Search results

  1. Jean chill

    CCM kupendekeza mfumo tofauti wa uchaguzi: Ebu Tuujadili...

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinafikiria kupendekeza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa uchaguzi ambao mbunge au diwani akifa au kujiuzulu hakutahitajika uchaguzi mdogo. Badala yake katika mfumo huo (proportional representation) unaotumika pia Marekani na Afrika Kusini, chama kilichoshinda katika...
  2. Jean chill

    Zitto alonga

    "Katiba haitapatikana barabarani bali kwa mwafaka wa Kitaifa. CHADEMA iliomba kukutana na Mkuu wa Nchi kwa sababu maalumu zinazohusiana na mchakato wa Katiba. Kama kuna vyama vingine navyo vinataka kumwona Rais wafuate utaratibu wao. Pia tangu lini CCM ikaanza kusemea vyama vingine? Rais ana...
  3. Jean chill

    Breaking nyuzi ajari mbaya kibaha

    Inasemekana Kuna gari limepinduka na kuwaka moto Kibaha watu karibu wotre wamepoteza Maisha... Walio karibu tafadhari fuatilieni na mtujuze...
  4. Jean chill

    Is this the colours and styles that would best suit wayne rooney's dyed hair!

    Mwasemaje kuhusu Rooney na mwonekanoi huu?
  5. Jean chill

    Uchawi noumer

    Amini usiamini, Nyani mmoja aliye kuwa akikwea ukuta wa mtu flani hapa kinondoni, kageuka kuwa mtu aliyejulikana kwa jina la Mzee Macho mkazi wa kwa makoma kinondoni. Kwa sasa yupo kituo kidogo cha police kinondoni.
Back
Top Bottom