Search results

  1. B

    NSSF kuweni na huruma

    Nimemsikia Mstaafu mmoja akilalamika kuhusu huduma ya matibabu inayotolewa kwa wastaafu kupitia bima ya afya ya NSSF kuwa haimridhishi baada ya hospital aliyekuwa anatibiwa kufungwa. Mstaafu huyo akaamuwa kujiunga na mfuko mwingine wa Bima ya afya na akawaandikia NSSF barua kuwaomba wasitishe...
  2. B

    Kwako Mkurugenzi wa Kilimanjaro Express Arusha

    Mkurugenzi, naleta malalamiko kwako kuhusu watu wa parcel Arusha. Sasa hivi saa nane na dakika 25 nimepeleka parcel ndogo sana ya kama kilo moja nikaambiwa ni shs 25000/= ndani ni makaratasi tu, halafu wakasema 15000/= na siku zote tunatuma kwa elfu tano. Nimewaambia watume kitalipwa Dar...
  3. B

    Mafao Wazee wa EAC

    Stories za kwenye kahawa zinaleta afueni,utamsikia mtu akitoa story na kuapa utashani alishuhudia hilo tukio.Ni jana tu kwenye kijiwe cha kahawa Bwana Mmoja amtusimulia wazee wa EAC nao wamefungua kesi huko Uingereza wakiomba ndege ya seeikali ikatwe iuzwe walipwe pesa zao,alivyokuwa ana present...
  4. B

    Usalama barabarani: Watumiaji na askari wote wazingatie sheria na kanuni zilizopo

    Ni muhimu madereva na watumiaji wengine wa barabara kuzingatia na kufuata sheria za matumizi ya Barabara. Ni muhimu pia kwa Askari wa barabarani hususan ktk barabara kubwa yaani HIGHWAYS kutendea haki taaluma zao. Ni ukweli usiopingika watastaafu na watakuwa raia kama sisi. Kumsimamisha mtu na...
  5. B

    UBUNGO BUS TERMINAL

    Huyu Afisa anaye elekeza au anayesimamia uegeshaji wa magari madogo anachukuwa RUSHWA wazi wazi kwa kuwatisha wenye magari.Wahusika mchukulieni hatua mtumishi huyu Jina lake silijui lakini ni mwenye kitambi na hupenda kuweko katika geti la kuingilia.Siku ya j4 nikiwa katika bus la kwenda mkoani...
  6. B

    Ocean Road hospitali mambo hayaendi bila pesa

    Nipo ORCI. Yaani Ocean Road Cancer Institute Tokea saa kumi na moja asubuhi. Utaratibu ni mbaya, huna pesa humuoni doctor. Hapa ndipo unatakiwa ujiongeze. Tusaidieni, huu ugonjwa ni mbaya saaana.
  7. B

    Basi la HAI INVESTMENT linastahili marekebisho,kioo kimoja hakipo

    Nimebahatika kupanda hilo bus leo J2 kutoka Moshi to Dar,driver anaitwa Omari nambari ya gari ni T430DDJ. Mapungufu yapo pamoja na lugha ya kuudhi inayotolewa na Conductor na Agent wa gari aliyeteremkia Hedaru. Gari pia linastahili marekebisho,kioo kimoja hakipo mvua inaingia ndani abiria...
  8. B

    Hoja binafsi za mabadiliko ya katiba

    Nasoma magazetini na kuangalia kwenye runinga yanayoendelea Uganda sasa hivi kuhusu umri wa Rais, Kenya kuna vuguvugu la uchaguzi na maandamano. Sisi tuko vizuri mpaka sasa hivi. Nimuombe Mh Spika, kwa uwezo mkubwa saana alio nao (mtakumbuka) asikubali hoja za Nkamia na Heche kuingia...
  9. B

    NSSF Ilala, mbona hamtoi mafao ya wastaafu tarehe 25?

