Search results

  1. swank

    Nursery Teacher From Feza

    Usiogope mshahara ni makubaliano!
  2. swank

    Nursery Teacher From Feza

    Shukrani!
  3. swank

    Nursery Teacher From Feza

    Mume amehamia bara
  4. swank

    Nursery Teacher From Feza

    Hello there! I am competent, skilled and experienced nursery teacher from Feza Zanzibar. (4years) Currently, I'm in mainland and looking forward to teach at any Nursery school. Thanks.
  5. swank

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Afande Ng'ombe alikua D coy[emoji12] [emoji12]
  6. swank

    Irene Uwoya achora tatoo mkononi ya kumuenzi Agnes Masogange

    Khaa jamani ebu mpumzisheni mdada wa watu, yupo kwenye wakati mgumu mno! Aggy alikua rafiki yake haswaa hakuna asiejua Kama kaona hiyo ndio njia pekee ya kumuenzi basi heshimuni mawazo yake!
  7. swank

    Nyumba inauzwa Morogoro

    [emoji53] [emoji53]
  8. swank

    Nyumba inauzwa Morogoro

    Ndo hivyo mkuu nitafutie wateja basi
  9. swank

    Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

    Hahaha unafanya vyema! Mlete kwangu huyo bureeee anakaa wiki tuu akirudi huko anakuungia mpaka maji ya kuoga[emoji12] [emoji12] [emoji12]
  10. swank

    Nyumba inauzwa Morogoro

    Ni nyumba kubwa ya vyumba 11 na frame nje Ukubwa wa kiwanja ni 25 kwa 23 Umeme na maji masaa 24 Nyumba ipo maeneo ya Chamwino Bei ni shilingi 20,000,000 Karibuni
  11. swank

    Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

    Kaweka tena na miyai yake ya kusimama? [emoji3] [emoji3]
  12. swank

    Naomba ufadhili ili niweze kusoma clinical medicine mwaka huu kutokana na familia yangu kuwa duni

    Samahani kama nitakukwaza, ila nasikiaga wafadhili huwafadhili watu waliofaulu vizuri zaidi!
  13. swank

    Nyumba inauzwa Morogoro

    Ni 25 kwa 23 mkuu
  14. swank

    Nyumba inauzwa Morogoro

    [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  15. swank

    Nyumba inauzwa Morogoro

    Sijawahi kukaa huko, so sijui Halafu mm nauza nyumba sio wadada
  16. swank

    Nyumba inauzwa Morogoro

    Siuzi bila nyumba
  17. swank

    Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

    Nifundishwe tena?? [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  18. swank

    Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

    Hapana nashukuru pia, kama unasifia hiki kilichopostiwa hapa basi huna tofauti nae
  19. swank

    Leo mke wangu amenipikia hivi, nimeamua nimpeleke akasome upishi darasani

    Mkuu vipi!? Unakaa mitaani nikutumie msosi mtamu
Back
Top Bottom