Search results

  1. osmaney

    Natafuta dada wa kazi za nyumbani.

    Habari wapendwa! Samahani, natafuta dada wa kazi za nyumbani. atakuwa anaishi nyumbani. na nyumba ipo na mke pamoja mtoto tu. Kigezo; Awe na miaka kwanzia 18 - 24, Mchamungu & anayejielewa. Eneo: Dar es salaam. Mshahara: Maelewano. Mawasiliano: +255 676 797 679
  2. osmaney

    Who is Your JamiiForums Crush?

    Habari wanaJamiiForums..!! Tukiwa tunajianda kulala nimeona niwaletee mada kidogo. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu. We mtaje tu huwezi jua kupitia kumtaja kwako ghafla mambo yanachange na kuwa mazuri. Usikaushe kaushe maisha ni mafupi / tunaishi mara moja. Mtaje tu..😊 NB: Please, Crushes...
  3. osmaney

    Hivi ni kweli wanawake wanapenda 'sex' kuliko wanaume?

    Uzi mfupi, sitaki kukuchosha Habari wanaJamiiForum! Mara kadhaa nimekua nikikutana na hii kauli " wanawake wanapenda 'sex' kuliko wanaume" sema mara nyingi huwa hawajioneshi wakihofia wanaume tutawachukulia vibaya. Hivi kuna ukweli wowote hapo?
  4. osmaney

    Ni Funzo Gani Kubwa Ulijifunza / Unajifunza Kutoka Kwa Wazazi wako

    Habari Wana JamiiForums! Poleni na harakati za utafutaji wa riziki, hongereni pia. MUNGU awajalie katika utafutaji wenu. Hili ni jukwaa la elimu, kama mada inavyojieleza, naomba tupate elimu kidogo kupitia wazazi wetu. Karibuni
  5. osmaney

    Unazungumziaje Mahusiano ya Zama Hizi/ Unayaonaje Mahusiano ya zama hizi

    Habari wana JamiiForum, Poleni na hongereni kwa majukumu. Mungu azidi kuwabariki katika utafutaji wenu mpate kile mnachokitafuta. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu, naombeni ushiriki wenu, maoni yenu pamoja na maswali yenu mtakayotoa apa nina imani yatakuja kusaidia watoto wetu na wajukuu...
  6. osmaney

    Tangu Ujiunge JamiiForums ni Jukwaa Gani Mpaka Leo Hujawai Kuingia?

    Habari wanaJf.. Poleni na harakati za kutafuta maisha na hongereni sana kwa utafutaji. MUNGU azidi kubariki juhudi zenu mnazoonesha. Kama mada inavyojieleza pale juu, naomba nisizunguke saana. nisije nikawachosha. Unataja jukwaa na sababu zipi zinakufanya usiingie. karibuni sana[emoji116]
  7. osmaney

    Ni sahihi Mwanaume kumkopa Mchumba wake hela?

    Habari wana Jf! Poleni sana na majukumu ya siku ya leo, nawapa hongera pia kwa utaftaji. Mungu azidi kuwabariki katika shughuli zenu[emoji120] Kama mada inavyojieleza pale juu, kiukweli kwa upande wangu sijawai kumkopa, sema leo sijui nijaribu.[emoji28] dahh sema sijui atanichukuliaje? Anyway...
  8. osmaney

    What are the signs you will see if your boss has a crush on you?

    Habari wanaJF Poleni na majukumu na hongera kwa utafutaji Mungu azidi kubariki kazi za mikono yenu. Kama mada inavyojieleza pale juu, naomba ushiriki wako Ahsante.
  9. osmaney

    Tag umpendaye humu JamiiForums na umtakie usiku mwema

    Habari wanaJamiiForums. Poleni na majukumu na hongereni pia kwa utaftaji. Mungu azidi kuwabariki. Lengo la Uzi huu ni kumtakia tu yeyote umpendaye usiku mwema Cha kufanya, tag yeyote umpendaye na kisha mwambie neno lolote la kumtakia usiku mwema. Karibu.
  10. osmaney

    Pretend This Is Google And Search For Anything. Someone Will Reply You.

