakristo yawezekana kumbatiza mtoto ambaye amezaliwa pasipo wazazi kufunga ndoa?

    hapo kuna mambo mengi, imani ya mzazi pia inaweza kumponya.
  5. Mr Miller

    Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

    Ahsante sana chief, Heri na kwako pia na familia [emoji322]
  6. Mr Miller

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    mmepata bahati kuwa na uyo jirani mjeshi,
  7. Mr Miller

    Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

    ukishakuwa na familia lazima upuuze hizo ligi, sasa hivi hata mimi ni heri upite uende zako tutakutana Msolwa/Ubena kula nyama choma [emoji1][emoji1]
  8. Mr Miller

    Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

    labda angekua na jet engine kwenye Probox yake na lami iliyonyooka.
  9. Mr Miller

    Hamis Chaurembo: Dereva mjinga aliyeuwa abiria kwa mwendokasi Kigoma

    Kibondo hadi Kakonko kwa dakika 25!!!! sio kweli, na ile barabara ya vumbi....Hapana.
  10. Mr Miller

    Tafadhali ndugu zetu mkija kututembelea majumbani mwetu msiondoke na chakula( Kula uondoke)

    msamehe tu hilo hotpot, siku nyingine usimuache peke yake nyumbani kwako.
  11. Mr Miller

    Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

    ...Aging like a fine wine [emoji6]
  12. Mr Miller

    Umebahatika kukanyaga ardhi za mikoa mingapi hapa Tanzania?

    Yote nimepata bahati ya kufika.
  13. Mr Miller

    Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] eeh!!!
  14. Mr Miller

    Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

    inasikitisha sana, vijana wa siku hizi sijui wanawaza kwa akili gani!!!
  15. Mr Miller

    Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

    kama hata hilo hawawezi kuongea kwa uwazi ni wazi hakuna mapenzi hapo, wapo wanaigiziana tu.
Back
Top Bottom