Search results

  1. A

    Viongozi waliofariki tangu kuibuka kwa hili gonjwa la COVID-9

    Ndugu waTanzania wenzangu, Bila shaka taifa letu linapitia katika kipindi kigumu kabisa katika historia yake baada ya kumpoteza Rais wetu Mh. John Magufuli. Nimeungana na waTanzania wenzangu kuomboleza kifo cha rais wetu na bila shaka kwa walio na wajibu kikatiba (mama Samia na wenzake)...
  2. A

    CUF msiteme Big G kwa karanga za kuonjeshwa. CHADEMA (hii ya Mbowe) haijawahi kuwa marafiki zenu

    Sote ni mashahidi kwa jinsi CUF walivyokumbwa na mgogoro kwa sasa ukiwahusisha viongozi wakuu kabisa wa chama (Prof. Lipumba-m/kiti na baadhi ya wana-CUF kwa upande mmoja na Maalim Seif-katibu na baadhi ya wana-CUF wengine kwa upande mwengine). chanzo hasa cha mgogoro na wanaou-engineer na...
  3. A

    Inawezekana Mh. Ndalichako hakufuata taratibu kurudisha mfumo wa division kutoka GPA

    Nimeshangazwa sana na hoja dhaifu za waziri wa elimu juu ya kurudisha utaratibu wa mfumo wa matokeo ya sekondari ya division kutoka GPA. Alipohojiwa na mtangazaji wa TBC Marine Hasan Marine kwa kweli majibu yake yalikuwa yakuungaunga. Kwa bahati mbaya zaidi kwake Marine alimwekea clips zake...
  4. A

    Ijue Kamati Maalum ya maridhiano kuhusu uchaguzi Mkuu uliofutwa Zanzibar

    wahusika 1. Dr. Shein, chairman (incumbent president) -CCM 2. Maalim Seif (1st vice president)-CUF 3. Balozi Seif Ali Iddi (2nd vice president)-CCM 4. Mzee Ali Hassan Mwinyi (retired Zanzibar and Tanzania president)-CCM 5. Dr. Karume (retired Zanzibar president)-CCM 6. Dr. Salmin Amour...
  5. A

    Kikwete aongoza jopo teule la umoja wa mataifa kukabiliana na majanga ya afya duniani

    Wakati Magufuli akiiwakilisha Tanzania vyema kitaifa, Kikwete anaiwakilisha vyema Kimataifa. Kwenye picha akiendesha kikao cha jopo teule la umoja wa mataifa katika kupendekeza namna nzuri ya kukabiliana na majanga ya afya duniani huko jijini New York.
  6. A

    kumbe hii ndo sababu iliyofanya TBC irushe matangazo ya ukawa jana pale jangwani!

    TCRA yaipa onyo kali TBC Hukumu hiyo ilitolewa leo jijini Dar es Salaam na kamati ya maudhui ya utangazaji, katika ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Walter Bugoya wakati wa mkutano na waandishi wa habari ambapoBugoya amesema kamati hiyo imebaini TBC one imekiuka...
  7. A

    Pale inapolazimu kujifunza kwa njia ngumu ambapo rahisi zimeshindikana: Aliyesaliti Ubunge Kusini

    Kundi la watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia na kuibomoa nyumba ya mgombea ubunge wa chama cha wananchi CUF jimbo jipya la nanyamba wilaya ya mtwara vijijini, twahiri saidi baada ya kushindwa kurudisha fomu ya ubunge na kutokomea kusiko julikana huku simu zake za mkononi zikiwa...
  8. A

    Prof. Kitila Mkumbo aombwa kugombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

    Wadau nimeshangazwa na hii habari ya Professor Kitila Mkumbo kugombea urais kwa chama cha ACT-Wazalendo. Binafsi naona ni option kwa wale ambao hawaitaki CCM lakini pia wamekwazwa na ukawa kwa kumpokea mh. Lowassa. Au kwa wale ambao hawaitaki ukawa kwa sababu mbalimbali kama vile za ukanda...
  9. A

    Tujikumbushe baadhi ya tungo tata zilizo- na zinazoendelea kupata umaarufu za Prof. Lipumba

    1. Rais Kikwete amekuwa vasco Da gama 2. CCM wamekuwa interehamwe-bunge la katiba 3. Ndiye aliyebuni neno ukawa ambalo linatumiaka sasa- na yeye kuingia mitini 4. Ndiye aliyemsafisha lowassa kwa kuwaambia wananchi kuwa lowasa sio fisadi, kama ni fisadi sasa ni miaka nane tangia atoke ccm; je...
  10. A

    Naliona jimbo la Moshi mjini likirudi CCM

    Wadau kama mtakumbuka hivi majuzi kwenye kura za maoni CCM wamempitisha kijana tajiri David Mosha (ambaye anasemekana ndio wa kwanza na wa mwisho kununua gari ghali zaidi na la kifahari hapa Tanzania-lamborghini) na CHADEMA wamempitisha aliyekuwa meya wa Moshi Mjini na diwani wa Uswazi (Pasua...
  11. A

