Search results

  1. Tandam4

    Back the memory lane

    Hizi noti zilikuwa kali kuliko hizi redi
  2. Tandam4

    Picha: Inayat Kassam shujaa wa uokoaji shambulizi la Kenya amwagiwa sifa

    Wewe kama si mjeshi basi kaka jambazi
  3. Tandam4

    Zitto, acha Ubishi wa Kijinga... Sikiliza anachosema Rais. Yeye ndo anajua

    Na hutakaa uuone maana kusoma hujui hata picha huielewi
  4. Tandam4

    Picha ya kufikirisha na kuhuzunisha

    Hapo kuna naibu "rais"na waziri,tofauti ipo kubwa tu
  5. Tandam4

    Kuna baadhi ya members wakichangia tu uzi wako unabuma sijui wana nyota gani?!

    mmojawao mimi na huu uzi ushabuma mpaka hapa
  6. Tandam4

    Sirari: Wananchi wakusanyika kituo cha Polisi baada ya Polisi kudaiwa kumuua mdogo wake John Heche, Suguta Chacha

    Wapo wanaofurahia haya wanayofanyiwa wapinzani wa serikali.Ila ipo siku raia watachoka
  7. Tandam4

    Taarifa kwa wateja wetu wa Umeme waliounganishwa kwenye gridi ya taifa

    Nchi ya wendawazimu,inakera sana karne ya 21 badala ya kutatua kero kama hizi tunanunua mapangaboi
  8. Tandam4

    ACT Wazalendo condolences on the death of Nomzamo Winnie Mandela, The Mother of African Liberation.

    Mh Zitto re read hiyo habari hasa hizo tarehe mbona kama mbali sana
  9. Tandam4

    Kwanini sanduku la sadaka kanisani linafungwa kufuli?

    Palipo na fedha ndipo na roho zilipo
  10. Tandam4

    Wanaume wa dar watafikiri hapo ni kwa mganga.

    Umewasahau wa moro pia
  11. Tandam4

    Leadership styles. Which one falls under Magufuli's?

    Naamini jibu unalo,basi tu kutusumbua
  12. Tandam4

    Prof. Elisante Ole Gabriel, A Right Man At The Right Place, Ana Uwezo Kuelimisha Umma, Apewe Media Covarage ya Kutosha!

    Kulipa kodi ni jambo moja,je kuna matumizi sahihi ya kodi tunazolipa?au zianapangiwa matumizi toka ikulu
  13. Tandam4

    IKULU: Rais Magufuli amwapisha Dr. Wilbrod Slaa kuwa Balozi Sweden na Muhidin Mboweto kwenda Nigeria

    Balozi Dkt. Slaa hongera sana tulipigania mabadiliko miaka yote, ila chama chetu kikakusaliti.Tupo wengi hatujulikani tuliobaki neutral baada ya kuondoka kwako.Kaiwakilishe nchi vema.
  14. Tandam4

    Mkuu wa Mkoa hana mamlaka ya kusimamisha shughuli za kimahakama (Mabaraza ya Kata)

    Pamoja na mapungufu yake,kijana anajitahidi sana na kazi yake inaonekana,
Back
Top Bottom