Search results

  1. thewajibu

    Msaada wa haraka wadau

    Habari wana Jf, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa, kuna mtu anahitaji msaada wa haraka sana ameniomba namba ya kipindi cha njia panda kinachorushwa na clouds ili aweze kupata msaada kutoka kwa watanzani, Asanteni
  2. thewajibu

    Kwa mahitaji ya spare used za Magari tukutane hapa

    Nawasalimu kutoka hapa jijini Mwanza, Kama maada inavyosema mimi ni muuzaji wa spare used za magari aina zote niko jijini Mwanza, Nawakaribisha nyote mnaotafuta spare na ntafurahi kutatua changamoto yako moja kwa moja au kwa namna yoyote ile. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. thewajibu

    Unawaamini waganga wa kienyeji au huwaamini na kwanini? Tupe uzoefu wako

    Miongo kadhaa iliyopita nilizaliwa huko wilayani chato, tarafa ya nyamirembe katika mojawapo ya kaya kubwa kabisa kijijini kwetu ambapo mgeni aliwaza mara mbili mbili kabla ya kuingia kwenye kaya hiyo kutokana na ukubwa wake na wingi wa watu waliokuwepo. Ni mengi niliyashughudia yakifanyika na...
  4. thewajibu

    Mwenye kufahamu hii namba ya nchi gani anisaidie.

    2583680769 Kama kichwa kisemavyo kama unafahamu namba hii ni ya nchi gani naomba msaada wako, aliyenipa alisahau kunipa country code ntashukuru sana nikipata msaada wenu.
  5. thewajibu

    Msaada jinsi ya kupata mkopo wenye masharti nafuu.

    Nawasalimu kutoka jinini Mwanza, Mwaka jana nimeingia kwenye biashara ya kukatakata magari haikuwa rahisi kwa sababu nilikuwa sijui chochote kuhusu magari na ukizingatia ni biashara inayohitaji uelewa mkubwa kiasi kampuni za magari lakini nimejitahidi kuisoma na kuielewa vizuri na baada ya...
  6. thewajibu

    Deep web/ Dark web unaijua? Na ushawahi kwenda huko na uliona nini huko

    Habari wana JamiiForums, Bila ya kupoteza muda niende kwenye mada husika napenda tubadilishane mawazo kuhusu dubwasha hili kubwa ambalo linasemekana ni 90% ya internet duniani DARK WEB. Je umewahi kwenda kule? Ulienda kufanya nini,Uliona nini na uligundundua nini. Nikianza na mimi nilipoenda...
  7. thewajibu

    INAUZWA Used Engine ya Nissan sunny, Nissan Match na Nissan saloon inauzwa

    Kama kichwa kinavyosema used engine kutoka Dubai, inaweza kufanya kazi kwenye nissan sunny, nissan match na nissan saloon inauzwa iko complete na gearbox yake mwisho Engine haijawahi kutembea hapa nchini iliagizwa kutoka Dubai haikufanikiwa kuwashwa.
  8. thewajibu

    Nanunua magari ya kukata.

    Habari wana jf, baada ya muda nimerejea tena online kwa wana Mwanza kama kichwa kisemavyo nahitaji magari aina zote ya kisasa, kizamani, yanayotembea, yaliyoharibika au yaliyopata ajali. Kumbuka sinunui gari ya kutumia bali kukatakata na kulipima, namba zangu ni 0753366253 nitakufikia baada ya...
  9. thewajibu

    Mtu Wa kuondoa Icloud kwenye Ipad aliyeko Mwanza tuonane.

    Habari wana Jf kama kichwa hapo juu nina Ipad ina icloud nahitaji mtu mwenye uwezo wa kuondoa hiyo icloud niko Mwanza, tafadhari kama upo nicheki tufanye kazi.
  10. thewajibu

    Nawezaje kupata line ya safarcom nikiwa Tanzania bila kwenda Kenya

    Habari wana Jf kama kichwa kinavyosema nina hitaji raini ya safarcom nikiwa Tanzania mkoani Mwanza. Tafadhari mwenye uelewa juu ya jambo hili
  11. thewajibu

    Wanaouza bidhaa za kiafrika tushirikiane hapa

    Kama kichwa kinavyosema sasa nimefanikiwa kufungua maduka online katika tovuti tatu lakini tovuti moja inaruhusu kuuza bidhaa za kiafrika pekee niko hapa kuomba mwenye bidhaa hizo tufanye biashara pamoja mimi nitahitaji picha ya bidhaa nitauza baada ya mteja wangu kulipia bidhaa ntakuja kuchukua...
  12. thewajibu

    Jipatie Menu/Bill holders kwa ajili ya Hotel, Mgahawa au Bar.

