habari wanajamii forum,
mfanyakazi anatafuta ajira
sifa zake ni kama zifuatazo
(1) ana bachelor degree masuala ya banking and finance
(2) cheti cha film and Tv production
(3) experience ya kazi ya marketing
(4) experience ya kutengeneza filamu na video ads
(5) ana skills za graphics design...
Japokuwa watu wa sensa huuliza lugha za watu, inaonekana ni moja ya takwimu ambazo huwa hawajisumbui kuzitaja.
Pengine huonekana si muhimu, ama pengine watu huwa hawaiulizii hiyo takwimu.
Ila, binafsi, naamini kingereza hadi sasa kipo kwenye tano bora ya lugha zinazoongelewa zaidi nchini, ama...
Kijana Rahim anatokea kumpenda binti Sarah katika nyakati za mwisho za uhai wa binti huyo.
Wasichokijua ni kwamba penzi lao limeletwa kwa nguvu ya ajabu ili mtu aliyeharibu maisha ya Sarah atubu na kulipia dhambi yake.
Unaweza pia kuisoma kwenye telegram
https://t.me/bongosimulizi
Habari,
Kwa mnaohitaji vifaa vya production, cameraman, editor, graphic designer karibuni
Tunakufanyia kazi yako kwa usahihi na umakini mkubwa
Mawasiliano yetu ni 0685416752
Habari,
Kuna hili soko linaitwa soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) hapa nchini kwetu na kuna wauzaji wa hisa na hizo bond
Wengi tunavutiwa na habari zao hawa watu wa hisa na bond na pengine kuna fursa nzuri tu kwetu vijana
Ijapokuwa tunafahamu hisa ni nini na bondi ni nini, tupo wengi ambao...
Habari wanajamii forums, habari wajasiriamali.
Nafungua uzi huu ili kuleta pamoja wadau sisi wenye maswali kuhusiana na biashara ya mgahawa ama biashara ya chakula, na kuleta pamoja wale wenye uelewa wa biashara hii, mimi nitaandika maswali yangu, mwengine yeyote mwenye maswali nae basi aulize...
Ule umati wa kariakoo ambao unatia hasira, maana kama unastress inachanganya sana kupigana vikumbo na kuminyana minyana na watu, huku jua kali na watu kusimama bila sababu na kuweka msongamano makelele ya watu na magari,
Serikali imeuona ni mdogo sana, imeamua kujenga upya soko la Kariakoo kwa...
Link ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana.
Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE
Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na mke mgonjwa na jinsi anavyoingia matatizoni kutokana na pete ya maajabu iliyofika katika ulimwengu...
1-5 watoto wadogo
5-10 watoto
11-15 young teenagers
16-19 elder teenagers
20-29 vijana wadogo
30-39 vijana wa kati
40-49 vijana rika la juu
50-59 middle age/ rika la makamo
60-69 wazee wadogo
70-79 wazee wa kati
80+ / na kuendelea - wazee rika la juu/ wakongwe
Habari,
Jamani hali ni tete katika huduma za mabasi ya mwendokasi
Mara mia daladala,
Mabasi haya ni zero, ni sifuri, hamna kitu, ni bure kabisa, total rubbish, nada.
Muda wa kusubiri basi unazidi kuongezeka kadri siku zinaenda, ni kawaida kupoteza nusu saa hadi dakika arobaini na tano...
Habari
Kuna filamu moja ya kihindi, televisheni ya Capital tv walikuwa wanapenda sana kuionesha, ni nzuri sana, kwa muda mrefu Nimekuwa nikiitafuta ila sijawahi kufanikiwa kupata jina lake
Muvi yenyewe ni ya kizamani (pengine ilichezwa miaka ya 1960s)
Kwenye muvi, kuna Prince mwenye uchu...
Sensa inakuja hivi karibuni,
Moja kati ya takwimu ninazotaka kusikia ni takwimu za lugha.
Je, Watanzania wangapi wanaweza kuongea lugha za asili?
Je, Watanzania wangapi waliopo wana zungumza Kiswahili kama lugha ya pili? Yani si lugha waliyoanza kuongea kama lugha yao ya kwanza.
Je...
Sijawahi kufika ulaya, ila naionaga ulaya kwenye tivi kila siku, hivyo nimewahi kuona makaburi yao kwenye tv nikacompare na yetu
Sasa, hivi kwa nini makaburi yetu huku afrika hayako katika mpangilio, mamiti majani yanaota tu hakuna maua ya kupendeza kunatisha pengine watu wanaamini kuna mizimu...
Habari wanajamvi,
Kama ilivyo kawaida, kufanya tafakuri ya mambo yale mtu anayoyasikia maredioni na magazetini kuhusu yanayoendelea kwenye siasa za nchi mbalimbali.
basi nami nimejikuta nikiyatafakari sana yale yanayoendelea huko Ethiopia na vita vyao vya serikali ya kitaifa na wanamgambo wa...
Yote ni aina ya muziki wa kiafrika kutoka mitaani wanakoishi Waafrika wa hali ya kawaida.
Amapiano nasikia inatokea mitaa kama Soweto, Katlehong, Vosloorus ama Mamelodi huko Afrika Kusini.
Tena ulionekana muziki wa watu wa mitaani. Lakini hatimaye huu mziki umekubalika na kuigwa na watu wa...
leo nimeingia wikipedia na kusoma juu ya historia ya koloni la ujerumani ya afrika mashariki (deustche ostafrika) /(german east africa).
katika kusoma huko kilichonifurahisha ni kuona majina ya kijerumani ambayo yalibatizwa kwa maeneo mbalimbali ya nchi yetu, kipindi hicho cha utawala wao...
kumeibuka tabia ya watu kucheka na kudharau sana kitongoji cha jiji la dar es salaam kiitwacho buza
yani buza ingekuwa mtu, sa hivi angekuwa kajifungia ndani asitoke nje kwa aibu ya kuchekwa,
kila kona ni buza buza buza,
utakuta mtu kasimama kituoni mara daladala ikaja watu kwa nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.