Search results

  1. P

    Wagombea 10 Urais Somalia ni Raia wa Marekani

    Zuio ni siku (90) yaani miezi mitatu au hujamuelewa Trump
  2. P

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Masjid wanafundisha Kibra, wakisoma nani achinje kuku!!!??
  3. P

    Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

    Ivi mna chuki binafsi na wahaya nini, mtu anajitungia uzi ili mradi awachambe wahaya na mlivyo na uwezo mdogo wa kufikiri mnatokwa mapovu kidogo mpasuke yaani mpaka mnataka kulia watu kama awa ndo wanahanzisha uzi wa dini x vs dini y akili za kuambiwa changaya na zako "A child who can wash...
  4. P

    Mzee wa Upako: Weka muziki acha maneno ndio yenyewe

    Zitakuja dini zote ila RC itabaki ni roma co mimi
  5. P

    CIA ya wamarekani yatoa takwimu ya wakristo/waislam TZ ktk website ya

    Zinaweza kuwa za kweli kwani ni majuzi tu walipotoa data wailivyo kuwa wakiifanyia uchunguzi tanzania mbn watu awakusema walikusanya lini data zao hawa watu ni wasiri sana
  6. P

    Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

    Jk kujenga shule yalikuwa majukumu yake aliopewa na wananchi wa dini zote
  7. P

    Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

    Umezaliwa 2000 -2017 mpaka umehenda chuo nakufundisha tena kwanza ndo tupo mwanzon mwa mwaka kwel watoto wa muddy mna mambo
  8. P

    Jinsi ya ku root simu yako ya Android

    My 4n version Is 5.2.2
  9. P

    Jinsi ya ku root simu yako ya Android

    Mkuu mbona mimi naambiwa nkusanye tokens kwanza (collect tokens ) about 7000 hapo vp kwan???
  10. P

    Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

    Inaonesha mshkaji kazamilia kwel mchek hapo chini na anavyoeleza feelings zake!!!
  11. P

    Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

    Mmhh duh Umempenda gafla!!! We bigonzo kwel
  12. P

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Unazngua nnavyokujua toka primary
  13. P

    Dully sykes aachia ngoma mpya!

    Kachanganya radha kiganda hicho iyo kolasi ni ya ngoma ya Jose chameleon ktambo sana na ilikuwa hit song cc watu wa Mtukula kwenye border ya Uganda tunajua sana
  14. P

    Manfongo mbona kimya

    Mwaga maji tucheze kama kambale, wiso wiso garagara nasema garagara , miguu yote juu.....!!!
  15. P

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Nataka hospitali ikamilike kwa bil 10 waliosema bil 46 kama hawataki wahache kazi
  16. P

    Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

    Tunatoa maoni yetu ili warekebishe walipokosea in short Amina Ally kazngua Sana hata story yenyew hajui kuielezea
  17. P

    Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

    Andika vizuri ueleweke many baby na mama 1000 ndo nini sa??
  18. P

    Roma wa K vs Roma wa mathematics

    Anachanganya radha misitari imedinda
Back
Top Bottom