Search results

  1. M

    Tujikumbushe filamu zilizotesa mwanzoni mwa miaka ya 2000

    Aisee, kila nyakati na mambo yake, hivi mnakumbuka miaka ile tunajazana kwenye vibanda vya TV show kuangalia muvi?, alafu kuna baadhi ya filamu zilitamba sana miaka hiyo mfani Arnold shwarzniger(jeny) Neria The gods must be crazy1-3 Mkanda wa yesu Sarafina Rambo Muvi za blue three Home alone...
  2. M

    Sakata la Roma linavyofanana na la Ulimboka

    Bila shaka, Roma ametuthibitishia pasina shaka, kuwa alitekwa na kuteswa na watu wasiofahamika, japo hakuwa tayari kuweka wazi mahojiano waliyomhoji watekaji. Itoshe kusema sakata hili LA Roma linafanana sana na LA Dr. Ulimboka lililotokea mnamo mwaka 2012, ambapo naye alitekwa na watu...
  3. M

    Mnakumbuka michezo ya maigizo ya zamani kwenye tv?

    Kweli kila nyakati na mambo yake, nakumbuka michezo ya maigizo kipindi hicho ilivokuwa ina trend. Enzi za kaole kila jumamosi baada ya taarifa ya habari tu, watu macho kwenye TV, mambo hayo, kidedea, jumba LA dhahabu. Basi enzi hizo mastaa waliokuwa wanatamba kwenye uigizaji wakina Kibakuli...
  4. M

    Naomba mnielekeze namna ya kufika uwanja wa fisi nikiwa Manzese darajani

    Nataka nikafanye research uwanja wa fisi tafadhali anayefahamu njia nikiwa darajani anielekeze. Its agent wadau
  5. M

    Mwenye video clips za mazishi ya Nyerere jamani

    Kwa muda mrefu nimezitafita YouTube na kila sehemu sijazipata mwenye nazo aje pm
Back
Top Bottom