    Huu ndio ukweli unaomuhusu Lowassa, Prof. Lipumba, Dr. Slaa, Seif na Mbowe

    Watu wako bize kuwalaumu akina Prof. Lipumba na Dr. Slaa lakini hawajiulizi haya maswali rahisi tu. Mh. Lowassa, amehama CCM kwa sababu hana cha kupoteza huko na hata asipopata urais mwaka huu umri wake hautamruhusu tena. Lakini nawahakikishieni umri wake ungekuwa bado asingeondoka CCM kwani...
  12. A

    Namuona Mzee Kingunge akivaa viatu vya Mzee Nasoro Moyo kwenye CHADEMA mpya

    Kabla sijaenda kwenye mada husika nimeandika chadema mpya kwa sababu kama ikitokea wakashinda uchaguzi ujao watakaokuwa na maamzi ya mwisho sio wale CHADEMA asilia ambao haswa ndo walioiweka chadema hapo ilipo (including Zitto) bali wapya ambao kiukweli hawatakuwa hata na miezi mitano...
  13. A

    lowasa alionewa 1995 na mwaka huu- msema ukweli mpenzi wa Mungu

    nimeangalia speech ya nyerere 1995 (iangalie na wewe hii hapa chini) kwa kweli kabisa walimuonea mshikaji, maana hata baada ya jina lake kukatwa watu walihoji na nyerere alikiri kuwa wanahalmashauri kuu wanahaki ya kuhoji jina lililokatwa na kulirudisha. lakini sijaona jibu la maana la nyerere...
  14. A

    Rais atunukiwa PhD ya Heshima (Sheria) na Chuo Kikuu cha Newcastle, Australia

    Ni majuzi tu Rais Kikwete ametunukiwa PhD ya sheria kutoka UDSM. Leo tena atatunukiwa degree kama hiyo hiyo huko Australia. Wadau hizi degree zimezidi sasa. nadhani atavunja rekodi ya kutunukiwa hizi shahada za heshima nyingi pengine kuliko yeyote yule kwenye hii dunia...
  15. A

    Fisadi dhidi ya mfumo fisadi, pros and cons

    Kwanza ni declare interest; Sina chama japokuwa michango yangu imekuwa ikishabikia baadhi ya vyama Kwa vyvoyote vile na kwa hali inavyoelekea ni kuwa UKAWA wanaenda kumsimamisha Edward Lowassa kuwa mgombea wao wa urais Mada husika; 1st; Ni ukweli ulio wazi kuwa CCM imekuwa ikituhumiwa kwa...
  16. A

    Ujio wa Rais Obama Kenya tuna cha kujifunza sisi kama Tanzania

    Imekuwa ni kawaida ya waTanzania kukandia, kuponda na kupinga kila kitu. Nimejaribu kuchungulia media na comments za majirani zetu Kenya nimeona ni jinsi gani walivyoweka uzalendo mbele na kila mmoja anasifia na kujiona fahari kwa ujio wa ugeni huo mkubwa. Cha kushangaza hapa kwetu walikuja...
  17. A

    Ujio wa Balozi Augustino Mahiga inaweza ikawa ndo mwisho wa mchungaji Peter Msigwa?

    Kwa wale ambao mna umri wa kati na kuendelea mtakumbuka kwamba Willfred Lwakatare alikuwa Mbunge wa Bukoba mjini kupitia CUF na alikuwa na influence nyingi sana. Lakini CCM walivyo wajanja wakampeleka Balozi Hamis Kagasheki, na huo ndo ulikuwa mwisho kumuona Lwakatare bungeni. Je, historia...
  18. A

    Ni wakati muafaka wa Nchimbi, Kimbisa na Sofia Simba kuachia ngazi katika CC ya CCM

    CC ya CCM ilipitisha chujio kali la watu 38 mpaka 5 miongoni mwa watia nia ya urais 2015. watajwa hapo juu hawakuficha hisia zao kuwa mchakato haukufuata taratibu kwa mjibu wao na kuja kwenye media kueleza umma kuwa hawakukubaliana na maamzi ya CC ya CCM Katika hali ya kawaida ili kuyaishi...
  19. A

    Mwaka wa kuchagua wasomi (Prof. Muhongo, Lipumba, Mwandosya, Dr. Magufuli, Bilal, Slaa)

    Watanzania huu mwaka tufanye mabadiliko ya aina yake. Tumekuwa tukiongozwa na wanasiasa ambao kiuhalisa wanategemea kila kitu kutafuniwa na wengine. Kwa bahati mbaya hao wanaowatafunia hutumia mwanya huo ku-lobby interest zao bila kuangalia maslahi mapana ya nchi. Kwa wale mliobahatika...
  20. A

    Ukishangaa ya Kikwete utayaona ya Kenyatta

    safari za nje 24 ndani ya mwaka mmoja kwa Uhuru kenyatta imeanza kuwasha moto Kenya. habari yenyewe hii hapa. jisomee. Uhuru's frequent flier diary strains State House budget President Uhuru Kenyatta (left) is received by Deputy President William Ruto at the JKIA upon arrival from Lusaka...
Back
Top Bottom