Search results

  1. G

    Mpya kutoka Kenya: Mbunge anapokosa adabu na hekima!

    Hivyo ndivyo ilivyo lakini wanchi walimkubali na mahereni zake zote, hi ni kwasababu2 ya kuwaheshimu na kuwajali raia wasiokuwa na uwezo ndipo aliyekuwa mbunge wa makadara Reuben Ndolo akaambiwa na wanachi afunge virago na Michael Sonko kukaribishwa kwa shangwe na vifijo..... Ningependa 2 kusema...
  2. G

    nafasi za kazi bandarini

    Hahahaha, langu jicho sisemi ki2!
  3. G

    Modem za voda zimezidi wizi wa wazi

    Nafurahia jamii forum sana big up.
  4. G

    Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

    Hongereni kwa waliochangia mana hata mimi kwa swala hili nimejikuna kichwa muda mrefu..
  5. G

    Babu loliondo aleta taabu

    Afadhali mia tano ipotee na wa2 wapone... Mukikosa dawa mwalalama, mukipata dawa mwalalama. Kizuri ni kipi??
  6. G

    Babu loliondo aleta taabu

    wapo wengi ambao hawapeleki maelfu ya fedha bank sio babu2 ...! Mwacheni musimsumbue babu..Ataacha kuwapa dawa oohoo!!
Back
Top Bottom