    Just pretend FamiiForums is google and search for anything you wish to know. Someone will definetly reply you in seconds or minute. Some people are natural encyclopedia or a genius. Let the enquiry begin.
  11. osmaney

    Uzi maalumu wa kuwaombea washkaji zetu waliotutoka enzi za utoto

    Habari wanaJF Polen na majukumu piaa hongereni kwa utaftaji. MUNGU awajalie katika utaftaji wenu. Lengo la huu uzi sio ni kuwakumbuka na kuwaombea washkaji zetu waliotutoka enzi za utoto wetu Natumani huenda wangekuepo bado wangekua washikaji zetu na tungeshirikiana nao mambo mbalimbali...
  12. osmaney

    How did you feel the last time you saw your Ex?

    Hello guys 🖐 Kama kichwa kichwa kinavyojieleza, leo nisirefushe Sana maelezo, main body nimekuachia wewe, conclusion nitakuja kuimalzia Mimi. Karibuni👇
  13. osmaney

    Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

    Habari za mda huu wanaJf Poleni na majukumu (kwa wale wataftaji) Hongera kwao pia. MUNGU awajalie katika utaftaji wenu (kwa wale wafanyao shughuli halali) Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.. kwa kuanza na Mimi nafikiria kwamba 1. Wapole 2. Wanaakili za maisha 3. Wengi wao ni umri (25_35)...
  14. osmaney

    Wakenya bila Tanzania Hamna kitu

    Habari wanaJF Poleni na hongereni kwa shughuli mzifanyazo. Hakika ninyi ni wapambanaji. Kwa wale wafanyao shughuli za halali MUNGU awajalie mpate matunda ya kazi zenu. Nisizunguke Sana, Kama kichwa kinavyojieleza pale juu. unaeza ukakisoma tena. Apo sawa[emoji28] Basi leo katika pitapita...
  15. osmaney

    Special Thread; Viatu Tu

    Habari wanaJf.. Poleni na harakati, hongereni pia kwa utaftaji. Mungu awajalie katika harakati zenu pia. Haswa harakati ambazo ni halali. LENGO LA UZI; Ni kwajili ya Viatu tu, napo ni pande zote wanaume na wanawake Vyovyote vile unaeza kukichambua kiatu kwanamba uwezavyo, cha msingi ni...
  16. osmaney

    Post Unachokiwaza Muda Huu

    Habari wanaJF Hii nikwa wale wote walio macho mda Huu.... Tena nianze na mimi kabsa. Yani apa nawaza namna usingizi utakavyoanza kunichukua. Eb nawe sema kidogo[emoji39]
  17. osmaney

    Ushauri gani utampa mtu anayetembea na Mkeo/Mume wako?

    Habari wana JF Poleni na majukumu ya leo, hongereni pia maana nyie ni wapamanaji Kama kichwa kinavyojieleza pale juu na siyo Mkeo/Mme tu hata anayetembea na girlfriend wako au boyfriend wako ushauri gani utampa? Zungumza kidogo Karibuni Sana
  18. osmaney

    Umeshawai juta baada ya kufanya mapenzi

    Habari wanaJf, Poleni na harakati za kutafuta riziki. Hongereni pia maana nyinyi ni wapambanaji na ipo siku mtashinda. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu. Ebu kiangalie tena kinasemaje. Haha Basi bana ngoja nianze na mimi, yes ishatokea tena nilijuta sana. Ata sijui why. Sijui ilikua tamaa...
  19. osmaney

    What's on Your Mind Right Now

    Habari wanaJf Kama mada inavyojieleza.. Eb tutoe kauchovu kidogo
  20. osmaney

    Positive Inspiration Game...

    Hello wanaJf. Let's start a game. Say something positive/inspiration (a word of advice, proverbs,a prayer etc.) To the poster above you.
Back
Top Bottom