    Habar wana jf kama kichwa kinavyosema kwa wale wamiliki na mameneja wa Mahotel, Migahawa na Bar sasa unaweza jipatia Menu/Bill holders bora kabisa kwa bei poa
  13. thewajibu

    Msaada njia rahisi na yenye gharama nafuu kusafirisha bidhaa nje ya nchi.

    Habari wana jf hivi karibuni nina mpango wa kuuza bidhaa online kutoka China na Tanzania kwenda mataifa mengine kuhusu China sina tatizo lkn changamoto inakuja kwa upande wa Tanzania je ni njia ipi rahisi na yenye gharama nafuu ninayoweza itumia? Tafadhari wenye uzoefu na waliowahi fanya hili...
  14. thewajibu

    Jipatie bagi zilizotengenezwa kwa vitenge na kanga.

    Habari wana jf sasa unaweza jipatia begi za backpack, lucksuck na handbag za wanawake zilizotengenezwa kwa material ya kiafrika. Tunapatikana Mwanza karibu na Commecial Bank of Africa. Keep calm and Hire yourself.
  15. thewajibu

    Mrejesho kuhusu online dating

    Kwanza kabisa nianze kwa kusema naunga mkono kutafuta mchumba mtandaoni kwa sababu huu ndo wakati wake kama wazazi wetu walipopiga safari ndefu kuwatafuta wenzi wao mbaali wengine hata wakikutana na wachawi na bwimbwanga usiku kucha sasa tumeshatoka huko.. Pili wanawake tunaowaona mitandaoni ni...
  16. thewajibu

    Mashariti ya watafuta uchumba JF

    Habari wana JF kwa muda mfupi nimeona watu wakitafuta wachumba hapa JF lakini ninachoshangaa wengi huhitaji watu wenye elimu kubwa hadi Phd. Tujuzane hivi huwa mnaenda kufungua kampuni huko na faida za kuweka mashariti ya elimu zipi pia tofauti na ndoa zisizozingatia elimu ni zipi. thewajibu
  17. thewajibu

    Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    Wana JF, Kama kuna kitu ulichowahi kufanyiwa utotoni kikakuathiri hadi leo unaweza kisema hapa ili kukuza uelewa kwa jamii, wazazi na wazazi watarajiwa. Naanza na mimi: Nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa napenda mpira wa miguu siku moja tukaenda kucheza mechi ya kirafiki shule fulani kwa kuwa...
  18. thewajibu

    Afrika tumejipangaje kijeshi wakati huu wa teknolojia

    Wakati joto likipanda dhidi ya USA na NK jambo lakujiuliza ni kwamba Wakiduku akikosea kombora moja hata katika majaribio likaelekea Afrika ni nchi gani yenye uwezo wa kulisambaratisha kabla madhara hayajatokea au tutatumia yale matofali. Watalaamu tujuzane nguvu za kijeshi Afrika
  19. thewajibu

    Sitaki kufa na makampuni yangu kichwani.

    Habari wana jf naomba mtu yeyote anayefahamu mahali ambako vitabu vya Carl Jung (C.G.Jung) Mfano kitabu kiitwacho Memories, Dreams, Reflection au kitabu chochote kilichoandikwa na huyu jamaa. Kwani nimevitafuta sana lakini sijabahatika kupata hata kimoja na inasemekana vimesaidia mabillionaire...
  20. thewajibu

    Msaada: Tofauti ya maneno haya katika biashara

    Tafadhari naomba kufahamishwa tofauti ya maneno Inc, Ltd na Co. yanapotumika kwenye majina ya biashara mfano Kwese Inc, Google Inc.
Back
Top Bottom