Search results

  1. J

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti...
  2. J

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
  3. J

    China mbona ina uchumi mkubwa ila haina ujasiri wa kijeshi?

    Nchi ya China ndio nchi inayotengeneza na ku export karibu nusu ya bidhaa zote duniani, Sio magari, electronics, vifaa vya ujenzi na umeme na pia katika ujenzi wa miundombinu mingi duniani kupitia mradi wake wa Belt and Road Initiative Kwa influence kubwa kiuchumi aliyonayo China mtu...
  4. J

    Skudu Makudubela: Aziz Ki amekataa ofa ya kujiunga na Mamelodi, alisema ligi ya South Africa imeshuka ubora

    Mchezaji wa Yanga kutoka South Afrika, akihojiwa na waandishi kuhusu Aziz Ki amesema mchezaji huyo alimwambia alikataa ofa ya kujiunga na timu za South Africa sababu kuwa ameona ligi hiyo imeshuka ubora, japo hakuelezea kwa kirefu Looks like Stephane Aziz Ki could reject PSL clubs amid reported...
  5. J

    Nimezidi kuumia baada ya kuona Mamelodi amepangwa na Esperance nusu fainali. Yanga ilikuwa inaenda fainali, hata kushinda kombe

    Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance. Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi. Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali...
  6. J

    Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

    Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio...
  7. J

    Kwanini wanaharakati wengi waliovuma kipindi cha Magufuli wamepoteza umaarufu wao awamu hii?

    Kipindi cha Magufuli tulishuhudia kuibuka kwa wanaharakati wengi mtandaoni Kuna ambao walikuwepo tangu zamani lakini umaarufu wao ukaongezeka mara dufu kipindi cha Magufuli na wengine hawakuwahi kuwepo kabisa katika harakati za siasa kabla ya urais wa Magufuli Baadhi ya Wanaharakati hao ni...
  8. J

    Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo. Maajabu ni kuwa...
  9. J

    Mchakato wa kuanzisha somo jipya la Historia ya Tanzania alioyoagiza Hayati Magufuli umeishia wapi?

    Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa. Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha...
  10. J

    Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

    Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita, Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha...
  11. J

    Kwanini mashabiki wa Yanga wanapinga vikali Al Hilal kushiriki ligi kuu ya Tanzania?

    Nimepita mtandaoni, nikifuatilia maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Al Hilal ya Sudan kushiriki ligi yetu ya NBC mwakani, wengine wameona ni jambo zuri kwa club hiyo ya kimataifa ya Sudan kuja kuongeza ushindani kwenye ligi yetu. Lakini kwa mashabiki ambao wako mrengo wa Yanga nineona wakipinga...
  12. J

    Jokate: Rais Samia anajiamini ndiyo maana ameruhusu Wapinzani waandamane

    "Tofauti na kipindi kilichopita, awamu hii ya Rais Samia tumeona watu wanaruhusiwa wanaandamana barabarani, mama ameruhusu na anawapa na ulinzi kwa sababu mama anajiamini, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mama anayejiamini ndio maana 'chokochoko', maneno havimsumbui, lakini imani yake...
  13. J

    Mchezaji anaruhusiwa kuondoka na kujiunga club nyingine baada ya kipindi cha usajili kupita?

    Naona Prince Dube ameaga anaondoka Azam, na assume ametimiza masharti aliyotoa Azam, je ataruhisiwa kujiunga na club nyingine wakati dirisha la usajili limefungwa, Januari?
  14. J

    Ishu ya Prince Dube na Fei Toto ni tofauti, huyu mwanasheria wa Yanga mbona sio muelewa?

    Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote Lakini kwa Feisal...
  15. J

    Simba kumbe aliwekewa hujuma na timu 4 kubwa Asec, Wydad,. Yanga na Galaxy ili aisipenye robo fainali

    Aisee kweli mpira ni vita sasa ni wazi kumbe Simba alikuwa akipambana na hujuma kali kutoka kwa timu 4 ili asiingie robo fainali. Timu hizo ni Wydad ambaye aliamua kucheza mchezo mchafu na kwenda kuwahonga Asec wamuachie goli ashinde kwa uhakika. Timu nyingine ni Asec ambao walikubali kula...
  16. J

    Kwa goli hili, Mechi ya Wydad vs ASEC ilikuwa ni Fixed Match?

    Angalieni video ya goli la Wydad vs ASEC, hii ilikuwa live ni FIXED MATCH. CAF wanapaswa kufuatilia skendo hii na kuchukua hatua kali kwa wahusika Bahasha zinatembea hadi CAF?
  17. J

    Rekodi za CAF: Yanga ndio timu iliyofuzu kwa pointi chache zaidi, Simba

    Hizi ndio rekodi za CAF msimu huu Mamelodi ndio timu iliyofuzu kwa pointi nyingi zaidi, 13 Yanga ndio iliyofuzu kwa pointi kiduchu zaidi , 8 Simba ndio timu iliyoshinda kwa ushindi mnono zaidi, 6-0 Lakini hii haina maana kuwa Yanga haitosonga, inaweza kuwa kama Ivory Coast
  18. J

    Kombe la Shirikisho (CAFCC) au Loser Cup limefutwa?

    Kombe la Shirikisho ambalo ni shindano pendwa la Yanga limefutwa? Maana sisikii tena likizungumziwa hata wachambuzi wala mashabiki Vip hili kombe limefutwa au ndio kuwa halina mvuto kabisa hadi limesahaulika na kila mtu?
  19. J

    Siamini Simba walimaliza na alama 13 juu ya Al Ahly alama 8 na hawakujitapa hivi?

    Simba walimaliza juu ya Al Ahly tena kwa kishindo lakini sikusikia haya makelele kama niliyokuwa nayasikia kwa uto au ndio kipofu kaona mwezi? Hawa jamaa baada ya kuwafunga CRB goli 4 walijitapa eti watafika fainali, sasa sijui wangeongoza kundi mbele ya mabingwa wa Afrika wangepandwa na mizuka...
  20. J

    Tundu Lissu anataka biashara zifungwe na magari yazuiwe siku ya maandamano ya CHADEMA

    Kutoka Jambo Tv, Lissu anasema wakiwa wanaandamana inatakiwa polisi wafunge barabara na biashara zifungwe ili kupisha maandamano hayo
Back
Top Bottom