Search results

  1. Capitano

    Je, kuna watu ambao hawaambukizwi UKIMWI?

    Kama mada inavyojipambanua kuwa ni swali. Nimekutana na wadau wa masuala ya afya wakijadili kuwa ati kuna binadamu wana ukosefu wa kitu gani sijui kwenye damu yao na hivyo kuwafanya hata wakikumbana na virus wale HIV bado hawataweza kuugua UKIMWI. Wataalamu hapa JF naomba mtufafanulie kama ni...
  2. Capitano

    Jamani vidole hivyo!!!!

    Aaahh nilikuwa natania tu
  3. Capitano

    Jamani Pinda vipi hilo shati nyuma?

    Mi yangu macho.
  4. Capitano

    PhD ya heshima.

    Hivi utaratibu wa kutoa au kutunuku PhD ya heshima ukoje? Hivi hao wanaotoa hiyo PhD ya heshima kama waliweza kuwapa akina fulani wanashindwaje kumpa Babu wa Loliondo?
  5. Capitano

    Duh!!!

    Mkubwa ukifanya hivi,lazima utoke ngeu
  6. Capitano

    Tundi

    Sasa hili tikiti maji, boga au tundi?
  7. Capitano

    Watakuwa marafiki wa kweli bila shaka.

    Hapa sijui wanaangalia nini?
  8. Capitano

    Weeee dogo wewe!!!!

    Huyu dogo vipi tena?
  9. Capitano

    Vitunguu ni muhimu katika chakula.

    unaonaje hapo?
  10. Capitano

    Ni uzushi au?

    Eti nasikia wenye makalio ya kichina kila wakitembea, makalio huwa yanatoa kamlio kama yanapiga makofi. Sasa sijui ni kweli?
  11. Capitano

    Aaah dogooo

    Dogo sijui huyu nyao kakufanyaje?
  12. Capitano

    Matunda

    Matunda ni muhimu kiafya.
  13. Capitano

    Huu ni urembo au?

    Huyu binti nadhani atakuwa na kipaji cha kuremba wadada hapo baadae
  14. Capitano

    Innovative mother.

    Mama mbunifu sana huyu.
  15. Capitano

    Huyu dogo balaa

    Kajamaa sijui kanatafuta nini humo ni maziwa.
  16. Capitano

    Life with Kids bwana.

    Watoto bwana!!!!.
  17. Capitano

    Chinga na majina yao.

    Nilimuuliza Chinga mmoja kwanini majina yao ni tofauti sana na mengine? akanijibu :aaah njomba jina langu ni nyie ndio nnaotumia sasa kwa nini niwachagulie jina zuri? kama ningekuwa nalitumia mwenyewe sawa.Duh!!!
  18. Capitano

    Picha asilia.

    Lazima tuhifadhi mazingira kwa kupanda na kutunza uoto.
  19. Capitano

    Jamani limao hilo

    Kuna jamaa hapa anasema akiliona tu mate yanamtoka.
  20. Capitano

    Beki Tatu mchumi.

    House girl mmoja kutoka nyanda za juu kusini ,alitoa kali ya mwaka alipohojiwa na bosi wake kwanini toothpick zinaisha haraka nae akajibu: Bee wanaofuja huto tuvijiti ni hawo wanao maana wakitumia mara moja tu wanatupa lakini mimi nikichokonoleaga meno bee narudishaga humohumo kwenye kachupa...
Back
Top Bottom