Search results

  1. Djumbe

    Hotuba Kali ya DR SLAA nchini Marekani

    kwa hiyo wewe unaona hatari kufukuzwa chuo kwa kutetea haki za watu? mimi nilifukuzwa na wala sio mara 1 au 2 lakini mara zote mahakama ilinirudisha ndani ya siku 3...na sitoacha kutetea maslahi ya wananchi kwa kuwaogopi mbumbumbu kama wewe>>> hiyo hoja hapo inahusiana nini na kufukuzwa DIT?
  2. Djumbe

    Hotuba Kali ya DR SLAA nchini Marekani

    Dr Wilbroad Slaa Speech at Stamford University USA Africa is transitioning from mismanagement, dictatorship and corruption that have plagued the continent. Corruption is the main vice depriving Tanzanians and other Africans a chance to economic prosperity. I am not here to beg, because my...
  3. Djumbe

    Balozi wa China: CCM inahusika, msajili wa vyama kimyaa!

    Umeshasema Rais mstaafu,halafu vikao vya ndani, unafikiria au unatazama tu!!!
  4. Djumbe

    Maandamano ya Kesho tarehe 21/09/2013 yako palepale

    Suala la maandamano ni haki ya kikatiba ya kila raia,utaratibu wa maandamano ni kutoa taarifa masaa 48 kabla ya muda wa maandamano ili vyombo vya usalama vijipange kulinda maandamano hayo, polisi wanaweza kushauri juu ya njia iliyopangwa kutokana na hali ya kiusalama kwa mfano kupitia kariakoo...
  5. Djumbe

    Maalim Seif Hamad apinga CUF kuungana na CHADEMA

    kwani nani kawaambia CHADEMA iliwaomba CUF kuungana, hoja zenye ukweli ndizo zilizowafanya wabunge wa zanzibar wenye nia nzuri na nchi yao kuunga mkono msimamo wa CDM>>> na mlitegemea nini kutoka kwa Maalum Seif wakati yeye ni makamu wa Rais na serikali ndiyo iliyowasilisha msuada huo?
  6. Djumbe

    China, adui wa maendeleo na Demokrasia Tanzania! Balozi avaa kofia ya CCM

    Mimi nimeshindwa kushangaa maana ccm yenyewe tu sasa ni kituko, ni makosa kwa Balozi kuonyesha ushabiki wa kisiasa maana inahatarisha mahusiano ya kimataifa
  7. Djumbe

    Nape na Mwigulu ni aibu ya Mkoa wa Singida na Taifa

    WEWE MBUMBUMBU KWELI! hata kauli yako tu inatosha kuonyesha hilo,unawezaje kushawishiwa kufanya kitu usichokikubali halafu baadae uanze kulalamika, sasa kama ulishindwa kunizuia wakati huo kukushawishi ugome ndo utaweza kuzuia harakati zangu? na hata hivyo unaonyesha udhaifu kwa kuongea huku...
  8. Djumbe

    Nape na Mwigulu ni aibu ya Mkoa wa Singida na Taifa

    Usifikiri kila mtu anawazia tumbo kama ulivyo wewe, mimi nafanya kazi ya siasa nchini... ndio maana utasikia niko Iramba, Mpwapwa,Gairo,Ifakara, Dar es Salaam na kwingineko, Singida kaskazini peke yake hakuwezi kuikomboa nchi yetu tunahitaji ukombozi wa nchi nzima.. na haya yote nafanya kwa...
  9. Djumbe

    Nape na Mwigulu ni aibu ya Mkoa wa Singida na Taifa

    Kama kuna watu wanafikiri kufanikiwa kwenye siasa basi lazima uwe Muongo, mnafiki, mzushi na kujipendekeza, ni hawa vijana wawili wazaliwa wa mkoa wa Singida wanaowachefua watanzania kwa sasa; Nape na Mwigulu wanautia aibu mkoa wa Singida na Taifa kwa kutumika kama vibaraka wa utawala wa...
  10. Djumbe

    Mwigulu Nchemba aagwa Iramba Magharibi

    Majigambo na vitisho vingi vya naibu katibu mkuu wa CCM na mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba yalidhihirika kuwa ni kelele za chura baada ya wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya CHADEMA iliyofanyika wiki iliyopita katika vijiji mbalimbali jimboni hapo, Wananchi walidhihirisha...
  11. Djumbe

