Search results

  1. lightning

    Tukumbuke enzi za 'debate' na 'morning speech' tulipokuwa shuleni

    Mkuu umesahau "School baraza" Usiombe ukaongea pumba tutakupigia makofi mwanzo mwisho mpaka uachie mic mwenyewe [emoji51] [emoji51] [emoji51]
  2. lightning

    SHAHIDI: Chusa alipanga mauaji ya Bilionea Msuya

    Mtu yupo chini ya ulinzi na bado anaweza kupanga uhalifu........ Hii ni nini...? 1. Vyombo vya usalama vimezidiwa mbinu na wahalifu? 2. Au vyombo hivi vya usalama vinashirikiana na wahalifu?
  3. lightning

    Bilionea amwaga "billions" kuileta Barcelona Afrika

    Mechi itakuwa Mei 6, 2018 ?!
  4. lightning

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Yajayo yanafurahisha....26:05:18:21:45
  5. lightning

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool wanatikiwa kushambulia wakati wote, wasijaribu kupaki bus hata kidogo!
  6. lightning

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Jumla ya goli anazo pigwa Roma katika mechi mbili ndo atakazo pigwa Madrid usiku ule !!! [emoji41] [emoji51]
  7. lightning

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Confirmed: It's Liverpool VS R.Madrid.
  8. lightning

    Naomba Serikali iangalie makato ya vyama vya wafanyakazi ni makubwa mno

    Sitamani hata kidogo kujitoa kwenye TUICO. Nanufaika sana na Mkataba wa Hali Bora. Lakini pia nina uhakika wakutetewa kisheria nikionewa. Nakatwa 2% monthly but kwenye CBA napata annual increment ya 10% ya basic yangu
  9. lightning

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Mapicha ya kihindi pale CTN kila jumapili, achaaa bhana!!!!
  10. lightning

    Waraka kutoka Iringa: Sababu za Tundu Lissu kumshambulia Rais Magufuli hizi hapa...

    Paukwaa.....pakawa!! Hadithi nyingine tafadhali
  11. lightning

    Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

    Jakitoo FOREVER[emoji180]
  12. lightning

    Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

    [emoji124] [emoji124] [emoji124]
  13. lightning

    Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

    Jakitoo.....I don't know why!
  14. lightning

    KIGOMA: Mkuu wa Shule ya Sekondari Kakonko ajinyonga, asema Mkurugenzi wa Kakonko asipodhibitiwa ataua wengi

    Wafanyakazi wengi wana msongo wa mawazo unao tokana na mahusiano mabaya mahali pakazi na waajiri wao. Tatizo hili kwa mtazamo wangu kwa miongo kazaa liligusa sana wafanyakazi wa sekta binafsi kwa kiasi kikubwa, lakini sasa limeshika hatamu kwa sekta ya umma. Maoni yangu, Mjadala wa kitaifa...
  15. lightning

    Sasa ni zamu ya Ruangwa: Uwanja wa michezo wa kisasa kujengwa wilayani humo

    Bora wange fanya kimya kimya jameni...
Back
Top Bottom