Search results

  1. 9inone

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hatari sana
  2. 9inone

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

  3. 9inone

    Serikali: Mwanza ni mkoa wa pili kwa kuchangia kwenye pato la Taifa

    Safi sana endeleeni kwa na mwendo huohuo watendaji wa mkoa
  4. 9inone

    Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

    Kijana umepambana vya kutosha Mungu akubariki sana na kukutetea, umeendesha mapambano hadi haki imepatikana
  5. 9inone

    Rais Samia: Rais haruhusiwi kukaa mkoa mmoja kwa zaidi ya siku tatu

    Da! mkuu mbona unachafua hali ya hewa kiasi hiki. Wacha niende zangu alafu nirudi tutaelewana tu humu ndani
  6. 9inone

    CHADEMA, kuugua na kufariki kwa Prof. Baregu bila kuutaarifu umma kunatia doa uumini wenu wa uwazi

    Kwa hili la BAREGU kweli hata mimi inanitia shaka kuhusu muunganiko wa Chadema maana hadi anafariki hamna taarifa zozote kwa wadau, au mmeanza kuiga kwa wazee wa lumumba!
  7. 9inone

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Ahhh sawa mama Samia awe mtumwa wa Wananchi lakini akitaka wananchi ndo wawe watumwa wake basi hapa ujue hatafanya lolote miaka yake hii minne tofauti na kudharaulika. Magufuli kafanya kazi ngumu na yenye manufaa sana kurudisha nchi kwenye mstari inapaswa aendelee huyu mama kuiweka mstari...
  8. 9inone

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    docta dawa inayotibu maradhi ya ngozi tafadhali
  9. 9inone

    Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Membe ana athari ndogo Uchaguzi wa 2020, Lowassa ni zaidi yake

    Huyo Lowasa alifanya nini wakati alishindwa kama wengine walivyoshindwa, Membe hana tatizo ila asigombee urais
  10. 9inone

    Bernard Membe apokelewa rasmi ACT–Wazalendo. Atoa ahadi kemkem endapo watashika madaraka

    Si mbaya kumpokea ila msimuweke kama lowasa acheni Tundu apiganie kiti cha urais kupitia vyama pinzani alafu Membe awe waziri wa ulinzi
  11. 9inone

    Napendekeza Makonda akishinda ubunge apewe Wizara ya Mambo ya Ndani

    Hicho unachopendekeza ni utoporo mtupu
  12. 9inone

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Siku zote anaejua unaelejea wapi ni yule alie tangulia huyo ndie mwenye uhakika 100%
  13. 9inone

    Hukumu dhidi yangu: Shukrani kwa watanzania – Maxence Melo

    Asante kwa taarifa ya kina mkuu
  14. 9inone

    Vijana wakimbia 'mdahalo'

    Ni kweli ila lazima uongezee maelezo kidogo sio yes au no kisha unaganda kamma barafu ya mlima k'njaro
  15. 9inone

    Vijana wakimbia 'mdahalo'

    Siku hizi kazi ni za kiukoo si za kukimenya kiingilishi
  16. 9inone

    Vijana wakimbia 'mdahalo'

    Haaaa haya wachabtuangalie movie nzima itakapoishia
  17. 9inone

    Lumumba, Dar: Mzee Kinana na Mzee Makamba waitikia wito Kamati ya Maadili ya CCM

    Kwanza kwa hawa wazee hakuna atake wafikia hata kamwe makatibu waliopo sasa wao wanajielekeza na serikali zaidi kuliko kukijenga chama, mzee kinana na makamba ni lulu kwa ccm hapa hatupeoesi macho. Waacheni ha wazee wakae na familia zao wapumzike
  18. 9inone

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Anatupeleka anapojua maana tumekubali kupelekwa.
Back
Top Bottom