Search results

  1. emmadizzo

    Kaligraph Jones ni mwamba wa michano.

    habari zenu wadau wa hiphop/rap naona harakati zinaendelea, niende kwenye mada itoshe kusema kaligraph jones anajiamini alafu ameshaona gemu ya ya bongo upande wa rap imedrop sana anadai watu saizi wanaimba amapiano tu. basi uyu nguli amekuja na challenge kwa bongo akatoa 24hrs mtu ashushe...
  2. emmadizzo

    Mjini fm habari ya mjini 92.5

    oyyy niaje wana duu aisee mjini fm ni habari nyini apa kunapindi cha Soggy na darboy dah aisee ni noma apa saizi kuna wana wana freestyle hatari sana alafu kubwa kuliko kuna beer za bure kabisa wanagawa oooh ni shida. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. emmadizzo

    Tangu 1998 hamjaingia hatua ya makundi

    Hamjambo wote.. Tangu mwaka 1998 umri wa mtu mzima mwenye familia yake klabu ya Yanga haikufika hatua ya makundi kwenye michuano ya Afrika. Bila aibu ndo wao wanapiga kelele eti Simba wanaishia robo mfululizo bila kuhoji wao kwanini miaka yote walikuwa hawafiki hata io group stage achia robo...
  4. emmadizzo

    Hongera Simba mmepambana kiume

    habari zenu ndugu zangu wanasimba kwanza nichukue fursa hii kuwapongeza kwa pambano la kibabe kabisa, tunakubali mpira unamatokeo matatu na ayo tumeyapokea. Hongereni wachezaji mmejitoa kwa hakika hamna baya pongezi nyingi kwa kocha wetu Robertinho hakika umeonyesha uwezo na mbinu kabambe...
  5. emmadizzo

    Mwalimu JK Nyerere akicheza pooltable.

    Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  6. emmadizzo

    Lyke mother lyke daughter

  7. emmadizzo

    Wadau wa old bongofleva tukutane kesho

    Habari zenu mazee poleni na pilika za wiki nzima nachukua fursa hii kuwapongeza east africa tv/radio kwakutuletea burudani Ni leo jumamosi show ni wakongwe kibao stejini nadhani ni siku nzuri yakwenda kuluka ngoma zetu zakitambo ebwaneee wauni kibao ndani wakiongozwa na kassim kiroboto "juma...
  8. emmadizzo

    Msaada wakuu

    Natafuta nyimbo za wachuja nafaka ili ni kundi lilikuwa na vichwa vi tatu juma nature,dollo na kr mulla. Hasa kunangoma mle kama dingi umechemsha na yaleo kali..natamani sana nizipate.
  9. emmadizzo

    Kwanini siku(days) zilipewa majina ya kiislamu..?

    Habari zenu wanajf ,kama kichwa cha habari kinavyosema ni hivi.. Jumatatu apo kuna majina mawili juma na tatu,juma linafaamika sana na tatu linafaamika pia nilakike katika zunguka yangu nilkutana na tatu kama wanne wote waisilamu. Jumanne ili linafaamika ingawa pia kunawakristu hulitumia...
  10. emmadizzo

    Kijana 25yrs kuchapwa fimbo na baba/mlezi je ni sawa..?

    Habari zenu wanajf Kama kichwa juu hapo kinavyoeleza ni kwamba nina jamaa yangu hapa mtaani jana amekuja home akiwa na majonzi alinisimulia mambo yalivyo home kwao yeye binafsi mama yake alifarki kitambo sana ila huyu wa sasa ni mlezi tu Mara nyingi kuna kuwa na migogoro ambayo ni midogo tu...
  11. emmadizzo

    Habari zenu wadau..

    Mdau mpya jf tuwepamoja mazee.
Back
Top Bottom