Search results

  1. M

    Elimu ya kipindi kwa tv

    wakuu ushauri wenu ni wa muhimu sn nimeona mmekaa kimya sana hayupo mjanja wa mambo haya nini?
  2. M

    Elimu ya kipindi kwa tv

    Wadau hebu nijuzeni,mtu akitaka kuanzisha kipindi kwa tv anatakiwa aanze process zipi,namaanisha kuanzia kuomba mpaka kuendesha kipindi bila kusahau malipo km mshahara,natamani sn kuwa mmojawapo wa watangazaji ambao hawajasomea fani hiyo lkn wenye hobi na wenyeutundu mwingi sn na programme za...
  3. M

    Translating app to kiswahili

    SIJUI KAMA WAMEKUELEWA AU MI NDO NIMEELEWA LIBYA <br /> <br />
  4. M

    Huawei problem

    wazee mmekaa kimya sana nimeshtuka,hebu toeni ushauri wa hili suala la modem <br /> <br />
  5. M

    Huawei problem

    Washika dau wangu nina ka huawei modem hapa e153 nimekachakachua mpaka zile 10 trial zikaiisha manake kalikua kanasumbua,hebu niambieni nini cha kufanya zaidi ni ka mtandao wa tigo,au havifaagi?manake ndo mara yakwanza nachakachua ka tigo, gudmon wote
  6. M

    Skype

    Wadau kwanini pia tuaianzishe utaratibu wakujuliana hali nakusuluhisha matattizo kwa kutumia skype unaongea na mtu unamwelewesha vizuri kuhusu shida yake nadhani tumezoea bila kuona mwl laivu hatuelewi vizuri hili ndo tatizo nimeliona humu ndani
  7. M

    Msaada huyu dada wajameni

    Huyu dada kweli nampa pole hii hutokea pale unapomwamini mtu kua ndo atakuoa halafu kumbe ndo nia yake kukucezea tu,waliomponda wanakosea kwa sababu huyu dad anakaribia kumaliza chuo bila shaka ni umri mzuri wake wakuolewa,kwa hiyo kuachia goli ni sawa abisa ila alitakiwa awe mangalifu khs...
  8. M

    COMPAQ computer PROBLEM

    nilitumia external cd rom koz cd rom yake ilikataa kufanya kazi kabisa,pia nimejaribu kutoa hii hard drive nikaiweka kwenye laptop nyingine nikaicheki nikakuta iko ok na window niliinstal vizuri kabisa,ss bado napata utata hapa
  9. M

    COMPAQ computer PROBLEM

    wadau nina shida mbili yakwanza niliformat computa kwakutumia external cd rom,ss nikainstall window upya lkn ss kila nikiwasha inaniandika A DISC READ ERROR OCCURED PRESS CNTRL+ALT+DEL,TO RESTART,Nikibonyeza inazima nakuanza tena upya kuniandikia huo ujumbe,NIFANYEJE?
  10. M

    Blackberry ni tatizo

    NI BLACKBERRY 8703e SPRINT NI CDMA MADE IN CANADA RIM Company - Learn about Research In Motion
  11. M

    Blackberry ni tatizo

    Wakuu kiukweli ni cdma,ss hebu tuambiane kua hao zantel au sasa tel ni kitu gani wataifanyia ili nasi tujue jinsi yakufanya wenyewe,nimeupenda maunjanja ya humu ndani sn
  12. M

    Blackberry ni tatizo

    Wadau kuna blackberry nimetumiwa kutoka nje aina ni script naona haina lain,je wakuu hakuna visoftware tunaweza kuiongiza ndani yake tukatumia lain za bongo?wajanja nipeni utundu
  13. M

    microsoft office

    je kuna uwezekano wakuweka(install) microsoft mbili kwenye laptop na zikafanya kazi?mfano 2003 na 2007? wadau hebu nipe akili hapo na pia nikiidownload italeta shida?manake nina 2003 nataka niwdownload 2007
  14. M

    blue scree

    wakuu nimewin nyinyi ni waukweli sn,congratulation all
  15. M

    blue scree

    Wakubwa nimeamini hapa panasaidia sana,naona ss elimu tz imekua especialy kwenye mambo ya it,mawazo yenu nimeyakubali na yanasaidia,ila naomba niendelee kusema kuwa f8 nimebonyeza sana hakuna kitu window yake ni xp,kila nikibonyeza hakuna kinrespond bali scree inarudi kuwa blue nakuformat sitaki...
  16. M

    blue scree

    nashukuruni kwa mawazo mazuri,kaka hyo jog dial naona sjakusoma vizuri,
  17. M

    blue scree

    mkubwa ni avg licensed
  18. M

    blue scree

    wakubwa siku hizi naona hatuko active km zamani mtu ukidumbukiza tu idea watu wanaanza kujadili,naombeni walioko online jamani hebu rusheni idea,akina all,nk
  19. M

    blue scree

    wakubwa naleta mezani matatizo mawili,lakwanza komputa nimeinstal antivirus ikascan baada yamuda ikarestart halafu inaonyesha blue screen haina chochote,pili nina simu yangu nadhani virus wameila kwasababu baadhi ya folder hazifanyi kazi mfano draft meseji,na simu haina uwezo wakuweka...
  20. M

    computer running slow

    Wadau nami nemepatwa na tatizo km hilo ila likaongezeka lingine,nikiweka cd kwenye cd rom inaniletea page ya kubarn badala ya kufungua files au nyimbo,nami nimeformat nikaweka window 7,hebu tupeni akili wakuu
Back
Top Bottom