Search results

  1. A

    Mwenye uthibitisho kuwa Magufuli anapambana na rushwa auseme hapa, zaidi ya kuchochea na hawaguswi

    kaini alimwaga damu ya ndugu yake ikaleta laaana lakini wayaudi wakamwaga damu ya ndugu yao YESU ikaleta ukombozi na baraka
  2. A

    MWAKA MPYA WA MASOMO YA ELIMU YA JUU

    Kwanza niwapongeze sana vijana na watu wote mliyofanikiwa kudahiliwa katika kujiunga na masomo ya juu katika vyuo mbalimbali Kwa mliyobahatika kupata mkopo niwashauri kuja na nguvu binafsi yaani jitaahidi kwenda na fedha za matumizi za kutosha. hali ya sasa si kama zamani lolote laweza kutokea.
  3. A

    ‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"

    ndugu mayala au njaaa kama mh.bulldozer anavyopenda kukuita asante kwa kuniwezesha kusoma hayo matusi nilikuwa sijayaona next time tafadhali weka tena
  4. A

    ARUSHA: Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 422, atangaza nafasi 3000 za wanajeshi wapya

    Mchezo wa siasa za Arusha kweli ni nchi ya kula uliwe
  5. A

    ARUSHA: Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 422, atangaza nafasi 3000 za wanajeshi wapya

    Hotuba za mh.rais ni copy and pest hivi hakuna mambo mengine kila siku hewa, hewa ,hewa. Nimeanza kukuchukia mjomba sherehe za Jeshi zinaunganishwa na siasa hili ni tatizo na mjomba umeamua kuongeza kikosi cha vijana elfu 3 walete tu ili ujiimalishe.
  6. A

    Vitu vifuatavyo vinauzwa.

    nahitaji screen mkuuu lakini mbona bei sawa na dukani?
  7. A

    Maneno na kauli maarufu kwenye utawala wa JPM

    Rais wa masikini kwenye nchi tajiri inawezekana anahitajika rais wa matajiri kwenye nchi masikini
  8. A

    Balozi atamani kumpeleka Rais Magufuli Marekani kwa wiki tano

    Hata usipoenda wakitaka kufanya chochote inawezekana
  9. A

    Ushawahi kutongoza/ kutongozwa na jini? Ikawaje?

    majini huwa hayatafutwi ila kuna tabia ukiwa nazo yatakufuata tu.... kwahiyo usiangaike kuyatafuta we anagaika natabia zao alafu kila kitu kinakuwa automatic... Uzuri wa jini anauwezo wa kubadilika na kuwa mwanamke au mpenzi umpendae kiumbo na tabia. Tabia za mvuto wanazopenda majini...
  10. A

    Ushawahi kutongoza/ kutongozwa na jini? Ikawaje?

    Ukikutana na jini hutatamani kumwachaa ila uwe shujaa wakati fulani. Nilikutana na chini anakwenda shule evening class, akanambia anasoma ili kurudia mtihani wake wa kidato cha nne... Nilimshawioshi asiende shule badala yake tukaenda geto... yaani anaomba kitu kama huna basi kufumba na kufumbua...
  11. A

    Musukuma: Kuna wanasiasa wameahidiwa 10% kuweka presha ndege kuzuiwa

    sio kama ndege imekamatwa ila imezuiliwa isitoke..... Joseph plus josep= msukuma +msukuma ..naona wanasukumana
  12. A

    Hivi kwanini wanajeshi wa Tanzania wanapenda kujichukulia hatua za kisheria mikononi?

    Tatizo la nchi zetu tumefukuza wakoloni lakini bado tunaishi nao kichwani hizo tabia zilikuwa za jeshi la kikoloni
  13. A

    Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

    hapo mzee umepewa condition kuwa kwa kuwa wewe ndo umesababisha ni lazima umpatie mtaji si ajabu kakamatwa na nondo kafukuzwa chuo... au uwezo mdogo alishidwa kuwa busy na course work anawezaje kuwa busy kwa kazi ya kujiajiri?
  14. A

    Orodha ya Marais wa nchi ambao husafiri kwa nadra nje ya nchi zao

    sio nje tuhata mikoa ya nyanda za juu kusini mikoa ya mbeya na iringa hajawahi kuonekana
  15. A

    Wasomi wahoji uzalendo wa Lissu

    Kumbe shida ni kuongea hadharani nilijua amekosea kama....JPM anakwambia nilipokuteua nilikutangaza hadharani na nikikutumbua nakutangaza hadharani. Na sisi tulikupigia kura hadharani na uliapishwa hadharani na ukikosea tunakukosoa hadharani... When i grown up i want to be LISU
  16. A

    Tofauti ya familia za watanzania wenye asili ya india/waarabu na sisi weusi maeneo ya beach/recreation

    Tanzania inaongoza kwa kuwa na watu wenye udhuni....kwa mujibu wa tafiti za hivi karibuni
  17. A

    Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    naombeni wimbo wa ruge uliyopelekea kupongezwa leo na kupatanishwa
  18. A

    Mauaji Kibiti: Mkazi wa Nyambwanda, Hamis Ndikanye auawa kwa risasi

    Nchi hii ya kuoneana sijui imekuaje sasa hivi polisi wanaonea wananchi na wananchi wanaonea wenzao...hakuna wa kumwamini siku hizi Unaweza kuuwawa na raia mwenzako au mikononi mwa polisi
Back
Top Bottom