    Mikutano ya CHADEMA yadoda Iramba

    Mwigulu una matatizo sana wewe, kwanza Dr Kitila Mkumbo kwao ni Mgela kata ya Mtoa na sio Mingela kata ya Kidaru tulikofanya mkutano, pili Kitila anakubalika sana hasa kwa busara zake na huwezi kujilinganisha naye hata kidogo...nimeshakushauri uanze tu kuaga...
  12. Djumbe

    Mikutano ya CHADEMA yadoda Iramba

    Mwigulu acha kuhaha,Maeneo tuliyofanya mikutano katika jimbo la Iramba Magharibi ni maeneo ambayo hayakuwahi kufikiwa kichama na CHADEMA, hii ilikuwa ni mara ya kwanza; lakini kwa majigambo yako kwamba wewe unapendwa jimboni kwako nilijua tungekuwa na kazi kuwapata wananchi kuhudhuria mikutano...
  13. Djumbe

    Salamu za CHADEMA Iramba Magharibi

    Kamanda Nyahende Thomas tupo pamoja sana, muziki huu ameutaka yeye mwenyewe kwa kujitangaza adui wa harakati za mabadiliko nchini, wakati sisi tunamuona panya tu, mkoa wa Singida hatukubali kuwa na viongozi wanaotutia aibu kama hawa, tumejiandaa kulinda heshima yetu kwa lolote lile>>> asante sana
  14. Djumbe

    Salamu za CHADEMA Iramba Magharibi

    Salamu rasmi IRAMBA MAGHARIBI, Timu ya kazi inaingia na kupiga kambi kuanzia Jumamosi hii kutoa elimu ya URAIA na UKOMBOZI wa Jimbo Hili kutoka kwenye ulaghai wa ccm uliowafumba macho wananchi kwa miaka mingi na maisha yao yakizidi kuwa magumu siku hadi siku, eti MAISHA BORA KWA KILA...
  15. Djumbe

    Onyo: Jesca Kishoa wa CHADEMA-Iramba,viongozi na chama chako wameshindwa huu mziki

    Mwigulu Nchemba acha kutapatapa na kutoa vitisho kwa makamanda wa CHADEMA, ulimfungulia kesi Kamanda Kitila Mkumbo na Waitara kwamba wamekutukana kwenye mkutano Ndago Iramba, mahakama ikathibitisha uongo wako, sasa umeanza kumuandama Kamanda Jesca Kishoa kwa vitisho vikali kwenye mitandao ya...
  16. Djumbe

    Siri ya kichapo cha CHADEMA kwenye chaguzi za serikali za mitaa Dsm zaanza kuvuja

    Kwa sababu ni tabia kwa watu kubisha hata jambo lililo wazi, sishangazwi na wengi wenu mkimkashifu bw. Michael P.Aweda kwa hoja aliyoileta, Mimi nilikuwa wakala kwenye kituo na mtaa pekee ambao CHADEMA imeshinda kwa kishindo,nilisimamia mtaa wa Jogoo kata ya Mbezi juu jimbo la kawe na CHADEMA...
  17. Djumbe

    David Mattaka, David Jairo, David Ballali...kulikoni DAVIDs!!!!!!!

    Sio kweli kwamba jina hili lina matatizo, ni jina maarufu tu na ndio maana mnaowataja ni watu maarufu na siku zote umaarufu una gharama zake, mbona wapo wengi ambao hawana hizo sifa mnazoziorodhesha hapo?
  18. Djumbe

    Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

    Paka akibanua kwenye kona anakuwa mkali kuliko chui>>> nape na maneno yaliyojaa hasira na chuki yanatoka wapi, kama ni kukanusha hoja ongea kama mwanasiasa aliyekomaa na sio kuropoka ...hizi ni dalili za mwisho kwa ccm
  19. Djumbe

    Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

    Paka akibanua kwenye kona anakuwa mkali kuliko chui>>> nape na maneno yaliyojaa hasira na chuki yanatoka wapi, kama ni kukanusha hoja ongea kama mwanasiasa aliyekomaa na sio kuropoka ...hizi ni dalili za mwisho kwa ccm
  20. Djumbe

    Polisi: Mwigulu Nchemba alikodisha wahuni waliofanya vurugu zilizosababisha mauaji Ndago - Singida

    Ni kweli ulikuwepo hata mimi nilikuona na ulikuwa unaongoza kundi la vurugu la watu walioletwa na mwigulu kutoka machimboni
Back
Top Bottom