Search results

  1. chankele kigoma

    Msaada: Gharama za nyumba ya vyumba viwili

    Sehemu ambayo ni tambalale chumba kimoja ni wastani tofari 400 hivo sasa hapo piga hesabu kutokana na bei ya tofari huko uliko natapata picha
  2. chankele kigoma

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nina king'amzi cha Star times anae hitaji aje nimpe bureee napatikana mbagala ukihitaji ni pm
  3. chankele kigoma

    Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

    Nashangaa wanaume wenye akili zao wanaongozwa na huyu mwanamke asokuwa na busara na hekima kwa hili tu linanifanya niwambie wote wanao ongozwa na huyu wajichunguze na kujiuliza kama kweli wako sehem sahihi. Tafadhari nakuombeni fanyeni maamzi upya, huo ni ushauri wangu
  4. chankele kigoma

    Waziri Mkuu: Wahandisi wajenge majengo kwa kusimamisha matofali ili matofali machache yajenge majengo mengi

    Vyuma vimekaza wazee, nashangaa tunavo ambiwa tusilie hata kama tunaumia
  5. chankele kigoma

    Walimu wamemtenga mwanangu na kutomfundisha hadi amefeli, naweza kuwachukulia hatua gani?

    Pole sana mzazi mwenzangu. Ila tambua mtoto umleavyo ndivyo akuvyo
  6. chankele kigoma

    Suala la Dangote, Serikali iiingilie kati. Dangote inaua biashara

    [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  7. chankele kigoma

    Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

    Sikutaka kuyasema ila tu nakuibieni siri katika wanawake wanao honga Wema anatisha ukibahatika kukutana naye kimapenzi uka mkalisha vizuri basi wewe umeramba dume
  8. chankele kigoma

    Nikitaka kununua tv flat screen, ni brand ipi bora kwa sasa?

    Tcl mkuu iko njema sana Samsung, LG sema hawa kwa sasa wamebaki wanauza jina lakini kuna makampuni yanatoa vitu vya ukweli sema tatizo hayana jina kama Samsung na LG
  9. chankele kigoma

    Kitambue chombo VOYAGER 1

    Let them be number one cause we learn everything from them
  10. chankele kigoma

    Nahitaji kubadili jina la mwisho

    Habari zenu waheshimiwa, kama heading inavosema nahitati kubadirisha jina na hilo jina niwe nalitumia kwenye nyaraka zozote Lakini sijui wapi pakuanzia ili kulibadilisha kihalali Hivo basi naombeni muongozo wana jf
  11. chankele kigoma

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Wakuu tujaribu kuelekezana maduka yanayo uza org coz town kuna maduka mengi yanayo uza utuli lakin mengi yauza utuli unao kaa lisaa limoja Hivo nivema ukitoa kitu elekeza wapi inapatikana
  12. chankele kigoma

    Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Kaka kuchimba dhahabu kusikie tu hii kazi siyo ya sport sport nimefanya hiyo kwa miaka 5 sija fanikiwa mkuu isipokwa nilikuwa nikipata visent vya kula tu Sasa ikatokea boss mmoja kaniamini nikawa na mnunulia hivo faida yangu nikawa na weka dhahabu mpaka kufikia hatua hii niliyo fikia sasa...
  13. chankele kigoma

    Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Hunipendi kweli yani nikatapeliwe huku najionea mwenyewe!
  14. chankele kigoma

    Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Nimebahatika kupata dhahabu nimeuza nikapata 25 million za kitanzania sijawahi kumiliki pesa nyingi kama hiyo hivo kwa kuhofia kulewa pesa nimeituliza bank sijajuwa nini nifanye ili niuage uchimba chumvi naombeni mawazo wakuu Nawasilisha
  15. chankele kigoma

    Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

    Sasa kama ulijuwa utaporwa kwanini ufikie hatuwa ya kutaka kujimaliza siungefanya maandarizi sehem fulani ili siku ukiporwa tayali unakuwa na sehem nnyingine
  16. chankele kigoma

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO boresheni huduma kwatunao nunua umeme kwenye simu Mimi niko kanchi jirani nimependa sana mfumo wao wa kununua umeme kwa njia ya simu hivo ningependa hii huduma itumike hata kwetu iko hivi :- Unapo fanya muamala kwa mara ya kwanza mtandao hukuhitaji kuweka namba mita ukisha kamilisha...
  17. chankele kigoma

    Kwanini wa Kigoma wanasumbuliwa kupata Passport?

    Tatizo siyo kuhojiwa tatizo huja pale ukitaja unatoka kigoma utasikia mjinga anaropoka "wemkimbizi" kaapale kwanza tukuitie mtu wa kukuhojibasi inanikera sana na kuniachia maswali mengi kwani kigoma ni nchi au ule mkoa hauko Tz ?
  18. chankele kigoma

    Kwanini wa Kigoma wanasumbuliwa kupata Passport?

    Mzee Magu uko wapi mbona unatuacha wakigoma tunyanyasike tafadhari chukuwa hatua wakigoma tunasumbuliwa sana tukifikia hatua hiyo ya kutafuta paspoti
  19. chankele kigoma

    Kwanini wa Kigoma wanasumbuliwa kupata Passport?

    Mkigoma habishi bila uthitisho ukiona anabisha ujuwe anauhakika na poits za kutetea hoja zake
Back
Top Bottom