Search results

  1. ukuwi

    Phone4Sale Iphone 7 128 GB for sale

    iPhone 7 128 gb inauzwa pamoja na chaji na box lake bila hearphone. Inapatikana kwa Sh:670,000/= Location Sinza unaweza kuletewa mahali ulipo. Mawasiliano:0786552557.
  2. ukuwi

    Phone4Sale Nahitaji betri za Rongta receipts machine

    Habari zenu nyote kwa ujumla. Bila kupoteza muda nilikuwa naomba nielezee tatizo hitaji langu nilikuwa naomba kufahamu ninwapi naweza kupata Betri za Rongta mini thermal printer kwa aliye nazo ama mwenye kufahamu ni wapi naweza kuzipata naomba msaada wako tafandhali.
  3. ukuwi

    Phone4Sale INFINIX HOT 7 laki mbili

    Habari zenu Wakuu Nauza simu aina ya infinix hot 7 ipo katika hali nzuri,imetukika miezi mitatu ipo full box kasoro hear phone Kwa abate hitaji mawasiliano Phone no:0786-552557
  4. ukuwi

    Kwa wale wahitaji wa video production pamoja picture kwa ajili ya event mbalimbali

    Habari kwenu. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika,kwa MTU,SHIRIKA ama TASISI yenye uhitaji wa kutengenezewa au kufanyiwa coverage ya VIDEO PRODUCTION. Tunatengeneza aina mbali mbali za video kwa viwango tofauti kutokana na matakwa ya muhitaji. AINA ZA VIDEO Natanguliza samahani...
  5. ukuwi

    MUDA UNA HITAJIKA

    Kuhama analogy kwenda digital na TCRA kuzima kuzima simu feki SERIKALI ili tuongezea muda,je?Mh:hatu ongezewi angalau 2 WEEKS tumalizie VIROBA vyetu!!.....
Back
Top Bottom