Search results

  1. S

    Real Estate vs Land Evaluation and management, Ardhi University

    Wadau nina kijana wangu, amefaulu vizuri tu form 6, na anahitaji kusoma kati ya hizo kozi mbili hapo juu, kwa anayefahamu indetail kuhusu hizo kozi. Msaada please ili niweze kumshauri..Maana binafsi sina uelewa nazo na kijana anataka kusoma.
  2. S

    Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Dagh umenikumbusha kwa mbali sana. Kwa Moudy kulikuwa najamaa mchukua ela wakuitwa Gobore. Jamaa noma sana yule..
  3. S

    Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

    Babu alikuwa super talented, but tatizo lake hakuwa Humble..sifa zilimzidi i guess ndo sababu iliyompelekea asiingie Top 10 Olevel...Gwamaka na Sili boy hawa watu walikuwa wanajua, na wapo so humble..huwezi kuwazania yaani..nawafahamu vizuri hao jamaa.
  4. S

    Ma-TO wawili katika mtihani mmoja Japhet S John na Aude G Kileo

    Endelea tu kusikiliza story za vijiweni kuwa MaTO wamefeli maisha. Japhet, he is doing very good now kwenye sekta yake. Hana njaa na anamaisha ambayo ni dream kwa vijana wengi..jamaa ni balaa
  5. S

    Nafasi za Mahakama: Nimeitwa kwenye Usahili mara tatu bila kuitwa kazini

    Mkuu maswali unajisahihishiaga mwenyew nini..? Kaa fikiria kwa makini unaweza kugundua udhaifu wako, may lugha nk. Then fanyia kazi. Kila la kheri hope utapata hizo ulizofanya leo
  6. S

    Mhongo aliondoka na umeme tanesco

    kwa umeme huu, hizo treni za umme sijui itakuwaje.
  7. S

    Dakika 20 tu anasema kachoka

    kuna mwana anakusaidia ukiwa haupo, so ukija wew kashachoka NY** zote zishaisha
  8. S

    Rais Magufuli: Watu tunapenda sifa lakini hii sifa sio ya kwangu

    airport chato, bombadier ..au niongeze
  9. S

    Naomba kuuliza kwa wajuaji

    hivi mshafunga shule desemba hii enh?
  10. S

    Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    fungua tuition ya hayo masomo, kipindi unaendelea kutafuta. kama ni mwalimu mzuri utapata chochote kitu
  11. S

    Msaada: Inawezekana kwa mtu aliehitimu darasa la saba akajiunga na Chuo cha Polisi

    polisi Hawachukui darasa la 7. mshauri arudi shule akamalizie form 4,
  12. S

    Baada ya kutoswa na TRA; Niliamua kuwafuata Utumishi kujua sababu ya kutoswa, nilichojibiwa na Utumishi

    wamekupiga fix,kukufariji..watu wa Uchumi na Sheria kibao wamepata. ACHANA NA HIZO KAZI FIKIRIA MAMBO MENGINE. USHAKOSA. utasubiria batch ijayo mpaka 2020.
  13. S

    Majina 400 ya Vijana waliofaulu Usahili wa TRA

    haha kwahyo Mkuu kama una mzazi wako au ndugu yako anafanya kazi TRA na wewe unasifa na umefaulu interview zote Hustahili kupata kaz??
  14. S

    Sekretarieti ya Ajira Nasubiri Majina ya kupangiwa kazi TRA Niweze Kulinganisha na Picha za Majina mliokua mmebandikwa.

    hahah Vijana Acheni wivu, Hongereni wakuu wote mliopata kazi, maana si mchezo.
  15. S

    Japo nimekosa kazi TRA lakini ningependa kuwashauri mambo kadhaa Utumishi

    Ndugu zangu mliokosa hizo nafasi acheni kulalamika. Ombeni Mungu atawasaidia post zingine na mfikirie kwa makini mtagundua makosa yenu. Nafasi zilikuwa nyingi MF. custom 100 kuchomekwa kwa hao watu 2 au 3 japo sina ushahidi na madai yenu kusingekuathiri kitu kama umefanya vizuri. I have 2...
  16. S

    Walakini: Mchujo wa utumishi-MNH na watu wa mifukoni

    nimecheka sana mkuu, utetezi wako, kwahyo wew hujafanya usaili wala hujahusika Ila ulienda DUCE nin kuangalia watu wanavyopitishwa..maana unataarifa ambazo hata waliofanya hawana.
Back
Top Bottom