    Mkurugenzi Mkuu wa NSSF ni bora ungejitokeza utuambie sisi wastaafu ni kitu gani kinaendelea hapa Ilala Post Office wakati tunapokwenda chukua pension zetu. Wastaafu wenye kuchukulia pension zao sehemu zingine hupata tatehe 25 ya kila mwezi ajabu ni kwamba hapa Ilala hatupati tarehe hiyo kama...
  10. B

    Tanesco Tabata, naomba utatuzi wa jambno hili

    Nimetoa taarifa ya tatizo la umeme nyumbani kwangu jana saa moja jioni, nikarudia saa tatu usiku na tena saa tano usiku, mpaka sasa hivi saa kumi na mbili asubuhi hakuna aliyefika. Nipo Tabata Chang'ombe. Msaada nifanye nini leo, nitoe taarifa wapi.
  11. B

    NSSF kuchelewesha malipo bila sababu za msingi mnatutesa

    Imekuwa ni tabia ya wastaafu wanaolipwa pension kupitia posta Ilala Amana kucheleweshewa malipo yao bila ya kuambiwa sababu. Makubaliano ya awali na NSSF ilikuwa malipo yatakuwa tarehe 25 ya kila mwezi Tunaomba tujulishwe nini kinachoendelea.
  12. B

    NDONDO CUP

    Naleta hoja hii kwenu wadau wa football tuijadili na baadae wafadhili wayafanyie kazi mapendekezo yetu. Ndondo cup kwa uwezo wake Mwenyezimungu inazidi kuwa maarufu na inaibua vipaji,sasa ni kwa nini timu za nje ya DAR kama vile za mikoa ya karibu ie Pwani...Tanga...Moro..na mikoa ya kusini...
  13. B

    Wazee wa EAC na madai yao

    Nimemsikia Mh.Rais akitatua kero za mama mmoja huko Mwanza papo kwa papo,sasa na nyiye Wazee mungefuata utaratibu wa kisheria wa jinsi ya kumuona Mh.Rais mumkabidhi malalamiko yenu.Nina imani atayatatua. Musiandamane....fuateni taratibu za kumuona....wazee wanne tu au watatu wanatosha...
  14. B

    Nyumba ya kupanga jijini MBEYA

    Mulioko Mbeya nawasalimu na baada ya hizo salaamu niwaulize kama kuna anayejuwa ni wapi nitapata nyumba ya kupanga hapo city centre...nahitaji two bed rooms...living rooom toilets etc yaani SELF CONTAINED Msaada ndugu zangu na muniwekee na bei...natanguliza shukran.
  15. B

    Wazee wa Africa Mashariki

    Nikiwa ndani ya Mwendo Kasi maeneo ya Mahakama niliona wazee wa EAC Mulioko maeneo hayo tujuzeni kama wazee wetu hao wamepewa haki yao leo baada ya 40 yrs.
  16. B

    WASTAAFU NA NSSF

    Natanguliza salaam za kheri kwenu nyote. Nimekuwa nikilipwa Pension yangu tarehe 25 ya kila nwezi bila matatizo na ndivyo tulivyokubaliana na NSSF wakati nachukuwa malipo yangu ya mwanzo. Mimi hupokelea pension yangu katika moja ya Ofisi au matawi ya Post Office Dar...miezi kama minne iliyopita...
  17. B

    Kuhusu Fast Jet kuzuia perfume kwenye mizigo ya abiria

    Leo Thursday at around 1200 hrs katika check in counter ya Fast jet uwanja wa Dar niliambiwa nitoe perfume yangu kwani haziruhusiwi ndani ya ndege. Baada ya kuwaelezea jinsi regulations za Dangerous goods zilivyo kuhusu perfumes niligundua haraka kuna mchezo mchafu unafanyika pale kwenye...
  18. B

    Mipaka katika Maziwa

    Niombe tupeane elimu kwanza kabla hatujaitimisha: Kimataifa inasemekana mipaka katika maziwa huwa katikati na ndivyo walivyofanya wakoleni kuweka mipaka katika ziwa Victoria na ziwa Tanganyika lakini ziwa Nyasa hawakufanya hivyo na ndio maana sasa hivi kuna msuguano. Nielimisheni ni kwanini...
  19. B

    Mayor wa Ubungo: Ustawi wa jamii Kata ya Sinza, nini kinaendelea?

    Mstahiki Mayor wa Ubungo tafadhali tujulishe nini kinaendelea katika Ofiisi ya Kata ya Sinza hususani upande wa Ustawi wa Jamii. Tunakuomba Mh .Mayor.
  20. B

    Sijaona magazeti kwenye Muungwana Blog wala Millard Ayo tatizo nini?

    Naomba munijuze....tokea majuzi sijaona magazeti kwenye Muungwana Blog wala Millard Ayo...kuna tatizo au ni kinaendelea....
Back
Top Bottom