Search results

  1. BALAGASHIA

    Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu

    Ni ukweli uliowazi Ndugai ametumika kuwaumiza wengi sana,na Kuna wakati aliona hakuna wa kumfanya chochote. Mungu hulipa hapa hapa. Kwenye suala la Lissu, Ndugai aligeuka na kuwa zaidi ya mnyama.
  2. BALAGASHIA

    Leo Desemba 31, 2021 tuna hotuba mbili za kupima uelewa wa viongozi wetu

    Utabiri wangu kura ya turufu naiweka kwa Mh Samia naamini itakuwa hotuba yenye kuliponya Taifa na yenye msingi wa kuimarisha nchi yetu kwa yote yaliyo pita. Haitakuwa na vijembe. Lissu namkubali sana ila naona kama leo hotuba yake itakuwa kali na maneno magum kutekelezeka.
  3. BALAGASHIA

    Huu utofauti wa vijana wa CCM na Chadema unatokana na nini?

    Katika misingi ya kujenga hoja naona kama vijana wa Chadema wako vizuri sana. Kwani vijana wa CCM hawasomi shule hizihizi wanazosoma vijana wa Chadema? Kuna nini CCM mi sielewi, ni kweli chama kimekubali kuwa na mtazamo wa vijana wa kusifia tu. Kila nikiwaangalia vijana wa CCM nahisi kuna...
  4. BALAGASHIA

    #COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Kuna mambo hayakosawa nchi hii na Nafikiri ufinyu wa fikra za watanzania ni mtaji mkubwa wa CCM na wapiga propaganda wao
  5. BALAGASHIA

    #COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Shughuli Za mwenge zilipoanza nilijua kabisa wataalam wa zindiko wameamka. Kuna mambo ndani ya Taifa letu yanafanyika mpaka unajiuliza wananchi kweli Tunaakili? Hii inshu ya gwajima ni usanii Mtupu,Gwajima si mwanasiasa na wala hana ubavu wa kusimamia anachokisema. Wanatengeneza huu usani...
  6. BALAGASHIA

    Najiuliza hivi kuna haja gani ya wana CCM kupaniki?

    Najiuliza hivi kuna haja gani ya wana CCM kupaniki?kama upinzani umekubali kujimaliza wenyewe ya nini kununa? Lissu kashtuka lakini naona vijana wa chadema wanacheza ngoma bila maarifa. Niwaambie haya mnayoyaandika Leo vijana wa chadema yatakuja kuwahukumu kesho. Kipindi cha Hayati JPM, CCM...
  7. BALAGASHIA

    Hivi hizi shangwe ni za Rais Samia au za CCM

    Sawa tuimbe pamoja
  8. BALAGASHIA

    Hivi hizi shangwe ni za Rais Samia au za CCM

    Nahisi chini ya mama Samia CCM inaonekana kuimarika zaidi.naona kama kwa sasa CCM haina mpinzani tena. Kwa kweli inaonekana vijana sasa wameamua kuimba mapambio ya CCM. Kidumu Chama cha Mapinduzi.
  9. BALAGASHIA

    Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Hili linaloendelaea sasa linatotakana na ujinga na uzushi ambao umekuwa ukifanywa na baadhi ya watu ukiachwa kwa kisingizio kuwa ni uzalendo. Musiba,huyu ameumiza watu wengi sana kwa habari za uongo,lakini hashikiki kwa sababu kuna watu wanafurahishwa na anayoyafanya. Ushangiliaji huu kama...
  10. BALAGASHIA

    Nani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar baada ya kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad?

    Ni Sawa lakini kwa uzoefu wa siasa za Zanzibar Jusa anaweza asiwe mwiba sana
  11. BALAGASHIA

    Nani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar baada ya kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad?

    Kwa namna ya siasa ya Zanzibar ilivyo nawaza tu, Hivi mkimteua Shekh Mselem kuwa makamu wa kwanza wa Raisi ,haliwezi kuwa pigo kubwa kwa CCM? Sioni kwa sasa kama kuna mtu anaweza kumzuia Mselem kwa ushawishi Zanzibar. Juma duni, Mazrui, Jusa na wengine kwa sasa CCM hawawaoni kama tishio...
  12. BALAGASHIA

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli unamtenga Jakaya Kikwete kwenye Kampeni zako, kumbuka ndiye aliyekupa Urais 2015. Muangukie akusaidie

    Mpaka sasa sijaona hotuba yoyote ya maana unayoweza kumsifia mgombea wetu.wananchi ni kama hawamwelewi mgombea wetu.hii siyo CCM nnayoijua ni aibu. Sikio la kufa halisikii dawa.Nilionya mapema uchaguzi huu si lelemama. Wapiga mapambio wanamdanganya mkuu.hizi hotuba hazina mashiko aeleze mambo...
  13. BALAGASHIA

    Uchaguzi 2020 Membe alisema ana wafuasi wengi watamfuata, mbona kama naona ni uongo?

    Hebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe. Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini. Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?
  14. BALAGASHIA

    Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Tusubiri ujerumani.mgombea wa CHADEMA aingia mitini
Back
Top Bottom