[QUOTE=namboyo:mimi naona vyama hata mia tano lakini kuna vyama ambavyo vitakua na nguvu kwa vile
vichache pia huleta hata unafuu watu wasiokubaliani vyama fulani waweze kufanya siasa
Hatuwezi kupata haki kwa vile waziri mwenye zamana yakulinda watu hawezi hata kidogo ni kada mtiifu wa CCM.
Pia huwezi kugawa keki katika vipande vinne usijue sehemu yako nape anashidwa kusema kuwa wanabebwa mbona sektariti ya wakina Nape iliteuliwa saa kumi jioni alafu kesho mchana wakafanya...
viongozi wa serekali ya wanafunzi chuo kikuuu cha dodoma imefwananishwa na bendi ya taarabu kwa mfano viongozi hao ambao ni wabovu ambao hawajawahi kutokea taangia chekechea na shule za msingi zianzishwe wamekuwa wakiwa wanasababisha ukandamizaji mkubwa wa wanafunzi kuanzia suala upatikanaji wa...
acheni unafiki nyie mwaka wa tatu nyie mlituchakua kwenye tume ya uchaguzi mmetuachia matatizo mengi sana vibaraka wa serekali au mna shida ya kuonekana kwenye tv.wanafiki nyie komeni ondokeni na nukusi zenu wala hela press conference hatuchangi nyie kwanza ni gamba haibiwi mtu wezi nyie mmezoe...
kombati ni vazi ambalo kwa chadema limebuniwa na mbowe mwaka 2003 tarifa hii mliipata kwenye kongamano la wanafunzi wa vyou vikuu dodoma alisema kuwa alikua anapenda kuwapata vijana wengi na pia linaonesha ukakamavu pia alisema kuwa halijapitishwa kwenye vikao vya chama kuwa vazi la chama kwa...
kijana kutoka nzega abubakari bashe amedondoka kwenye uchaguzi wa serekali ya wanafunzi udom kijana ambaye alipata upinzani mkali kwa mdada ambaye anatoka familia za kawada.vijana wenye hasira walikua wanasema tunampigia dada ambaye hajafanya kampeni kwa vile hana uwezo wa kokodi magari ya...
ule uchaguzi wa serekali ya wanafunzi udom umemalizika huku bwana abubakari bashe akikimbizwa na mdada .sasa hivi chuo cha elimu dada anaongoza kila kituo vijana wanasema kuwa hukuna kutawaliwa na ngozi nyeupe tumpe mwafrika nawasilisha
Chaguzi uliovurugika jana saa saba mchana leo pia utavurugika tena kwa vile tume ya uchaguzi imeondoa jina moja bila kuuarifu umma .pia kituko kitaonekana pale ambapo kijana mmoja bashe atakapo pigwa chini na mdada pindi uchaguzi ukifanyika jana kijana huyu alitoka social akaja education kuendea...
mm mnaojifanya mnapinga maandamano mnachakachuliwa na mafisadi mbona maandamano yanafaida kubwa?mbona hata waziri mkuu na rais walianza kufuatilia kero za wananchi.maandamano ndio dawa ya chama cha MAGAMBA NA POLISI .PIA WATAWA .HUJUA MATATIZO YA WANANCHI KWA VILE WATU HUFIKISHA UJUMBE KWA...
alafu wewe unayeweka vikao block i mwizi wewe bashe hafai bora kuharibu kura ili mkipiga filimbi nipige kwa raha zangu kuhamasisha mikutano endelevu block e msituletee unafiki swala la udini hatujali ila hawana vigezo bora ajichague mwenyewe hongera mwana harakati uliye jivisha mabomu kumfukuza...
ngoja tuwaonyeshe hawa mwaka huu wamekuja na sera mbili udini na uchama atachuguliwa na mawakala wa ufisadi machafu na bayo juzi coed tumemfukuza alafu uongozi wa mwaka huu wagombea wanaharakati wametolewa wote wakaleta watatu yaani kada wa ccm mwasige mtoa matamko kutukana bashe huyu sasa hivi...
mambo si ndio hayo hukuna kulala mpaka kieleweke tanzania huwa haijapata uhuru wa ukweli fanyeni hivyo kukomboa wananchi ila dodoma msije mkapasahau vipindi vingine kwenye ratiba
sawa swala la kwenda mahakamani ni muhimu sana kwa vile tume ya uchaguzi hairuhusiwi kwa kuwa ina mkurugenzi mwaka wa tatu na huyu mkurugenzi wa uchaguzi mwaka wa tatu hana vigezo kwa vile mkurugenzi huyu anamaliza mwaka huu au atuambie kua ataomba kuahirisha mwaka ili aendelee kubaki...
hatutaki kusikiliza mtu wote hawafai hatu wakurugenzi wa uchaguzi wamechachuliwa wote hututaki ushauri wako mshauri baba yako aoe mke mwingine labda atazaliwa mtoto mwenye msimamo kama wetu hatuchaguliwi wagombea sisi ndio wapiga kura wala hutukurupuki.kama unataka omba kusoma udom ili uje...
ngoja wataona joto ya jiwe hawa vijana uchaguzi sio kitu watangombea je uongozi wa federation alafu informaticts hawapo wala hutupigi kura kukaribisha ufisadi udom
kijana ambaye kwa jina anaitwa mwaisiga thobiasi na abubakiri bashi wamechafua hali ya uchaguzi udom.vijana hawa wakiwa wananadi sera katika chuo cha elimu na chuo cha sayansi ya jamii wamezomewa huku wakiambiwa hutupigi kura uchaguzi sio huru.mwasiga ambaye alikua ananadi sera katika eneo la...
john heche anafaa kwa ajili ya misimamo sera alizo zitangaza kuwa bavicha kuwa chachu ya kutengeneza viongozi tanzania pia haogopi kitu anaweza kurudisha bavicha enzi za mbowe akiwa mwenyekiti wa bavicha pia ana mvutu kwa vijana kuanza vyuo vikuu hadi shule za sekondari.pia mchango wake kitaifa...
wanachama wa chadema udom wametuma mwenyekiti wa chadema udom kuwawakilisha kwenye mazishi ya mwenyekiti wa chadema shinyanga pia wanachama wameamua kutoa rambirambi au pole kwa familia kwa vile wamepotelewa kamanda mpambambanaji asiye ogopo mafisadi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.