Search results

  1. moudgulf

    Mkoa wa Morogoro na mchezo wa soka.

    Kuna uzi humu unaoelezea kabila furani toka kaskazini ya Tanzania. Mtoa uzi alitaka kujua ushiriki wa watu wa kabila hilo kuhusu mchezo soka. Hilo limenikumbusha mkoa wa Morogoro na mchango wake kwenye mchezo wa soka Tanzania . Morogoro ni mkoa uliobarikiwa kwa kuwa na maji mengi...
  2. moudgulf

    Tuwakumbuke waamuzi wa mchezo wa soka wa miaka hiyoo!!

    Wanajamvi, mchezo wa soka unahusisha timu tatu uwanjani.ukiacha zile mbili zinazochuana pia kuna timu ya waamuzi. timu hii ni sehemu muhimu ya burudani ya mchezo huo. hivyo tukumbuke majina yaliyotamba kwenye kupuliza filimbi na kunyoosha vibendera na matukio ya kusikitisha na kusisimua...
Back
Top Bottom