Search results

  1. F

    Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Wamulikeni Watu Hawa

    Dodoma wapo pia. Wanakaa kwenye mahema ya blue, wanaweka pikipiki, tv, redio wa kuzuga eti zinashindanishwa. Mmoja yuko kwenye gari. Mwingine anaongea kwa microphone Mmoja anachezesha kamari. Alafu cha kushangaza na akina mama wnajihusisha humo. Ukija dodoma ukiwaona hawa wanakaa karibu...
  2. F

    Tatizo gani linafanya simu kuchemka?

    SABABU ZA SIMU "KUCHEMKA" * Imezidiwa size : Size ya memory imejaa. Na tena ukiwa unatumia memory card na umejaza vitu basi hapo ni shida * Unaitumia wakati ina charge : Kila betri ina charging cycle yake kwahyo uki interrupt charging cycle ya baadhi ya simu inashindwa kuchaji na joto...
  3. F

    Hivi viwanda kweli vitajengwa?

    Viwanda vinajengwa na wananchi au wawekezaji. Serikali kazi yake ni kulegeza sheria zisaidie hilo suala, Basi.
  4. F

    Mkwamo wa kuhamia Dodoma! Hili limesahaulika ama halikuzingatiwa

    Njoo Kisasa. ela yako tu. 150k kwa Mwez
  5. F

    Anything new in ICT after diploma . Nataka nibadilishe uelekeo.

    Nenda computer engineering uone kma ni yaleyale.
  6. F

    IDEA: Jinsi ya kutoka kimaisha kwa hali ya sasa

    Kama una idea ya App ya simu na hina uwezo wa kuitengeneza wasiliana nasi Instagram: @fundirabbit_design_lab
  7. F

    Msaada wa Ku design mobile App

    Phonegap.com Gonative.io Joren.Io Appypie.Com Instagram: @fundirabbit_design_lab
  8. F

    Hivi kipi ni kipimo sahihi cha mafanikio?

    According to Philosophy. Mafanikio ni yale unayoweka mwenyewe. Unaweza kumuona Messi au Ronaldo wamefanikiwa lakini wao wenyewe wanaona bado hawajafikia malengo. Kwahyo ndio mtazamo wangu. Kuhusu pesa na elimu. Elimu ni kitu kipana. Unaweza ukawa Na Phd ya Lugha lakini ukiumwa unaweza...
  9. F

    Wataalamu wa Mapishi Mtihani Kwenu: Ni chakula gani hicho?

    its common food. spaghetti & sausage
  10. F

    Mkwamo wa kuhamia Dodoma! Hili limesahaulika ama halikuzingatiwa

    Nigeria ina Abuja USA ina Washington DC ni ili kutenga serikali na private sectors. Its economically advised kugawa fursa nchi nzima Hyo plan ilikuepo tangu enzi za uhuru. Wana move taratibu sana. Ila Sasaiv wanasema wanataka wawe serious
  11. F

    Tanzanian made clean animations

    Naombeni instagram akaunti yenu ni wa follow
  12. F

    Nimeamua kuanza kujifunza computer programming (back end development)

    Back end programming. Ni kitu kikubwa sanaaaa. kwa hiyo angalia unataka kufanya nini kwanza ndipo utafute language yako. Ukisoma ohp kama php ukija kumaliza utashangaa huwezi fanya chochote. So anza na lengo. Je ninasoma php ili nifanye nini? pia naomba tuwe connected instagram...
  13. F

    kijana wa chips anahitaji dodoma makole

    Kijana wa chipsi anahitaji nini?
  14. F

    Maombi kwa mablogger na wana jf wenzangu

    Naona mnapuuzia sana hii njia ya Facebook PPC. Unaonaje nikikuambia *unaweza ku target watu wanaopenda nyimbo za Hiphop tu? *Unaweza ku target washabiki wa mkoa flani tu *Unaweza ku target ma promota wa muziki tu *unaweza ku target wasanii tu. Blogs ,Redio, TV zinapitwa na wakati karibuni...
  15. F

    Maombi kwa mablogger na wana jf wenzangu

    Brother kwanini usijitangaze wewe kama wewe? Ulishawahi kua na wazo lakufungua website yako. Ukaweka picha na maelezo na kazi zako? Ukaweka na mawasiliano, sanasana Instagram na facebook? Kuna njia nzuri inaitwa Facebook PPC ya kujitangaza, mimi ni mtaalamu wa hiyo kazi, Utanilipa sh 200...
Back
Top Bottom