Search results

  1. Wgr30

    Natafuta mme awe mkoa wa Iringa na Njombe

    Dah! Niko Njombe nina 28 tunaweza kubagain au nisubiri nifikishe 35 hiyo unayotaka!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Wgr30

    Msaada: Nataka kuuza nyumba maana baba yangu mzazi anadai mimi sio mtoto wake

    Hii chai na baridi hii ndo inashuka vyema kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Wgr30

    Wallace Karia: Ligi za Dar zimekosa mvuto kwasababu ya Ndondo Cup

    Hapa mtu anatafutwa apigwe ban nyingine kilichomfanya ahoji mkataba wa Jiesiemu na Tiefef, mwaka huu atakula jeuri yake. Nakumbuka kama aliwahi kupongeza hayo mashindano na waandaji wake leo imekuaje tena!!
  4. Wgr30

    Tetemeko la ardhi limetokea Katavi na Mpanda

    Nami nimehisi kitu kama hicho Njombe mji japo hakikuwa na nguvu kubwa lakini ilipita kama saa 19pm au 20pm hivi
  5. Wgr30

    Humu kuna wanaume serious kweli

    Wewe hauhitaji rafiki wa kiume,! hilo tangazo sikuliona kweli kabisa. Kama unahitaji rafiki wa kiume tuingie chemba
  6. Wgr30

    Humu kuna wanaume serious kweli

    Hilo tangazo mbona sikuliona kipenzi changu jamani! Vigezo vilikuaje nisije nikaanza kuita kipenzi kumbe sijakidhi vigezo!
  7. Wgr30

    Natafuta wa kuchat nae

    Miaka tatizo khaa! jamani ngoja nikiwa mkubwa
  8. Wgr30

    Naomba kujua kuhusu mkoa wa Njombe

    Ndio Mkuu niko Njombe
  9. Wgr30

    Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

    Mbona mbwembwe nyingi sana kwenye kufikisha ujumbe mkuu hii sio chai kweli wadau!! Maana ukisoma kwa kutulia unaweza ukamuelewa zaidi ya alichoandika hapa!
  10. Wgr30

    Kuna watu wa ajabu sana...Jinsia Ke inamambo....

    Ni hii bangi niliyovuta asubuhi ndo maana sijaelewa ama na wengine hawajaelewa!
  11. Wgr30

    Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

    Jamaa fulani ambao hawana longolongo kwenye ndoa wapambanaji sana kwenye familia zao kwao 1 ni 1 nyeupe ni nyeupe Tabia unazomuona nazo kwenye uchumba hazitobadilika ni hizo hizo Lakini usimbane sana kwenye ndoa mpaka akajua unambana mpe nafasi. Nb. Sio wote lakini wengi wao wako fresh sana.
  12. Wgr30

    Nahitaji Mme mwenye miaka 38-49

    Dah! Yaani mimi niko maeneo tajwa hapo juu ila umri sasa khaaa! Nina 28. Haya mama mimi nataka urafiki tu basi sitaki nikusumbue coz sijatimiza vigezo. Kama hautajali tuwe marafiki tu!
  13. Wgr30

    Sehemu gani nzuri ya starehe Mwanza?

    Tayari waneshafanya marekebisho si imeungua juzi kati hapa ama sio hiyo!!!
  14. Wgr30

    Unazungumziaje ngoma mpya ya simba

    Usiku nilipita YouTube nikaiona yaani nyimbo ina dk 2:42 lakini sikuzimaliza haovyo kabisa yaani unajua hovyo!! Sikupata neno hata moja yaani kaimba kitu gani kile!!
  15. Wgr30

    Vile mashauzi yalivyoniumbua

    Ni mwaka huu mwanzoni alipita mdada tulikuwa tumesimama sehemu na washkaji kama 4 hivi tunapiga story akapita mdada huyo mrembo huyo sijui kama wengine walimuona vizuri wakakaa kimya sijui mimi nilimuona juu mpaka chini jicho likagota kwenye zipu mrembo wa watu hajafunga zipu Nikakamuita Dada...
  16. Wgr30

    Natafuta rafiki wa kiume

    Niko na umri wa miaka 28 nije tubagein au niishie hapa hapa!!
  17. Wgr30

    Kuna njia za kutambua kama nimepigwa limbwata?

    Wewe ndiyo huyo kwenye picha?
Back
Top Bottom