Search results

  1. madabadaba

    Yajue makundi manne ya dawa za kulevya & madhara yake

    Kemikali yoyote au mchanganyiko ambao huleta mabadiliko ya kihisia na ufahamu ni dawa za kulevya. Matumizi ya dawa za kulevya huleta utegemezi na usugu. Utegemezi ni hali ya kushindwa kuishi maisha ya kawaida mpaka utumie dawa ya kulevya. Utegemezi huo huwa wa kisaikolojia na kiafya. Kuna...
  2. madabadaba

    Nissan xtrail inanitesa.

    Heshima kwenu wakuu. Niko na shida sana nahitaji msaada wenu hili gari lina mauza uza balaa. Nikiwa njiani kuelekea kazini nilistukia ghafula gari linaunguruma tu nikikanyaga moto linaunguruma tu hata halitembei, hivi sasa nimelipaki kwa kulisukuma pembeni mwa barabara nikisaidiwa na...
  3. madabadaba

    Ulevi wa pombe ni hatari kwa afya yako

    Ulevi wa pombe ni ugonjwa unaoathiri watu wengi duniani. Kwa ulimwengu mzima,mamilioni ya watu wameathirika kwa njia moja ama nyingine kutokana na tatizo hili la ulevi wa pombe. Pombe hupendwa na watu wengi na kuwepo kwake kumeanza tokea enzi za wahenga. Masimulizi ya pombe hupatikana ktk...
Back
Top Bottom