Search results

  1. Masanyiwa Mabula

    Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?

    Mbona analazimisha watu waandame wakati Acacia hawajalipa hata shilingi?
  2. Masanyiwa Mabula

    Nimekopesha warembo 4 nimegawanya mil 2,800,000 wananizungusha mwaka sasa Naombeni msaada wazee

    Mkuu km upo serious na pesa zako nenda kwenye vyombo vya dola. Vinginevyo utazungushwa sana na ukilipwa haitazid laki 3. Mwanamke huwa ni mgumu sana kulipa km kakopeshwa na mwanaume wanayejuana siyo kimapenz yaan kirafiki tu. Mnaonana mnapiga story hata masaa 3, mnapigiana simu, anakutembelea...
  3. Masanyiwa Mabula

    Nimekopesha warembo 4 nimegawanya mil 2,800,000 wananizungusha mwaka sasa Naombeni msaada wazee

    Ndiyo inafika. Haujawahi ona mtu anahonga gari ya milio 20? Utakuta mtu ana mke na watoto lkn anamchepuko pembeni kaujengea hadi nyumba. Hiv unafikiri mtu km huyo anataka nn kutoka kwa mwanamke? Ww mwenyew ushahonga vingapi kwa mwanamke? Mkuu ktk maisha yako ogopa sana kuwakopesha warembo sbb...
  4. Masanyiwa Mabula

    Kibiti, Pwani: Ujumbe wa kuua polisi zaidi wazidisha hofu

    Wangewapeleka wale waliokuwa wanapasuliwa na matofali vifuan vyao. Hao hata risasi haipenyi.
  5. Masanyiwa Mabula

    Nimekopesha warembo 4 nimegawanya mil 2,800,000 wananizungusha mwaka sasa Naombeni msaada wazee

    Kwann usikopeshe wanaume wenzako? Hiyo imekula kwako. Ktk maisha unapomkopesha mwanamke ni sawa umetoa sadaka. Utafuatilia mwisho wa siku atakupa papuchi na kwisha habar yako
  6. Masanyiwa Mabula

    Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi Iringa watoa amri lazima kwa watumishi kujitokeza kumpongeza Magufuli

    Kafanya nn mwenyekiti wa chama cha makinia mpaka apongezwe? Acacia ni wezi, wametuibia sana na hawana leseni. Bado acacia wanachimba madini na wanauza mpaka leo. Kaja tajiri yao kakaribishwa ikulu kwa mazungumzo. Hatujapewa trilion km alivyosema Pombe na anataka apongezwe. Ni mpumba...fu na...
  7. Masanyiwa Mabula

    Mkuu wa Majeshi na Ulinzi (JWTZ) Venance Mabeyo, aahirisha ziara ya Kibiti

    Km mkuu wa majeshi anaogopa. Je, ss raia? Raisi naye ni mkuu wa majeshi? Kwann asivae kombati akafanye ambush huko?
  8. Masanyiwa Mabula

    Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

    Katolewa kafara ili mwenge upate kusonga mbele. Hizi rambi rambi ni sherehe kwa ccm. Mkulu huko kafurahia sana. Anajua kias gani kitapatikana ili akawalipe mafundi wa bombadier mtumba.
  9. Masanyiwa Mabula

    Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

    Pole yako. Ulitaka uwe ww? Bashite mkubwa ww Jiangalie mchepuko wa mataputapu
  10. Masanyiwa Mabula

    Sijawahi kuona mwanamke mgumu hivi

    Njia ni rahisi sana. Pelekka mahari kwa wazazi. Ndoa ifungwe lini na kisha utakuwa umeweza. Utakuwa ww ni wale wa hit & run OA MKUU HUYO NDIYO MWANAMKE WALA HAUTAGONGEWA MILELE
  11. Masanyiwa Mabula

    Umenioa nije kwako kula na kulala?

    Siwez kubeba familia mpaka mgahawani ni aibu sana. Labda km tunatoka kanisani tunaweza pita mgahawani kula. Siku zingine chakula kinaliwa nyumbani. Km nimeenda kuangalia mpira baa, kwann nisile huko huko tu. KUGONGEWA KUNAUMA SANA. ASIKUAMBIE MTU. KAMUULIZE MWANAUME YYTE YULE ATAKUAMBIA.
  12. Masanyiwa Mabula

    Umenioa nije kwako kula na kulala?

    Unaonaje mpira wa Mexico na New zealand. Una tabiri nani ataibuka kidedea?
  13. Masanyiwa Mabula

    Umenioa nije kwako kula na kulala?

    Kazi yangu ni kutafuta pesa. Na kuhakikisha chakula na mahitaji mengine hayakosekani. Mengine ataangalia mama yao.
  14. Masanyiwa Mabula

    Umenioa nije kwako kula na kulala?

    Mama yangu siyo lazima ule nyumbani. Ukishakuwa mkubwa popote unaweza kula. Ndiyo maana kuna migahawa. Ngoja nijirekebishe maana nikakoelea nisije nikagongewa. Na ukigongewa kuna uuma sana zaidi ya uchungu wa mama mjamzito. Nitajirekebisha honey
  15. Masanyiwa Mabula

    Umenioa nije kwako kula na kulala?

    Ni kweli mke wangu lkn siwezi kulala saa 2 km kuku. Muda wa kulala ni saa 4:30 kuanzia saa 2 mpaka saa 4:30 tutakuwa tunaongea huku tunafanya mambo mengine km maakuli. Mm nipo tu babe halafu kipind hiki kuna mpira kwahiyo usishangae narudi saa 6 usiku
  16. Masanyiwa Mabula

    Umenioa nije kwako kula na kulala?

    Sasa hivi kuna kombe la mabara. Kesho mexico na New zealand. Hii mechi lazima nikaangalie na wenzangu. Peke yangu nyumbani wala sitaifaidi.
Back
Top Bottom