Search results

  1. harder king

    Car4Sale Abigail magari used

    sema bei yako acha kupangiwa
  2. harder king

    Mwenye mbinu za kuacha ngono

    Sasa kama upendi ngono unaomba msaada wa kuacha nini masta au mm ndio sijaelewa.
  3. harder king

    Huyu mwanangu wa ujanani nimfanye nini ili awe kama wenzie?

    "sasa jana mama ake amempa atm card atoe pesa amlipie ada yake ya shule na mahitaji ya shule mpya, kampiga pesa katoa 50k zaidi ambao hakumwabia hivi vi pesa vidogo Jamani huyu mtoto atakuja kubadilika au ndo hivo kasha kua mwizi wa kudumu? Ushauri tafadhari" Nyie ndio mliomwaribu iv unaijua...
  4. harder king

    Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

    Kwan wapo wawili masta?
  5. harder king

    Nimeota leo Simba anafungwa na Azam kombe la Mapinduzi

    Amka utakojoa kitandan pimbi wewe tangu mlimwe 9 na Azam maisha yenu yamekua magumu sana
  6. harder king

    Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

    Yaani kumpa mkeo ujauzito ni kujidhalilisha kumbe, kama amna tatizo kwa mkeo lea mimba na hyo mtoto Miezi 9 ni mingi kwa mtoto kama utasimamia lishe na matibabu kwa ukaribu. Labda kama unaogopa mimba ikianza kuonekana itajulikana ulikula mama bila kinga.
  7. harder king

    Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

    Ata mimi nimeshangaa aisee kama kweli ni27 mmiliki wa mwanzo aliitumia vibaya.
  8. harder king

    Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

    Sio mbaya mzee anacheza zake dkk45 anamwachia mwingine amalizie zilizobaki.
  9. harder king

    Mawakala wa Kutoa/Kuweka Pesa Walivyo wezi wa Pesa za Wateja

    Mfuate hyo pimbi mzabe makofi matatu ya ukweli bro upunguze hasira maana amna utakachopata zaidi ya hicho.
  10. harder king

    Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

    Kmkm tuachie hyo boya
  11. harder king

    Huu unyonge wa kushindwa kuongea mnapokereka wanaume unasababishwa na nini?

    Mimi ata akibadili tabasamu ujumbe Nampa mubashara yaan ata Kama ni mm nmemkera nikijua namwambia na nikijua shida ni mm kutamka neno ni "nisamehe kwangu haijawai kua tabu"
  12. harder king

    Leo ni Siku ya "Kutokuvaa Bra" Duniani

    Hii siku kwa nn isingekua inatangazwa Kama September 11? Kila nikikatiza sion ambae hana bra ukute ata hawajui [emoji45]
  13. harder king

    Picha: Mbunge wa Tarime Mjini akiwasaidia watoto wa mtaani kubeba makopo

    Kama ushakula vyake ili umpigie debe pambana ila kwa huku jf umeangukia pua upat kitu
  14. harder king

    Wanaoendesha “Pikipiki zinazopiga mabomu” wachukuliwe hatua za kisheria waache

    We itakua ni mzururaji tena kwa miguu ungekua ata na kavitz Wala usingekaa uyasikie hayo mabomu na ukiendelea yatakuua kabisa ili usiyasikie milele
  15. harder king

    Picha: Mbunge wa Tarime Mjini akiwasaidia watoto wa mtaani kubeba makopo

    Yaan kubeba makopo ni kujali wanyonge? Hyo hata huo ubunge ni kwa vile alipewa wa mezani ila kiualisia hana sifa za kua mbunge yaan kiongozi badala unakuta wakulima wanalima kwa kutumia jembe la mkono badala uwasaidie kwa kuwapa trekta et na wewe unashika jembe tena mbele ya camera . Kwenye...
  16. harder king

    Picha: Mbunge wa Tarime Mjini akiwasaidia watoto wa mtaani kubeba makopo

    Kufanya kazi mbele ya camera ndio kuchapa kazi? Sifa za kijinga hyo ukimpa uwaziri mkuu TBC haitakua na kazi nyingine.
Back
Top Bottom