Search results

  1. Zinedine

    Tuutafakari na Kuufanyia Kazi mfumo huu wa Elimu kwa mustakabari wa Taifa Letu

    Kumekuwa na sintofahamu na mambo kadhaa yanayoleta mijadala isiyoisha juu ya elimu yetu, mfumo wa elimu yetu na uwezo wake katika kulikomboa Taifa hili kutoka katika umaskini uliokithiri. Kwanza, nibainishe kwamba mimi si mtaalam katika fani ya elimu ila bila shaka naathiriwa na mfumo wa elimu...
  2. Zinedine

    Konda anapokeaje nauli hapa?

  3. Zinedine

    HOJA: Bodaboda zizuiwe kutumika kama Usafiri wa Umma Tanzania (DSM)

    Hivi karibuni kumekuwa na kuongezeka kwa matukio ya kihalifu yanayowezeshwa na matumizi ya Pikipiki maarufu kama Bodaboda. Matukio hayo ambaye idadi yake imekuwa ikiongezeka kwa kasi yanahusisha ujambazi, umwagiwaji wa Tindikali, kufyatulia risasi raia na hata ulipuaji wa mabomu. Kutumika kwa...
  4. Zinedine

    Israel-Palestine talks: A way to find lasting Peace in Middle East

    Israelis and Palestinians have resumed direct talks for the first time in three years, with the United States urging negotiators to make tough compromises to reach a peace deal. Israeli chief negotiator Tzipi Livni and her Palestinian counterpart Saeb Erakat sat side-by-side opposite top US...
  5. Zinedine

    Kagame azidi kuabika: Marekani na Taliban sasa kumaliza tofauti zao kwa njia ya mazungumzo

    Wito uliotolewa na Rais Kikwete na hatimaye wakua wa Nchi za SADC kutaka Rais Kagame na Museveni kuzungumza na waasi wanaokabiliana na Serikali hizo hali iliyopelekea Wakuu wa Serikali ya Rwanda akiwa pamoja na Rais mwenyewe kutoa kauli za dhihaka kwa Rais Jakaya Kikwete unapata nguvu mpya...
  6. Zinedine

    CV za Wabunge: Hii inawezekana au mie sielewi mifumo ya Elimu ya Tanzania?

    Huu ni mfano wa taarifa zisizoeleweka katika website ya Bunge ambapo mbunge huyu (Mheshimiwa) anaonyesha alijiunga na masomo ya shahada ya uzamili MBA mwaka 1988 mara tu alipomaliza High School 1987. Je jambo linalowezekana katika mfumo wetu wa elimu Tanzania au? Aidha ieleweke kwamba sina...
  7. Zinedine

    Bunge letu liwe na Mfumo wa "Quota Structure" baina ya Vyama vya Siasa

    Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata muundo wa "majority rule" katika kupata Wawakilishi wake wa Kibunge na Kiongozi mkuu wa Mamlaka ya Utendaji-Rais. Hata hivyo pamoja na wabunge kuchaguliwa kupitia mfumo huu, kumekuwa na udhaifu mkubwa sana wa utekelezaji wa matakwa ya mfumo huu. Maana...
  8. Zinedine

    South Africa suspends police over custodial death

    Afrika Kusini imewasimamisha kazi mara moja maafisa wa polisi waliohusika na ukatili uliosababisha kifo cha dereva raia wa Msumbiji amabye walimburuza kwa numa kwa kutumia picku-up. Dereva alifariki baada ya kitendo hicho cha ukatili wa hali ya juu-kwa taarifa kamili click hapa S Africa...
  9. Zinedine

    Nani kuwa member wa 100,000 JF?

    Ni wazi kuwa mtandao wa JF unazidi kuwa maarufu na kukua kwa kasi, hapa niandikapo JF ina member 99,918 ikiwa ni member 82 tu wamesalia ili kufikia member 100,000. Je ni nani huyo atakeyakuwa member wa 100,000 hapa JF?
  10. Zinedine

    Nini manufaa ya Tanzania Diaspora Conference hizi kwa Nchi ya Tanzania?

    Nimekuwa nikiona delegation kubwa za high profile leaders wa Tanzania kwa maana ya Viongozi Watendaji wakuu wa Serikali (Wakurugenzi wa Mashirika, Idara na baadhi ya Makatibu Wakuu wakitumia fedha za wavuja jasho kwenda kwenye mikutano hii ya Diaspora nchi za Amerika na Canada. Ukifuatilia...
  11. Zinedine

    TBC Yapewa pongezi kwa kuripoti vema Tukio la Kuzama kwa Meli-SMZ

    Tanzania ni Nchi ya ajabu sana, unaweza kufa bila siku zako kwa matukio yasiyofanana na level ya akili ya Binaadamu. Kwa mujibu wa Taarifa ya Habari ya TBC eti imepongezwa na SMZ(Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kuripoti bega kwa bega tukio la kuzama kwa meli lililotokea katika eneo la Nungwi...
Back
Top Bottom