Search results

  1. Mwafwaa

    Sasa viroba hakuna mitaani lakini gongo haijadhibitiwa

    Ile ni pombe haramu. Haihitaji kudhibitiwa.
  2. Mwafwaa

    Kiongozi wa dini asiyejua kusamehe, vyeti vyetí mpaka lini

    Kumbe tupo wengi aliotuchosha. Mchungaji gani ww? Kanisan n Mungu tu anaongelewa. Take it
  3. Mwafwaa

    Kuna mtu nimemzimikia

    Achana nae ka unamuogopa
  4. Mwafwaa

    Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    Mungu ailaze roho yake pema peponi Mwl. Mfumu. Tcha wangu wa Chemistry O-level
  5. Mwafwaa

    Vyama vya upinzani nchini mmeiona demokrasia ya CCM?

    Wanajua kuna ulaji ndo maana wanang'ang'ania
  6. Mwafwaa

    Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

    Jumba la dhahabu
  7. Mwafwaa

    Ushauri: VETA au kurudia kidato cha nne?

    Elimu ya fom 4- 6 kwa bongo ni ya kua T.O peleka VETA apate maujuzi
  8. Mwafwaa

    Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

    Lyf letu full stress na kuunga unga
  9. Mwafwaa

    Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

    Wachukue kila k2 kwa uzito unaostahili ili kumuaminisha bibi angu hata nikimconvice kuwa CDM nisitumie nguvu nyng
  10. Mwafwaa

    Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

    Unajua ndo maana wanashindwa saa zngne. Maana fisiem wanaweza kusimamia kigezo cha wao ni chama cha wananchi ila CDM ni cha kikanda. Sababu ndogo ndogo tu
  11. Mwafwaa

    Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

    Ndo pointi yangu
  12. Mwafwaa

    Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

    Wema si alishatambulishwa? Lema wapo mahakani saa hz, mboe wakasimama nae court, lisu wanae kortin, lowasa wakasimama nae kwa kuitwa fisadi, mbona Mhere? Mm hapo tu ndo siwaelew
  13. Mwafwaa

    Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

    Siwaelew CDM kwa hili. Naona kama kuna ka ubaguz fulan
  14. Mwafwaa

    Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

    Wamen'gang'ana na Wema tu!! Mhere ni kiongozi BAVICHA. Sasa pima mzan hapo
  15. Mwafwaa

    Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

    Mikutano iliruhusiwa wiki kama mbili hiv. Hv wameshaenda hao wakubwa wa CDM kumuona Mhere Mwita aliyeumia akiwa kazini?
  16. Mwafwaa

    Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

    Lengo gan la maana sana
Back
Top Bottom