Search results

  1. B

    Uchaguzi 2020 CCM wajipanga kumng'oa Halima Mdee Jimbo la Kawe

    Waweza kuwa right,muhimu kwetu ni Amani,utulivu, upendo na haki. Mwenyezimungu yupo Ndugu zanguni,yeye anatuona lakini sisi hatumuoni. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    Serikali yawataka watalii waliopanga kuja nchini kuahirisha safari hadi hapo Corona itakapodhibitiwa

    Upo sahihi kitaalam na sina shaka na hilo.Swali......Je hao wenye kutoa hayo matamko wanayajuwa hayo..??? Uelewa wangu CCM ni zaidi ya serikali Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    Ushauri wangu kwa Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM

    Jambo likitaka pitishwa,tunaondolewa busara kwanza.....turejee vitabu vitakatifu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    Askofu Niwemugizi asikitishwa na Kauli ya Humphrey Polepole kuwafananisha Wapinzani na Corona

    Masheikh zetu wako pia,tafadhali unganeni katika kulikemea hili pia,sio munaungana katika ile kamati ya Amani tu. Nape come back pse. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    Baba Askofu Munga: Akili na hekima. Corona sio sawa na Wapinzani

    Mimi nayaheshimu maoni yako lakini sikubaliani nayo.Corona ni kama wapinzani ni kauli ya ajabu saana....Nape wetu kwa vile kesha omba na kasemehewa,arudishwe asap Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    Baba Askofu Munga: Akili na hekima. Corona sio sawa na Wapinzani

    Mabaharia huwa wanasema ..."ONE DAY YES". Sasa hivi zile kauli za kawaida..."hamukumuelewa alivyosema" zita anza ku trend. Tumuombe ALLAH aturudishie busara Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

    Je ni ruksa kwenda kuwasabahi kina Halima na Ester pale Hospital na kuwafanyia Duaa Wanawake wawili wamepata umaarufu mkubwa kuliko kifani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    Wengi hawajaielewa kauli ya Dkt. Ally Bashiru kuhusu CCM kutumia faida ya kuwa na dola kuendelea kubaki madarakani

    Hata sisi tumesoma. Allah anapotaka kuwaadhibu viumbe wake,huwaondoa busara kwanza. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    CHADEMA Kuchukua hatuwa za kisheria baada ya Mhe. Lema kushikwa kinyume na utaratibu

    Niko tayari kusahihishwa...... Naona kama vile kuna mitego inawekwa ili tunaswe na baadae watu wa duniani waanze kutuita jina baya. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    Maalim Seif amkaribisha Bernard Membe ACT-Wazalendo huku akimuonya kuwa asiwe na masharti

    Hizi ni ali nacha au tuseme HANDAS. ..Membe haendi chama chochote,atabaki huko huko CCM.Naona atakwenda Mahakamani kudai utaratibu wa kumfukuza haukufuatwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

    Hakuna kama Mungu(ALLAH),aliyeumba ardhi na mbingu Kwa Wakiristo huu ni wakati wa kwa Resma Kwa Waislaam huu ni Mwezi wa Rajab. Rai yangu...tuzidishe maombi kwake. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

    Sentesi yako ya mwisho mmhhhhh!!!!.Mimi na weye na wengine tunyanyuwe mikono yetu juu kumuelekea ALLAH tumuombe atujaalie amani,upendo,mshikamano,afya na moyo wa kusaidiana. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    Rais Magufuli awapokea wahamiaji

    Tatizo ni lile lile.....wamekatwa mikia......lakini karibuni na nafasi mutapewa.sisi tutabakia vivi hivyi....wafia chama Sent using Jamii Forums mobile app
  14. B

    Tume huru ndiyo silaha ya mwisho, isipopatikana ndio mwisho wa upinzani Tanzania

    Nionavyo mambo inakuwa ngumu na tumebakiwa na OPTION moja tu,ya kurejea kwa Mola wetu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. B

    Mnaohama vyama msifikiri Watanzania ni wajinga

    Mimi sipo upande huo na wala siungi mkono hawa wahamiaji kupewa nafasi ya udiwani,na ubunge. Sababu zipo nyingi saaana ingawa kuna tetesi kwamba hawa wahamiaji wataula wa chuya this time,yaani wasidhani wao ni better kuliko wafia chama Sent using Jamii Forums mobile app
  16. B

    Edward Simbeye ajiondoa CHADEMA, adai ni kampuni binafsi

    Nadhani huku ni ku m dhalilisha Msajili wa vyama vya siasa vyama vyake. Tell u what....ALLAH yupo na hizi mbinu will one day cost u Rgds Sent using Jamii Forums mobile app
  17. B

    DC Longido: Kukosoa Serikali ya Magufuli ni kumkosoa Mungu, kwani hata Mungu alianza kuumba vitu na siyo mtu

    Kwani Mh.Kange Lugola anajisikiaje sasa hivi? Kwani Mh.Lugola akiona zile clips zake kama ile ya kumdhalilisha Kamishna wa Magereza,ya kukata mauno nk anajisikiaje? Sisi Waislam siku zoote tunaomba SUBRA na twasema ALLAH ndiye ajuaye. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. B

    CCM Moshi ndani ya mfuko wa wafanyabiashara

    Tumekuwa tukisikia au kusoma kwamba CHADEMA ni chama cha wachagga....mimi siamini...sasa basi niamini ni cha wachagga na huko Moshi ni kwa Wachagga, kuna haja gani ya wachagga wachaguwe wengine wakati li chama lao lipo..?? Waswahili huwa wana msemo eti Mdomo huumba.... Sent using Jamii Forums...
  19. B

    RPC Lindi Watanzania wanaomba tamko lako, uhujumu uchumi waendelea huko Lindi

    Nadhani sisi tuna angalia kwa upande wetu na wao wana angalia kwa upande wao,laiti soote tungeangalia upande mmoja,sasa hivi ie 2020 tungekuwa mbali tena mbali sana. Tuekekeze mikono yetu juu kumuomba ALLAH atujaalie tuwe wamoja na tutofautiane kina mawazo kwa lengo la kujenga na siyo kubomoa...
  20. B

    Tanzia: Jaji Mstaafu wa Mahakama kuu Elias Kazimoto afariki Dunia

    Wafiwa poleni saana. Narudia tena kifo ni mawaidha au ni mafundisho kwa sisi tuliobakia,tufanye kila kitu kibaya au kizuri,siku ikifika haitozidi dakika wala sekunde tutakufa na kusingizia maradhi,ajali ya gari,kulogwa nk..nk...kuwa ndiyo sababu ya kifo,sasa basi tufanyeni ibada na tutende...
Back
Top Bottom