Search results

  1. M

    Elimu ya kipindi kwa tv

    Wadau hebu nijuzeni,mtu akitaka kuanzisha kipindi kwa tv anatakiwa aanze process zipi,namaanisha kuanzia kuomba mpaka kuendesha kipindi bila kusahau malipo km mshahara,natamani sn kuwa mmojawapo wa watangazaji ambao hawajasomea fani hiyo lkn wenye hobi na wenyeutundu mwingi sn na programme za...
  2. M

    Huawei problem

    Washika dau wangu nina ka huawei modem hapa e153 nimekachakachua mpaka zile 10 trial zikaiisha manake kalikua kanasumbua,hebu niambieni nini cha kufanya zaidi ni ka mtandao wa tigo,au havifaagi?manake ndo mara yakwanza nachakachua ka tigo, gudmon wote
  3. M

    Skype

    Wadau kwanini pia tuaianzishe utaratibu wakujuliana hali nakusuluhisha matattizo kwa kutumia skype unaongea na mtu unamwelewesha vizuri kuhusu shida yake nadhani tumezoea bila kuona mwl laivu hatuelewi vizuri hili ndo tatizo nimeliona humu ndani
  4. M

    COMPAQ computer PROBLEM

    wadau nina shida mbili yakwanza niliformat computa kwakutumia external cd rom,ss nikainstall window upya lkn ss kila nikiwasha inaniandika A DISC READ ERROR OCCURED PRESS CNTRL+ALT+DEL,TO RESTART,Nikibonyeza inazima nakuanza tena upya kuniandikia huo ujumbe,NIFANYEJE?
  5. M

    Blackberry ni tatizo

    Wadau kuna blackberry nimetumiwa kutoka nje aina ni script naona haina lain,je wakuu hakuna visoftware tunaweza kuiongiza ndani yake tukatumia lain za bongo?wajanja nipeni utundu
  6. M

    microsoft office

    je kuna uwezekano wakuweka(install) microsoft mbili kwenye laptop na zikafanya kazi?mfano 2003 na 2007? wadau hebu nipe akili hapo na pia nikiidownload italeta shida?manake nina 2003 nataka niwdownload 2007
  7. M

    blue scree

    wakubwa naleta mezani matatizo mawili,lakwanza komputa nimeinstal antivirus ikascan baada yamuda ikarestart halafu inaonyesha blue screen haina chochote,pili nina simu yangu nadhani virus wameila kwasababu baadhi ya folder hazifanyi kazi mfano draft meseji,na simu haina uwezo wakuweka...
  8. M

    avg free

    avg kilio,jamani nimesafu sn kutaka kujua utofauti kati ya avg free na licensed lkn naona maelezo hajasimama vizuri,wenye experience je avg free ina madhaifu gani kwenye kuitumia?tofauti na licenced
  9. M

    Mchumba

    Mchumba,wajamani nina tatizo ambalo ni siriaz naomba msipuuzie,nina mchumba nimempenda na si ishi nae mwaka ss umeisha,kuna shida moja nampenda sn na yeye ananipenda shida ni kwamba mi niko chuo kikuu yeye ameishia form 4,alifel nimemwambia arisit pepa hataki nami nataka awe na ht credit ili...
  10. M

    computa

    computa mpya,nimetumiwa computa mpya naiwasha inaandika maneno yafuatayo nifanyeje?non system disk error,replace and stike any key when ready
  11. M

    word na excel

    shida ya microsoft word,wadau nipeni ujanja nikifungua word au excel inaandika there is no enough memory or disk space to run word,Nifanyeje?
  12. M

    Kudownload software kwenye simu

    Wadau hivi km nikidownload software au application yoyote kwakutumia simu halafu nikaisave kwenye memory card ya simu je nikiihamishia kwenye computa itafanya kazi?mfano antivirus ya pc nikadownload kwakutumia simu,ushauri wakuu
  13. M

    Switch user kwenye laptop

    Wadau nina shida laptop yangu wakati wakustart kikawaida inatakiwa inipe swicth user ili niweze kuchagua user,lkn hutoa user mmoja tu,kweye cotrol haitaki kuset user,msaada tafadhali
  14. M

    Msaada

    je kuna uwezekano wa kuongeza speed ya internet kwakutumia simu km modem?
  15. M

    Jamani kaspesky msaada

    1) WAZEE NATAKA KUPATA MSAADA WAKUDONLOAD ANTIVIRUS YA KASPESKY NA NIWEZE KUJIWEKEA SIKU MWENYEWE BADALA YA TRIAL VERSION YA SIKU 30 AU BADALA YA KUNUNUA CD 2) JE KUNA UWEZEKANO NIKAJIWEKEA HATA MIAKA KUMI?MANAKE NIMEONA MTU ANTIVIRUS YAKE INA MIAKA 10 CERTIFICATE WAHESHIMIWA MSAADA WENU NI...
Back
Top Bottom