Search results

  1. shamp

    Napataje connection ya kuagiza bidhaa nje (China)

    Wakuu naomba mtu mwenye connection na makampuni ambayo naweza agizia vyombo, simu, nguo kwa bei nafuu au kwa maduka yanayouza vitu hivyo kwa bei ya kiwandani maduka ya Mwanza au Dar wapi napata?
  2. shamp

    Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Kwann usiende kufanya hizo hizo wanazofanya wenzio wanapata faida zaidi ya milion 2 kwa mwez
  3. shamp

    Biashara ya vifaa vya simu

    Waungwana habari ya saizi napenda kuuliza je biashara ya vifaa vya simu kama, chaji, kava, protecta, earphones, chaji n.k je mtaji wa laki tano unaweza kutosha au inahitaji walau mtaji wa sh.ngapi kwa kuanza tu nje na matengenezo ya ofisi ,,,,? Naombeni majibu kwa wanaojua na je inalipa..?
  4. shamp

    Nguo za mitumba na viatu

    Wakuu mimi nawaza kuanzisha biashara ya nguo za wanaume pamoja na viatu baada ya hili janga la Corona kuisha sasa naomba kwa wale waliopo dar wanipe connection ni maeneo gani hapo dar naweza pata izi nguo za mitumba na bei zake ni sh.ngapi pia kwa natshet ya manga yenye Cora na yasiyo na cora...
  5. shamp

    Nauza Notes na solved question za Olevel na Advance

    Najua suala la elimu kila mtu ana njia zake ambazo zilimfanya ikawa rahisi kwa upande wake mimi nina njia zangu ambazo zilinifanya nikaona kufaulu ni jambo rahisi pia natoa notes za olevel na advance kwa bei rahisi sana kwa anaehitaji nitafute kwa 0621084220 0621084220. Sent using Jamii Forums...
  6. shamp

    Naomba ufafanuzi kuhusu ajira kwa mtu aliyesoma kozi ya Public Relations and Marketing

    Wakuu suala zima ni la ajira kwamba siku hizi ajira kila sekta ni ngumu lakini pia nataka kuuliza ikitokea mtu amemaliza degree ya Public Relations and Marketing anaweza omba kazi sehemu zipi anaposubili ajira serikalin? Na ni short course ipi anayoweza kuisomea akiwa amemaliza degree yake ata...
  7. shamp

    Vodacom UN offer imekaaje

    Samahani wakuu nataka kujua kwa aliejiunga na mtandao wa Vodacom ya mwanachuo vifurushi vyake vipoje na huchukua mda gan kukamilika mana naambiwa vifurushi vyake vya chuo vizuri wengne wanasema sawa tu na laina ya kawaida naomba mwenye kulijua hili :Asanten Sent using Jamii Forums mobile app
  8. shamp

    Udom siwaelewi kabisa

    Jaman Samahani kwa walioomba chuo cha udom awamu ya tatu je kuna kulipia au ni bure mana ad namaliza application na kusubmit hawajanipa control number wakati usipolipia huwez ingia kwenye kipengele kinachofuata msaada kwa anaeelewa juu ya hili
  9. shamp

    CHUO KIKUU SAUTI MWANZA

    Samahan wakubwa kwa mwenye kujua bei ya kupanga vyumba mwanza SAUTI mana kukaa hostel hawaruhusu kutumia Pasi wala tv sasa nataka kujua bei ya vyumba ni sh.ngap kwa mwaka yaan ghalama ndogo na kubwa ya chumba ni ni sh.ngapi ASANTEN
  10. shamp

    Kuhusu ajira na cozi imekaaje

    Samahani wakubwa ivi kwa aliyesoma au anaejua comb ya HKL eti kuna coz nyingne ambayo ni rahisi kupata ajira ata kama serikali itachelewa kutoa ajira kwa anaejua basi atuambie wadogo zenu hatuelewi yani ni coz ipi iko poa sana kwenye ajira
  11. shamp

    Mapenzi kitu kibaya sana

    Jaman mi ninachohitaji ni ushauri nipo katika hali mbaya kuna mwanamke nampenda sana lakin kasikia kua nina dem mwingine kitu ambacho sio cha kweli kisa tu nilipiga nae picha basi rafiki zake wakamwambia mi nilisex nae adi tukapiga picha nimejaribu kuongea nae lakin hanielew nimeagizia rafik...
  12. shamp

    FORM SIX 2019 TUANZIE WAPI

    Samahani wakuu najua wapo form six wengi wamemaliza na wanaendelea kumaliza elimu yao lakini hatujui tuanzie wapi mara kuomba mikopo,mara jeshi na zinginevyo. Tunaomba mwongozo kwa wakubwa zetu mliopita huku asanten
  13. shamp

    SWALI LA TAFSIRI

    wewe kama mfasiri wa lugha wakati mwingine yawezekana ukakosa visawe kabisa visawe vya istirahi za lugha chanzi yako katika lugha lengwa yako hali hiyo ikijitokeza inatakiwa kuunda istirahi yako mwenyewe .fafanua sifa sita za istirahi hizo zitakazoundwa. JAMAN NAOMBEN MWENYE MAJIBU YA HILI...
  14. shamp

    Natamani kufanya naye mapenzi ila hanielewi

    Habari ya mahangaiko wakuu wa jukwaa hili, kama kichwa cha habari kinavyosema. Nina mpenzi ambae tumekaa nae kwenye mahusiano takribani miezi mitatu mpaka saizi lakini nikimwambia habari za kufanya nae mapenzi anadai eti mpaka nije nimuoe na anajua kabisa mimi na yeye kuoana ni pale tutakapo...
  15. shamp

    Views za ali kiba na pantoranking

    Naona watu wakibishana mala ooh diamond anafikisha views nyingi sababu kashirikisha msanii mwingine swali je huyu kiba si alifanya nyimbo na patoranking kwanini asifikishe views nyingi kama mond a.k.a simba lakin kila kukicha ni kelele wahenga wanasema hujui kusoma ata picha huoni tuache mambo...
  16. shamp

    Neymar Jr amekurupuka kwenda PSG

    BINAFSI sitamsamehe Neymar. Katika umri wa miaka 25, nyakati unazotamani kuona akielekea juu kabisa ya kilele cha ubora duniani, anachagua kuondoka Barcelona na kwenda PSG. Kwa mchezaji wa aina yake mwenye uwezo kama wake, unatokaje kirahisi katika ligi bora duniani na kuchagua kucheza Ligue 1...
  17. shamp

    Je, kufanya mazoezi gym ukiwa na umri mdogo kuna madhara?

    Mmh upo ktk mawazo yangu Leo kwa mala ya kwanza nusu tu niende gym kamvua kakaanza ko nikaailisha afu naona hii thread kua kuna madhara tena du ngoja wataalam waje tujue
  18. shamp

    Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

    Ha haaaaa[emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom