Search results

  1. lyakurwaD

    Maisha yanaenda kasi sana

    R.I.P ndugu zangu wote waliotangulia mbel za haki
  2. lyakurwaD

    Kaini alipata wapi mke wake?

    Mimi naamini kuna kizazi ambacho hakijaandikwa kwenye biblia sababu ukisoma ya kwenye bibilia hata sasa hatutakiwi kuoana maana sisi ni damu moja
  3. lyakurwaD

    Uthibitisho wa Tiba ya Gumboro

    Nipo buhongwa wap ww
  4. lyakurwaD

    Museveni apasua jipu, Tanzania haikumng'oa Idd Amin peke yake!

    Sisi kuingia vitani ni kwa sababu Muamar gadaf aliyekuwa rais wa libya alitoa msaada uende Tanzania kwa masharti : ili kupata msaada ule lazima uambatane na kujengwa msikiti mkubwa msikit huo ulitarajiwa kujengwa kagera lakin bhaada ya mzee kukaa na wazee wenzie wakapinga kujengwa kwa msikiti...
  5. lyakurwaD

    Natafuta kazi elimu yangu kidato cha nne

    Natanguliza shukrani zangu kwenu, Mimi ni kijana wa miaka 23 jinsia yangu mvulana elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi kwa yeyote anaeweza kunisaidia tafadhali anisaidie nina uelewa wa kuuza duka la vyakula, nina uelewa na biashara ya madawa ya kilimo na mifugo. Tafadhali msaada wa...
  6. lyakurwaD

    Clinical Officers wanalipwa kiasi gani?

    Mwenye diploma ya pharmacy jaman mshaara wake unaanzia sh ngap
  7. lyakurwaD

    Msaada wa kubadilisha Gmail tafadhali

    Poa mkuu ila ntapoteza vitu vingi au ntaweza kuamisha picha zangu zilizomo??
  8. lyakurwaD

    Msaada wa kubadilisha Gmail tafadhali

    Nimeingia lakin sijaiona mkuu maana nahitaji kubadili na jina naomba unielekeze vzr mkuu
  9. lyakurwaD

    Msaada wa kubadilisha Gmail tafadhali

    Natanguliza shukran zangu tafadhal wadau wa jukwaa hili naomben maelekezo jinsi ya kubadili au kurekebisha jina ninalotumia kweny google Mfano natumia mandelaputin@gmail.com Nataka nibadili iwe mandelanjau@gmail.com Kwa wale wenye uelewa kuhusu hili tafadhal msaada wenu Naomba kuwasilisha
  10. lyakurwaD

    Je viwanda vya madawa ya kulevya vipo nchi zipi?

    Ndg WanajamiiForums kwanza naomba nitanguluze shukran zang kwenu Hakika tunaona juhudi za viongozi wanaoendelea kupambana na madawa ya kulevya tumeona watu mbalimbali maarufu na wasio maarufu ila nimebaki na swali la kujiuliza je ni kwa nn viwanda visithibitiwe kwanza kabla ya wauzaji...
  11. lyakurwaD

    Uthibitisho wa Tiba ya Gumboro

    Vp mkuu chanjo ya ndui haipo kweny list yako
  12. lyakurwaD

    Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

    Elimu nimepata sasa nahitim
  13. lyakurwaD

    Leo ni siku ya kuzaliwa kwangu

    Hongera sana ubwabwa wap
  14. lyakurwaD

    Nauza iphone 5s

    Sh ngap et
  15. lyakurwaD

    Trump awaonya Iran wasicheze na Moto

    Wanaandikia mate wino ungalipo
Back
Top Bottom