Search results

  1. VIKWAZO

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Pasiko bana ili bandiko lako limejaa changamoto binafsi, yaani unajaribu kusema nini kwa mfano? kama dereva anahusika alishirikiana na nani? hao alioshirikiana nao kwa nini wasikamatwe?
  2. VIKWAZO

    MSAADA WINDON

    Salamu wakuu , Nina Stationary yangu sehemu nimepata changamoto Mbili kwenye pc , pc moja Ina install software/drive za Epson printer w-345 lakini inakuwa incomplete hivyo siwezi ku print Pc nyingine inaniambia Kama hapo Chini kwenye picha Naomba msaada mwenye kuweza haya matatizo, pia...
  3. VIKWAZO

    Natafuta dada wa stationery ukonga madafu

    Asante mkuu, ninafanya mawasiliano kwa hiyo namba, nitaongea naye
  4. VIKWAZO

    Natafuta dada wa stationery ukonga madafu

    Binafsi wakaka nimekata tamaa, wanachangamoto nyingi sana kwa uzoefu wangu
  5. VIKWAZO

    Natafuta dada wa stationery ukonga madafu

    Natafuta dada wa kazi kwa ajili ya Stationery iko ukonga madafu tuwasiliane kwa email bunyinyiga2014@gmail.com, Form 4 mwenye speed nzuri ya typying pia anaweza apply maana mafunzo kazini inawezekana.
  6. VIKWAZO

    Rais hapa umeteleza kuhusu urefu wa bomba

    Raisi alisema la mafuta lenye technology ya heating , sio just bomba la mafuta Ila bomba Lenye hiyo technology
  7. VIKWAZO

    TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

    Tigo nao karibu watalipa 2.5bn kwa kosa walilofanya zamani tu, kipindi hivyo mapato yao yalikuwa ya kishikaji sana, Tatizo sisi watanzania tunajua sana
  8. VIKWAZO

    Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai ataka wanaosambaza video ya mchele washughulikiwe

    Huyu DCI naye vipi, sasa angejuaje kuna hivyo video bila watu kuisambaza? na kwa nini anasema ni kosa kabla ya kumhoji aliyefanya record ya ile VIDEO? je ameiona hiyo VIDEO? je kweli ni mchele wa kawaida au si wa kawaida? Mboka kama DCI anakuwa aggressive kabla ya kulichunguza ili suala? maana...
  9. VIKWAZO

    Iphone 5s for sale

    weka contact
  10. VIKWAZO

    Migodi hatarini kufungwa kufuatia agizo la Rais Magufuli

    Mkuu umejaribu kujenga Hoja na zinashawishi ila tatizo naloona kwenye hoja zako hakuna Namba, wewe unasema hatuibiwi, kwa nini kwa mfano usiweke namba kwa mfano walipata copper, fedha etc kwenye hayo mabaki kwa kiasi hiki? Je unajua ni kiasi gani wanapata kwenye huo mchanga? Wanaosema ni...
  11. VIKWAZO

    Natafuta mfanyakazi wa stationary ( Dar )

    Haya maneno mawili yanachangamoto ya tafsiri , mfano ni nimechukua kwenye moja kamusi Stationery is paper, envelopes, and other materials or equipment used for writing. ...envelopes and other office stationery. Definitions of stationery noun writing paper, especially with matching envelopes...
  12. VIKWAZO

    Nauza samsung tablet E

    Mpya ni laki 6 mkuu hii ina mwezi Na Nunu tu almost mpya , ongeza laki tatu chini sana
  13. VIKWAZO

    Nauza samsung tablet E

    A
  14. VIKWAZO

    Nauza samsung tablet E

    Nauzi samsung tablet E, imetumika Kwa miezi miwili , inauzwa Tsh 450,000 Inakuja Na cover Na accessories zake zote simu 0656 064808
  15. VIKWAZO

    Nauza Iphone 5

    Tsh 300,000 mkuu
  16. VIKWAZO

    Nauza Iphone 5

    Salamu wakuu Nina iphone 5 yenye 16Gb , nyeusi , used ( Mimi mwenyewe toka ikiwa mpya na ilinunuliwa uk ) Bei sh 300,000 Tuwasiliane 0655064808 e
  17. VIKWAZO

    Lawrence Mafuru umewakilisha vyema majivuno/maringo ya Wajita

    Mjita hata Kama hana kitu bado mjivuni bana
  18. VIKWAZO

    Lawrence Mafuru umewakilisha vyema majivuno/maringo ya Wajita

    Dah Kumbe wajita tuna sifa hizi mbaya ? Mpaka ya uchawi hahahaha kujivuna ndio kuna wanaojivuna Ila tuna uchawi kuliko wengine kweli hahahaha Tanzania ya Leo wajita wamekuwa Na sifa ya voodoo?!!! Mbona voodoo ni Kama sifa ya Taifa hii ? Makonda amesema kuna Watu mnatembea Na hirizi mkimuona...
Back
Top Bottom