Search results

  1. M

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Nakumbuka enzi hizo, mwanzoni mwa miaka ya 2000, kulikuwa na watangazaji na vipindi maarufu vilivyopeta kipindi hicho. MISANYA BINGI WA REDIO ONE- Enzi zile alikuwa na kipindi chake cha chemsha bongo, ilikuwa burudani sana. MARTHA NGWILA WA REDIO Tanzania, huyu alivuma sana na style yake ya...
  2. M

    Tujikumbushe filamu zilizotesa mwanzoni mwa miaka ya 2000

    Aisee, kila nyakati na mambo yake, hivi mnakumbuka miaka ile tunajazana kwenye vibanda vya TV show kuangalia muvi?, alafu kuna baadhi ya filamu zilitamba sana miaka hiyo mfani Arnold shwarzniger(jeny) Neria The gods must be crazy1-3 Mkanda wa yesu Sarafina Rambo Muvi za blue three Home alone...
  3. M

    Sakata la Roma linavyofanana na la Ulimboka

    Mkwara tu[emoji23] [emoji23] kwisha habar yke
  4. M

    Sakata la Roma linavyofanana na la Ulimboka

    Bila shaka, Roma ametuthibitishia pasina shaka, kuwa alitekwa na kuteswa na watu wasiofahamika, japo hakuwa tayari kuweka wazi mahojiano waliyomhoji watekaji. Itoshe kusema sakata hili LA Roma linafanana sana na LA Dr. Ulimboka lililotokea mnamo mwaka 2012, ambapo naye alitekwa na watu...
  5. M

    Mnakumbuka michezo ya maigizo ya zamani kwenye tv?

    Kweli kila nyakati na mambo yake, nakumbuka michezo ya maigizo kipindi hicho ilivokuwa ina trend. Enzi za kaole kila jumamosi baada ya taarifa ya habari tu, watu macho kwenye TV, mambo hayo, kidedea, jumba LA dhahabu. Basi enzi hizo mastaa waliokuwa wanatamba kwenye uigizaji wakina Kibakuli...
  6. M

    Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

    Patience ozokwu[emoji23] [emoji23] mama mkaanga sumu
  7. M

    Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

    Witches noma sana
  8. M

    Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

    Nyingi zipo YouTube mkuu
  9. M

    Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

    Dah girls hostel noma
  10. M

    Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

    Noma sana umenikumbusha mbali
  11. M

    Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

    My love" ilikuwa noma sana
  12. M

    Filamu za Nigeria zilizotamba miaka hiyo

    Mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000, kabla ya bongo muvi, filamu za ki Nigeria ndizo zilikuwa zinapeta, nakumbuka baadhi ya filamu maarufu miaka hiyo kulikuwa na "suicide mission" (kichupa), "The price" (pastor ken), conspiracy, Witches, Lady bianca, Blood sisters, Christ in...
  13. M

    Mpenzi wangu anatafuna meno usingizini

    MWAMBIE ALALE NA MFUPA MDOMONI,
  14. M

    Mpenzi wangu anatafuna meno usingizini

    MUULIZE WAZIRI MWENYE DHAMANA
  15. M

    Mpenzi wangu kaota nimekufa

    [emoji23] [emoji23]
  16. M

    Rais Magufuli akimaliza muda wake wengi watammiss sana

    [emoji23] [emoji23]" marinda" weka akiba ya maneno ndugu
Back
Top Bottom