Search results

  1. E

    Naziogopa ajira za Serikalini kama ukoma

    mimi sijamuelewa huyo jamaaa anataka kuiibia serikali arafu aamishwe au kama enzi zamani? au
  2. E

    Nishauri Kuhusu Electronics Engineering

    soma mechanical au electrical engineering ndo utakuwa na upana wa kuchagua soko la ajira katika viwanda vyote unavyovijua electronics utaishia customer service kwenye makampuni ya simu tu na si pengine
  3. E

    NDC nation development cooperation

    habari wana jukwaa naomba kuuliza hivi ndc mradi wake ule wa malaria kibaha ulishaanza na wamesha recruit watu
  4. E

    Bachelor of freight clearing and forwarding

    du hata kutoa mizigo bandalini kunahitaji degree sijawahi sikia degree ya namna hiyo ulimwenguni kote juzi kuna mtu aliniambia kuna chuo kinatoa degree of hotel management du kweli sasa hivi vio inabidi tuvipige tochi hatari sasa.
  5. E

    hizi kazi za magazeti na internet huwa wanaita watu kwenye interview

    du wakuu mbona naona humu kama watu wanatambiana ohoo mimi nilipata hivi ohoo cv yako imefanyaje sijui, bwana mdogo tuma tu maombi mengi usikate tamaa wakati mwingine na bahati inachukua nafasi yake omba na mungu akusaidie pia usikate tamaa
  6. E

    Electrical/mechanical enginear

    unamaanisha engineer mkuu?
  7. E

    !!..new jobs today..!!

    asante sana mkuu endelea hivyo hivyo kila siku utawasaidia wengi big up for ur begining :ballchain:
  8. E

    Naomba kujuzwa

    du kweli binadamu halidhiki inamaanisha kwamba kama wangekufanyia interview usingepita ukabebwa leo unataka kuwa meneja sasa utaweza kweli kuwafanyia wenzio interview?ukiwa kama meneja mwambie owner ukweli kwamba unataka kuwa meneja atakubeba tu kama mara ya kwanza au haziivi tena
  9. E

    Salam zangu, na maombi yangu kwenu

    vile vile pita pita kwenye makampuni ambayo waliokutangulia graduate, wapo na wanafanya vizuri acha cv yako pale hata kama hawajatangaza kazi you dont loose manake kazi nyingine hazitangazwi wanaangalia kuna cv ngapi wanaita
  10. E

    Natafuta kazi

    du bachala si mchezo.
  11. E

    exemption TRA

    samahani wadau naomba kuuliza hivi ili kupata exemption TRA ya magari ni lazima gari unaloombea liwe la mwaka 2002 na kuendelea, naomba msaada jamani kwani kuna utata mwingi kwa watu ninaowauliza na ni kodi gani ambazo unasamehewa naomba msaada jamani
Back
Top Bottom