Search results

  1. usatrumpjr

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Mpk nyumbn kwao hajiamini huyu mzee hawa wasanii utafikiria ndo wanakuja kumwaga sera asee
  2. usatrumpjr

    Ubalozi wa Ufaransa wafuta matangazo ya Magufuli!

    Sasa vijana wa lumumba mnaujua ubalozi nyie?maana hata wakubwa zenu wengi tu hawaujui
  3. usatrumpjr

    Uchaguzi 2020 Wanaoratibu kampeni za CCM wana matumizi ya Fedha yasiyo na tija

    Walishindwa kuleta maendeleo ngoja watumie tu maana ndo gharama wanazoziweza
  4. usatrumpjr

    Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

    Ukihoji ya mdee usisahau kuhoji ya sisiemu kwa miaka zaidi ya 50 kua madarakani wamefanya nini?
  5. usatrumpjr

    Wakili wa Tundu Lissu amwaga cheche kwa walivyojipanga dhidi ya mteja wao

    Bangi kuna muda inaonekana nzuriiii ila hii yako hapana
  6. usatrumpjr

    Uchaguzi 2020 Ukizunguka hii nchi unaweza kuhisi mgombea Urais ni mmoja tu, CHADEMA mmefeli sana

    We hujui kuna utaratibu mpya wa kulipia kodi hayo mabango tena kwa wapinzani sijui ni ya biashara
  7. usatrumpjr

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

    Lissu lissu lissu nimekuita mara3 naomba umwache ndugu yetu asije anguka kesho anamkutano kijijini kwake naona na harmonize yupo kwa ajili ya burudani mpk nyumbn huna uhakika na umewafanyia maendeleo ya taa barabarani na uwanja wa ndege hahahaa
  8. usatrumpjr

    Uchaguzi 2020 Ujue Tundu Lissu unakera, unakera, unakera!

    Jamaa walikua wamezoea kukaa ikulu wanawaita waandishi wa habari wanakua live tv karibia zoote wanawaambia raia kua wameingia uchumi wa kati hawataki maswali sasa leo wameweza kukutana na chuma cha mjerumani anagonga nyundoo na spana hatariiii
  9. usatrumpjr

    Uchaguzi 2020 Zilongwa mbali zitendwa mbali CHADEMA yasimamisha mgombea Urais Zanzibar

    Naona dalili ya ZEC kuipa chadema kura za ACT ili wagawane na CCM kubakizwa na kura zake+alizoibiwa mwisho wa siku ionekane wapinzani wamegawana kura
  10. usatrumpjr

    Uchaguzi 2020 Waajiri wamuonya Lissu kupotosha kuhusu ajira

    Nilipo ona habari leo na habib mchange nkajua basiii hakuna kitu hapa
  11. usatrumpjr

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Lissu kaanzia Dar kaenda arusha akaenda mwanza akaenda shy tabora dom mbeya mtwara then zenji hakukaa kanda ya ziwa kama huyu bwana na ukizingatia nguvu inayotumika huku kanda ya ziwa ni kubwa saaana na ndiko hakubariki kiivyo pia ndo maana anatumia kuchafua mji kwa mabango kusomba mpk watoto...
  12. usatrumpjr

    Harmonize unamuimbia nani Kiingereza?

    sema nyimbo zake nyingi za kingereza kama hazina mtu wa kuzipitia kabla hazijatoka asee kingereza cha hovyooo kabisa kwa karne hii
  13. usatrumpjr

    Bajaji ipi yenye faida kubwa Kati ya bajaji ya abiria na bajaji ya mizigo

    Uwekeze ml7 au 5 ukapigwe na upepo?c bora ubadili biashara tu
  14. usatrumpjr

    Muwe makini kuna uwezekano Tundu Lissu kapandikizwa RFID microchip na wazungu kwenye mwili wake

    Nyie watoto bado hamjaenda jeshini tu tarehe si zimeshapita jamani
  15. usatrumpjr

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Siku lissu kamiminiwa risasi dodoma sep7 2017 nilipigiwa simu na dada angu kipenzi akanambia ilo swala nikamwambia nipo porini sijui chochote na ilinibidi nitoke uko porini hakukua na Internet vizuri nikaenda mjini kufatilia hiyo habari kweli kati ya kipindi ambacho moyo wangu uliniuma na...
Back
Top Bottom