Search results

  1. Tall Guy fam

    Morogoro: Basi la New Force lapata ajali Iyovi

    Niliacha kupanda New Force rasmi mwaka jana.
  2. Tall Guy fam

    Kuelekea Maandamano ya CHADEMA, Januari 24, 2024

    Kwa mlio Dar es Salaam, Vipi wanajeshi wanafanya usafi wa leo?
  3. Tall Guy fam

    Kuelekea Maandamano ya CHADEMA, Januari 24, 2024

    CCM walikua na hali ngumu kuhusu kuzuia/kuruhusu haya maandamano. Kwa kifupi, they were damned if they do, damned if they dont. Mwisho wa siku it seems wameona demage ya kuyazuia ni kubwa zaidi kuliko kuyaruhusu. Kila la heri kwa Chadema na watanzania wote mtakaoshiriki.
  4. Tall Guy fam

    Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla

    Hapo #3, hii kitu aliniambia mdogo wangu. Alifunga safari kutoka Mkoani mpaka Dar kupata huduma., muda wa sadaka akaanza kuita wenye...elfu50 waje mbele watoe...sijui 40...akashuka mpaka buku buku. Mdogo wangu amerudi yupo very disappointed. KiVyovyote vile, ni kitu kinachoshangaza mtumishi...
  5. Tall Guy fam

    Changamoto za Ajira Portal

    Jiunge. Unaweza ukaomba kazi ya Tutorial Assistant Kama GPA inaruhusu..
  6. Tall Guy fam

    Hivi ni busara kupigana na vibaka kama watatu au zaidi kama wanataka kukuibia simu, hela n.k?

    Mwaka kati ya mwaka 2011-12 kuna rafiki yangu alikua anatoka chuo kurudi nyumbani mida ya usiku, njiani akakutana na vibaka wakamwambia awape simu, katika harakati za kujibizana kibaka mmoja akamchoma bisibisi ya moyo, akafariki pale pale. Sometimes kuwapa wanachohitaji inaweza okoa maisha yako...
  7. Tall Guy fam

    Kuna postgraduate degree na ipi tofauti take na postgraduate Diploma?

    kwa vyuo vya uma inalazimu kuwa na Bachelor degree, hii ni kutokana na vigezo ambavyo wameweka. Kwa mfano tangazo la TA linasema uwe na bachelor degree kwenye field husika na GPA isishuke 3.8 (au 3.5 kwa baadhi ya vyuo). Kazi unaiombea ajira portal sasa kwa namna mfumo ulivyowekwa kama hauna...
  8. Tall Guy fam

    Nani mpambanaji kati ya Mama Caren na Mama Grace? Chagua mmoja

    Ili ufanikiwe inapasa kufanya kazi na kile ulichopewa/barikiwa. Wote wawili wamepambana kadiri ya uwezo wao na mwisho wa siku wamefanikiwa. Safari ya Mama Grace imekua ndefu kuyafikia mafanikio kutokana na ukweli kwamba hakua amebarikiwa sana ukilinganisha na Mama Caren. Wote ni wapambanaji...
  9. Tall Guy fam

    Je, naweza kufundisha chuo? Undergraduate nina GPA 3.1, Post graduate GPA 4.1, Masters GPA 4.0

    Hapa tunaongelea vyuo vikuu (Public na private) ambavyo vipo chini ya TCU. Soma vizuri hapo kwenye academic staff Qualif. and recruitment, soma mwanzo mpaka mwisho. Ishu ya GPA ya 3.5 imekua addressed
  10. Tall Guy fam

    Je, naweza kufundisha chuo? Undergraduate nina GPA 3.1, Post graduate GPA 4.1, Masters GPA 4.0

    Upo sahihi mkuu. Ni mazoea yangu tu niliyonayo ya kurefer kitu chochote kinachotuongoza kama sheria. It was an oversight. Nashukuru kwa kunirekebisha. Itambulike ya kwamba, ni Std na mwongozo kutoka TCU na si sheria za nchi ya Tanzania kama nilivyoainisha awali.
  11. Tall Guy fam

    Je, naweza kufundisha chuo? Undergraduate nina GPA 3.1, Post graduate GPA 4.1, Masters GPA 4.0

    According to TCU (2015), ili uweze kufundisha public uni. Unapaswa kuwa na GPA ya chini kabisa 3.8 na 4.0 kwa BSc. Na MSc. respectively. Kwa vyuo vingine unaweza fundisha ukiwa na GPA BSc. 3.5, kuna kazi niliona hivi karibuni walikua wanachukua minimum 3.8 kwa MSc. Ni kitu adimu sana. So hata...
  12. Tall Guy fam

    Je, naweza kufundisha chuo? Undergraduate nina GPA 3.1, Post graduate GPA 4.1, Masters GPA 4.0

    Kwa Ass. Lect. kwa kuanzia ni Milioni mbili na ushee, after makato take home ni around 1.8M TA na Lecturer sifahamu.
  13. Tall Guy fam

    Je, naweza kufundisha chuo? Undergraduate nina GPA 3.1, Post graduate GPA 4.1, Masters GPA 4.0

    TCU Standards and Guidelines for University Education in Tanzania Ukurasa wa 154.
  14. Tall Guy fam

    Watumishi KCMC wahojiwa na Polisi kwa kudai Posho zao mtandaoni

    Yote haya yasingetokea kama wangelipwa
  15. Tall Guy fam

    Mtoto wa darasa la nne anawezaje kujibu swali hili?

    Hata kwa mtu mzima inaweza kuwa changamoto.
  16. Tall Guy fam

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    pamoja mkuu.
  17. Tall Guy fam

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hiyo ni ugonjwa au infection inaitwa Vaginitis. Inasababishwa na ongezeko la bakteria wanaojulikana kama Bacterial vaginosis kwenye uke.
Back
Top Bottom