Search results

  1. D

    Tafadhali CAG usijiuzulu

    Hii kaandika mwenyewe CAG au ni mpuuzi mwingine
  2. D

    Hawa ndio Wakuu wa mikoa wanaofanya vizuri kuliko wengine

    Makonda lazima achukiwe wengi wakazi wa dar ni wapiga dili wauza unga yaani mkoa wa dar una mafisi.maji wengi sana sioni ajabu kwa makonda kuchukiwa kwa kiwango kilichopitiliza sana ana takiwa aongeze spidi maana dar ilijaa maduudu
  3. D

    Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amani

    Hebu tueleze kasi inapunguaje kukiwa na uzinduzi wa miradi ya maendeleo na kabla ya hapo maandamano yalikuwa na kasi ya kiasi gani. Acheni ubazoka na akiri za mtoto wa kunyonya kila wakati mnatafuta sifa za kutunga chadema utoto mtaacha lini chadema is nothing na haina lolote na hata hayo...
  4. D

    Sugu aandika waraka kwa wana Mbeya akiwa gerezani baada ya kifo cha kijana Allen. Atoa rambirambi

    Hivi chadema hizi tamthilia mtaacha lini maana utoto mwingi na hicho ndio kinacho waponza mnadhani watanzania mazumbu hamjui walisha washitukia siku nyingi wapo kinya hawataki kuwajibu uzuzu wenu hiyo message mnaona walaka halafu mnadhani gerezani mchezo!
  5. D

    Wanachama 23 na viongozi wa CHADEMA wakamatwa Mahakama ya Kisutu, wapelekwa kituo cha Polisi cha kati

    Hao kwa filamu ni mwisho. mbowe alisema haogopi kufa katoka lumande wiki tu ohooo dikteta kamili
  6. D

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Hivi hata picha husomi kwaakiri yako ilio lowa ulojo unadhani kila.mtu ana muwaza lisu huyo lisu ni kwa ajili yako na familia yako tena mkabidhi mke wako maana unam husudu yule jangili
  7. D

    Yaliyotokea kwa Sugu na fundisho kwa wanasiasa wengine

    Umeongea point kubwa sana mkuu ubarikiwe sana
  8. D

    Tundu Lissu: Nawapa pole Sugu na Goddie Masonga, naunga mkono pendekezo la Zitto kwa wabunge wetu wote

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni dai kinywaji mkuu nimecheka mpaka basi
  9. D

    Watu wengi wanaamini Polisi na Usalama wa Taifa ndio watekaji na wapiga risasi (Watu wasiojulikana)

    Watu watahangaika sana watekaji na wauwaji ni haohao chadema wabadhani kwakufanya hivi serikali irapakwa matope wapate pa kutokea kumbe wanajichimbia kaburi siku wanachama wao wakijua watagawana mbao na hao viongozi wao uchwara
  10. D

    Sielewi sababu za Mbeya kuwa jiji

    Kwani majiji wengine hujui kwaanini wamekuwa majiji? Au au ninadhani kuwa jiji ni kuwa ni kuwa na bar nyingi au? angalia population huduma za kijamii zipoje ndio utajua usije ukadhani kuwa jiji ni kuwa na Tv mbeya sasa hivi ni ya pili kutaifa kuingiza mapato ya serikali ikiongozawa Dar es salaam
  11. D

    Boniface Jacob: Serikali iandae mahabusu za kutosha wana CHADEMA wote kwa sababu tunapanga kuandamana tena

    Jamaa analazimisha umaarufu hivi aliishia wapi na kesi ya bashite? Alitoa matamko kama yeye ndio kiama unajua chadema kama watoto ukimpiga umemwonea ukimwacha umemwogopa sijui watakuwa kiakiri lini maneno ya taarabu kama mademu wakipigwa kuchwa kutwa kulalamika mnaubavu na serikali nyie acheni...
  12. D

    Maxence Melo kaongea, Flavian Matata kasema, Zitto Kabwe kalaani, Mbowe kaandamana hadi NEC

    Huwezi kufananisha upinzani wa kenya na utapeli wa wakina mbowe uma sio wajinga ni watu wanaojua nani anafanya biashara nani mpinzani lakini pia kama unampinga Rais JPM wewe ni mtanzania kweli, nia yako nini na unataka nini? Rais magufuri ni mjori wa Mungu anaombewa na watu asubuhi mchana na...
  13. D

    Makonda: Kuna gazeti moja kazi yake ni kunichonganisha

    Mwananchi hata mimi nimeliona linaleta mambo ya kenya hapa Tz waache waebdelee n.a. ujuaji wao
  14. D

    Jeshi la Polisi wametanda ofisi za CHADEMA kanda ya Pwani wanarusha mabomu

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom