Search results

  1. mriringa

    Yanga wanachangisha pesa ya mganga kutoka visiwani

    Hivi kwenye mpira uchawi unasimama namba ngapi ya mchezaji?? Tz kuna mikoa inayosemekana kwa uchawi ipo vizuri sana ila hata timu ya ligi kuu kutoka hiyo mikoa hakuna. Huki zanzibar timu ya taifa na timu za vilabu huwa zinafika hatua gani kimataifa?? Kuamini uchawi kwa kizazi hiki ni ujinga
  2. mriringa

    Bugati: Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi

    Hivyo akumbushwe na Karia kupitia ujumbe wako kuwa walikuwepo akina makonda, hapi nk ila mwisho wao mbaya uliwajia
  3. mriringa

    Bugati: Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi

    Kama tff wapenda haki vipi manara alivyoomba rufaa yake alipewa?? Tff wanakoelekea naona mwisho wao mbaya sana tena sio kidogo. Yanga wabishi na wamefanya kusudi ili wapate pa kuanzia ila msioona mbali mnaona jamaa zimbukutu kumbe wanazo kichwani akili za kutosha. Ukitaka kumkamata panya kwa...
  4. mriringa

    Wanaume warefu watamu sana

    Mtu mfupi yukoje na mrefu yukoje??
  5. mriringa

    TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

    Sijaona mwenye hoja humu zaidi ya ushabiki wa yanga na simba?? Vipi Manara kudai haki ya kukata rufaa na kunyimwa ilikuwa haki?? Mkitaka mpira wa bongo uende mbele cha kwanza tuongee kimpira na sio kishabiki
  6. mriringa

    TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

    Mwisho wa siku mtajiona hamjui. Ngoja tusubirie kama tff kuna mwenye akili kweli. Tff haina wenye weredi ndo maana rufaa ya Manara walikataa kutoa wakati ni haki yake kisheria. Tff walipofikia ndo patamu alafu ndo wataona mziki wa Yanga ukoje. Sio zama za mwendazake hizi believe or not.
  7. mriringa

    Account ya Mange Kimambi yadukuliwa

    Hivi anayelaumiwa ni Mange au aliyejiseti kupiga picha za uchi?? Hebu msitetee ujinga mi naona mange yupo sahihi ili iwe fundisho kwa wengine maana tumechoka na ujinga
  8. mriringa

    Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    Utakuwa mw wa kiswahili
  9. mriringa

    Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Mambo mengine ni kujidhalilisha tu yaani
  10. mriringa

    Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

    Mzugua90 njoo useme neno basi nijue mistari yako ya kuaproach kibaharia ikoje
  11. mriringa

    Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

    Baby success nini maana halisi ya hb??
  12. mriringa

    Wachezaji watatu ambao lazima wasajiliwe Simba

    Kagere yupo Azam
  13. mriringa

    Klabu ya Simba yathibitisha kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nassoro Kapama

    Huwa unaangalia mpira lakini?? Hivi goli kama alilofungwa Nula boy na Mayele kwenye ngao ya jamii si ndio kama alilofungwa Kaseje pale taifa kwenye kati ya kongo na tz??
Back
Top Bottom