Search results

  1. Madley

    Kuna Kitu kinaendelea kwenye Media za Tanzania

    Ila mitandao ipo
  2. Madley

    Uchaguzi 2020 Hawa Wapinzani hawarudi Bungeni hata iweje

    Kwani wanateuliwa au wanachaguliwa Mshajimilikisha nchi nani aishi na nani afe ndiko mnapoelekea..
  3. Madley

    Steve Nyerere atangaza kumng'oa Msigwa Iringa Mjini

    Ili bunge limeshakuwa kama kumbi flani ivi la starehe ccm wamejua kutuonesha kuwa ubunge au uwakilishi kule bungeni sio lazima uijue katiba ya nchi na sheria zake Bali tu ukiweza kusifia kuunga hoja tayari na wewe unakuwa Katika kundi la waheshimiwa.. Astaghafulillah... Tumuache Msigwa...
  4. Madley

    Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Hawavai barakoa kumuunga mheshimiwa Rais mkono Jamani huu unafiki utakuja kuondoka na wengi
  5. Madley

    Nashauri: Viongozi msishindane na Mbowe kwenye kuongea

    Tutaelewana tu ngoja tuoneshane kwanza makali
  6. Madley

    TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

    Hapo ndio nyumbani kwa shemeji wa mzee! R. I. P mama yetu
  7. Madley

    Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile atenguliwa, Godwin Mollel achukua nafasi

    Ummy yeye anawasilisha anachoambiwa aongee tu na kwahili kafanikiwa. Ndugu yangu Ndugulile kwenye hii awamu ukweli haujawahi kumueka yeyote huru.
  8. Madley

    Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

    Ingekuwa corona haiwapati na hao viongozi wa serikali labda na mimi ningeamini hizo takwimu ila kwa sisi tinaoshuhudia vifo kila siku naamini niwakati sasa wa serikali yetu pendwa kujitafakari
  9. Madley

    Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

    Tuendelee kunawa mikono jamani Watakao baki tukutane kwenye kampeni 2020
  10. Madley

    Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    UMESAHAU PIA ANA SHARE KWENYE MOJA YA CLUB KUBWA YA MPIRA NCHINI
  11. Madley

    Mkurugenzi ATCL: Dreamliner haijaharibika, tunafanya marekebisho ya kawaida. Ndege bado ipo kwenye majaribio...

    Na tulivyoipokea kwa mbwembwe!! ili kumkata ngebe #Lissu
  12. Madley

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro atangaza kuachana na chama hicho! Ajiunga na CCM

    Kama shetani alimsaliti M/Mungu wewe ni nani labda usikisaliti chama au itikadi?!!!! TRUST NO BODY..
Back
Top Bottom