Search results

  1. Jean chill

    Hoteli ya Nashera Mjini Morogoro imefungwa?

    Acha uzezeta wewe, Rais wa Marekani ni mjaluo, unashangaa na mmiliki kuwa mpare mmarekani!!?
  2. Jean chill

    CHADEMA Yaahidiwa Fedha na Wanaharakati (Marekani): Masharti ya Fedha Yanatisha!

    Nimeangalia Kichwa cha mada, kisha nikaangalia input yako (Mada), nilipogundua viko tofauti nikakutia kwenye dustbin. Nikaendelea na shughuli zangu. Pole kwa kukurupuka
  3. Jean chill

    Prizenta huyu, Kijah Yunus wa Clouds TV, kipindi cha 360, nashindwa kumuelewa

    Mtoa Mada hukumwelewa vyema. Kote kule alizunguka tu.. Yeye anataka watu waongelee "kulikoni kifuani" Kuna uwezekano kuwa mtoa mada ni mdhaifu when it comes to "BOOBS" kama walivo vijana wengi, akiwemo mdau J...
  4. Jean chill

    Prizenta huyu, Kijah Yunus wa Clouds TV, kipindi cha 360, nashindwa kumuelewa

    Ataachaje kuficha kifua chake pindi yeye mwenyewe anajua fika kuwa 90% ya watazamaji wanakodolea MATUNDA HADIMU aliyonayo? ha ha h baja baja bi b b riiiiiiiooooooo
  5. Jean chill

    Vijana, msifanye makosa kama niliyofanya. Kujiunga na CHADEMA ni sawa na kucheza karata tatu!

    karma unaamini popote ulipo unaweza kupambana na kuleta maendeleo katika taifa hili kwanini ushawishi watu kuhama chama flani pindi hata huko endapo alipambana (kwa mujibu was kauli yako) anaweza kuleta maelendeo as long as ni kokote? CDM, CCM, CUF, TLP kubalini challenges.
  6. Jean chill

    Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Kuonesha kwa vitendo kuwa ni wadini kwa kuyaenzi maneno yalioko kwenye vitabu vitakatifu kuwa "KILA MTU ATAUBEBA MSALABA WAKE MWENYEWE" kwani sasa ile mikoa ambayo haina maliasili kama mito, maziwa, milima na madini na iko nyuma kimaendeleo iendelee kuwa maskini na ile yenye maliasili na iko...
  7. Jean chill

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    ungejiuliza kwanza wewe binafsi, watu wote wanaoongelea ama kutoa ufafanuzi kuhusu Mou ni viongozi wa Chama au ni wasemaji wa Dini au madhebu, kisha ndo ukauliza swali lako. Naona kama umekurupuka Dude.
  8. Jean chill

    Kwa hili la CHADEMA ni mfano wa kuigwa

    big up CDM
  9. Jean chill

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Huyu Shibuda asifukuzwe wala nini, aachwe tu hivyovyo. Atajifukuza mwenyewe au tuseme kaisha jifukuza. Huyu ata-expire tu believe or not. We undhani wananchi wanajali kauli zake...? Ndo kwanza anaendelea kupoteza mvuto hadi atachuja. Kwa mtazamo wangu kupitia jicho la 3, Shibuda anakiimarisha...
  10. Jean chill

    CHADEMA mikutano ya hadhara kila siku inakera

    Bora wewe unayechoshwa na mikutamo na kuamua kupost status. Kuliko sie tunaochwa na utawala WA kidhalim, ubadhilifu WA Mali ha uma pamoja na ufisadi uloenea kila nyanja ya uongozi na kila hatua aichkuayo kiongozi WA nchi hii. Safari za kila siki zisizo za msingi, posho za kujinufaisha nakadhalika.
  11. Jean chill

    Zitto: Tunaendelea na hoja yetu ya kura ya kutokuwa na imani (ITV)

    Epsode nyingine tena? Ile ya mawaziri kuwajibika imeishia wapi?
  12. Jean chill

    Zito Kabwe katumwa na JK?

    Hizo ni tetesi zisizo nz msingi, ZZK na CDM wako makini, walitumia nafasi ku kukerwa Kwa magamba kama advantage tu, hayo ni mawazo yajayo fasta si rahisi Kwa mbumbumbu kuelewa huo mtego. Magamba yalipiga kerere kwa uchungu mkubwa kuhusu ubadhirifu ulokithiri, kerere zao Mara nyingi zimekuwa...
  13. Jean chill

    Wabunge wa CCM mnawachezesha Watanzania "kwata" la akili!

    Elimu ielekezwe vijijini Kwa nguvu na umakini, na lengo lisiwe kuiondoa CCM Bali lengo liwe kuuondoa udhalim popote ulipo, iwe ndani ya chama kinachotawala AMA vyama vinavyopigania kutawala kuna.
  14. Jean chill

    natesekea mapenzi

    Kaeni mwongee kuhusu mahusiano, hakuna kisichowrzekana. Yaonyesha mwaanza kuchokana na mazungumzo ya mahaba hutibu hayo yote. Try being romantic.
  15. Jean chill

    CCM bado ina muda mrefu sana wa kuongoza, ni zaidi ya 2020

    So wamaanisha kwako wewe bora MAFISADI wawe mawaziri, bora tuwe na Rais Fisadi kuliko CHADEMA kutawala? Unatusaidia kutambua kuwa bado kuna kazi kubwa ya kuwaelemisha wananchi wawe na uchungu wa nchi yao. Tuache kushabikia vyama na tujenge taifa IMARA. Si lazima Magwanda watawale na si Lazima...
  16. Jean chill

    Hatimaye wabunge wa Uingereza waungana kuhimiza wahusika kashfa ya rada kuwajibishwa

    Kundi la wabunge kutoka vyama mbali mbali vya siasa nchini Uingereza limetoa wito wa kufunguliwa mashtaka dhidi ya mtu yeyote aliyehusika katika kashfa ya ufisadi na rushwa kuhusiana na mauzo ya rada yaliyofanywa na kampuni ya vifaa vya ulinzi ya BAE Systems ya Uingereza. Kampuni ya BAE Systems...
  17. Jean chill

    CCM kupendekeza mfumo tofauti wa uchaguzi: Ebu Tuujadili...

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinafikiria kupendekeza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa uchaguzi ambao mbunge au diwani akifa au kujiuzulu hakutahitajika uchaguzi mdogo. Badala yake katika mfumo huo (proportional representation) unaotumika pia Marekani na Afrika Kusini, chama kilichoshinda katika...
  18. Jean chill

    NCCR wamwonya JK mchakato wa Katiba; Mbatia asema NCCR walikuwa wa kwanza na hawajaitwa

    Yaonyesha una matatizo ya kusoma alama za nyakati...! Nenda kaombewe ukiamini utapona!
Back
Top Bottom