Search results

  1. J

    Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    Kuna mtu alikuwa mwizi wa kura kuliko mwendazake?
  2. J

    Naungana na Vladimir Putin kuthibitishia ulimwengu kwamba Yesu alikuwa mtu mweusi

    Waafrika wanafahamika kwa mihemko yao, wanachezewa akili na Putin
  3. J

    Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    Chadema mbona nao wanashiriki uchaguzi katika mazingira haya haya? Kipindi cha Magufuli si walikuwa wakisusia uchaguzi ndogo lakini wakaja kushiriki uchaguzi mkuu na mazingira yakiwa hayajabadilika? Mwaka huu si wamesema watashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa? Mwakani si wamesema pia...
  4. J

    Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    ACT kuibiwa kura ndio kitu ambacho kilitakiwa kujadiliwa kwa nguvu na CDM na kuiuliza CCM maswali kuwa walikuwa wanamsingizia Magufuli huku wao wanafanya hayo hayo, Cha ajabu Chadema wanaipongeza CCM na kuicheka ACT
  5. J

    Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    Sio kila kitu kina minutes mzee
  6. J

    Kwanini wanaharakati wengi waliovuma kipindi cha Magufuli wamepoteza umaarufu wao awamu hii?

    Kipindi cha Magufuli tulishuhudia kuibuka kwa wanaharakati wengi mtandaoni Kuna ambao walikuwepo tangu zamani lakini umaarufu wao ukaongezeka mara dufu kipindi cha Magufuli na wengine hawakuwahi kuwepo kabisa katika harakati za siasa kabla ya urais wa Magufuli Baadhi ya Wanaharakati hao ni...
  7. J

    Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    Mzee hivi tunaosema CCM wamefanya jambo fulani, kwani huwa wanakuwa wametoa taarifa rasmi kuwa wamefanya?
  8. J

    Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    Viongozi waandamizi na wanachama wake wakiwa wanashangilia mtandaoni na wala hawajakemewa nafikiri tunaweza kusema ni chama
  9. J

    Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    Chadema watashiriki kama kawaida chaguzi zijazo
  10. J

    Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    Sijasema iisadie nimeshangaa tu wanashangilia
  11. J

    Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    Chadema nao wamekuwa wakishiriki chaguzi zote kuu na kulalamika wanaibiwa kura tangia mwaka 1995
  12. J

    Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo. Maajabu ni kuwa...
  13. J

    Mchakato wa kuanzisha somo jipya la Historia ya Tanzania alioyoagiza Hayati Magufuli umeishia wapi?

    Ahaa, kwa hiyo wana somo lile lingine la historia ya kawaida pamoja na hili la historia ya Tanzania?
  14. J

    Mchakato wa kuanzisha somo jipya la Historia ya Tanzania alioyoagiza Hayati Magufuli umeishia wapi?

    Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa. Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha...
Back
Top Bottom