Search results

  1. H

    hivi jamani!

    Kunaulazima au Nilazima kwa kijana wa high schl kuwa katika mahucyano?
  2. H

    jamani!

    utaweza lakini?
  3. H

    Hii Sasa Noma!

    jamaa afumaniwa na mke wa mtu,apigwa mawe mpaka kufa,mshikaji 1 kajitokeza akauliza "hivi waliyofanya kitendo hiki anaakili kweli?watu wakamuuliza kwann?kajibu'hawaoni mvua hizi'mwenye mke akamuuliza 'ungekuw ww je?'akajibu 'ningekuwa mm ningemuachia2'.....JE ingekutokea ww mke wako wa ndoa...
  4. H

    jamani!

    Hembu niambieni mana kamili ya hili neno(MAPENZI)mana nimechoka kwakulifikiria.
  5. H

    Dah!jamani

    kwanini zisiwafikie walengwa?nakama hazijawafikia sasa zipo wapi mpaka sasa?
  6. H

    Dah!jamani

    mimi naishanga sana tena sana hasa hii serekali yetu,kwanini wanawasumbua hivi hawa wazee estiafrika kwanini hawawapi hizo pesa zao jamani,kilasiku wanawazinguatu hembu nisaidieni jamani KWANINI?wazee wamechoka jamani wapeni haki yao....PUMBAVU.
Back
Top Bottom