Search results

  1. B

    Biblia ina majibu yote, tuisome kwa bidii

    Daudi alishawaza uwepo wa watu Kama wewe na akaandika kupitia Zaburi 14: 1 na 53:1 Nakubaliana na mleta mada kuwa kila tukio linalotokea ama sintofahamu yeyote, Biblia imeacha majibu. Nafasi bado ipo, Yesu anakuhitaji Ndg.
  2. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Ukiona mtu anajitanabaisha kuwa yeye ni chizi. Husijiangaishe kutumia nguvu zako kumjibu. Leave the imbecile alone!
  3. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Hata hivyo Ni muda mrefu umepita. Unajua hawa wanawake tunaowaoa Wana Siri nzito Sana hususani ukituka Hana bikra.
  4. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Hayo majina ni code ila Shansy ndiyo halisi Hana mpango na media za bongo
  5. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Eti mtu mzima. Basi hiyo ID yako (Kapeace)natengeneza picha ya kabinti fulani hv waruwaru. Husumbufu mwingiiiii bila sababu
  6. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Hujui wale wachawi walinipa uwezo, kukupiga sikupigi Ila dawa yako Ni kukuloga tu🙃
  7. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Leta yako chukuchuku tuisome bhasi, kisebengo cha nini kwenye uzi wangu. Ukiona chumvi nyingi tia ndimu uongeze uchachu.
  8. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Wasalaam Ndugu wasomaji, nimefuatilia nikaona kuwa wasomaji wangu wengi hawakuridhishwa na kuimaliza story bila kuwepo kile kipengele kinachoonesha wazazi walizipokeaje zile taarifa za utekaji. Nimeona si busara kuwaacha hewani katika hilo tukio ambalo pia kweli lilikuwa important kwangu...
  9. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Niliamua kuifupisha sn ili iishe maana muda wa kuandika ni mfinyo na wasomaji hawakuelewi husipobandika epsod. Nimejaribu kufanya walichokipenda. Kumalizia story bhasi!
  10. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    😆😆😆😆 Unaajua,nikwambie kitu, Mimi nilikuwa natokea mbali hivyo wazazi zangu walikuwa wananijali sana mzee alikuwa anafanya kazi taasisi kubwa so hakutaka nipate shida kabisa.
  11. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Ngoja nakuja na kitu kingine. Kipo kwenye pipeline hapo ntaziba masikio tu.
  12. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Nimeamua kuifupisha sana Mkuu ili nimalize maana watu walishaanza kunishukia.
  13. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Ilikoishia...... Ko....nko...nko...nko...nilikuwa nagonga mlango wa Ile nyumba ya Mchungaji wa Kanisa la KKKT. Baba mmoja mwenye Kati ya umri wa miaka 45-50 ndiye aliyenifungulia mlango. Inaendelea.... Ile anafungua tu, facial expression yake ilionekana kubadilika gafla baada ya kuona (...
  14. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Kuna baadhi ya watu wanaudhi sana hapa JF. Kumbe ndio maana watu wanaishia katikati ya story zao wanakimbia. Unakuta ka mtu kanakula ugali wa kuletewa kanashiba kanakosa sehemu ya kupumulia kanakuja kupumulia hewa hapa.
  15. B

    Sitasahau nilivyonusurika kuchukuliwa mateka na majambazi mkoani Kagera

    Wewe hujalazimishwa kuifuatilia hii story. Nitafute attentions? then for what?! Nitafute attentions kwa watu wasionijua? Kweli JF hii ni kokoro linalozoa kila ana ya watu. Niliwambia hapa kuwa mimi pamoja na kuandika hapa niko nabanwa na majukumu ya kifamilia. Thus, I can't keep on typing...
Back
Top Bottom